Maputo: Polisi watumia Mabomu ya Machozi na Kujeruhi Waandamanaji wanaopinga Matokeo ya Serikali za Mitaa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,122
1697602394139.png
Polisi
Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja iliyopita wakidai Chama Tawala (FRELIMO) kiliiba Kura.

Maandamano hayo yanafuatia uamuzi mwingine wa Mahakama Mbili tofauti katika Wilaya za Chokwe na Cuamba kubatilisha Matokeo kwa maelezo yalikuwa na kasoro katika mchakato wake.

Mtafiti wa Shirika la Human Rights Watch, Zenaida Macha, akizungumza na Vyombo vya Habari amesema Serikali imekuwa na utaratibu wa kukata Umeme kila inapofika siku za Kupiga Kura ikiwemo Uchaguzi ulipita, jambo linaloongeza mashaka kuhusu mchakato huo kuingiliwa.

===========

In the Mozambican capital, Maputo, riot police have fired tear gas at opposition protesters who say last week's local elections were rigged in favour of the ruling Frelimo party.

Dozens of people have suffered minor injuries while fleeing the police.

"They didn’t need to do this, after all, isn’t this democracy? We are marching peacefully and we don’t want problems with anyone," said one protester.

Analysts have questioned whether Mozambique's state-owned electricity company deliberately cut off power to help sabotage the election.

"Maputo City is not known for frequent power cuts. It's funny how exactly on election day, at the time of vote counting, the most populated neighbourhoods went dark for hours. It happened in previous elections as well," said Human Rights Watch researcher Zenaida Machado.

The main opposition Renamo party has failed to win any municipalities despite governing seven before the polls.

On Thursday, local media reported that two Mozambican courts annulled the results of elections in Chokwe district in southern Gaza province and Cuamba district of the northern Niassa province after they found irregularities in the process.

Renamo leader Ossufo Momade says the protests won't stop until the "electoral truth" is uncovered.

BBC
 
View attachment 2785027Polisi

Itakuwa serikali ya ccm ilituma wachakachuaji wa matokeo kuwapa mafunza jinsi ya kuchakatua. Jamaa yangu mmozambiki kaniambia manispaa ya Maputo upinzani iliukuwa inaongoza, umeme ukakatika gafla na ulivyorudi, chama tawala kikawa kinaonga na ndipo vurugu zilipoanza
 
Back
Top Bottom