waandamanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Sasa Waandamanaji wanaogopwa kuliko Jeshi

    Huu ni ukweli ambao Wala hauna shaka kabisa, kwamba Waandamanaji wanaogopwa Sana kuliko majeshi yote ya hapa nyumbani. Pamoja na kwamba majeshi yote yalitoa hakikisho la usalama Kwa raia kwamba wajitokeze na waendelee na shughuli zao za Kila siku, wamepuuzwa, hakuna aliyetoka. Maduka na...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wanadai Waandamanaji sasa Wanapanga kuua Viongozi, wameshaanza kuwakamata

    Sasa Waandamanaji wamegeuka wauaji hata kabla ya maandamano. Kwamba Jeshi limeshaanza kuwakamata Wanaofanya mipango hiyo ya kuua Viongozi wa Serikali. Jeshi la Polisi Tanzania limesema linaendelea kufuatilia kwa karibu viashiria vya baadhi ya watu wanaodaiwa kuhamasisha vurugu na kupanga...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Tuna kikundi cha hatari "chui weusi" cha kupambana na waandamanaji. Kama Ukitaka ulemavu wajaribu wao

    Shekh Mwaipopo amesema kutakuwa na kikundi kinachoitwa "Chui Weusi", ambacho kitakuwa mstari wa mbele (frontline) katika kukabiliana na waandamanaji pamoja na wahalifu siku ya Julai 7. Leo tunacho kikundi cha hatari sana hawa wanaita ni tiger chui weusi... watakaokuwa frontline kupambana na...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, Unavidhalilisha Vyombo vya Usalama,, inamana Vyombo vinashindwa Kuwakamata hao walopanga kupiga Risasi waandamanaji?

    Mwigulu hivi kweli wewe usomi wako ulitokana na Akili KICHWAN? Au baada ya kua Mwanaccm, ukafahaamika, Wakufunzi wako wakaamua kua wanakufaulisha na kukuuzia Ufaulu?. Matendo na Kauli zako mbona unazidiwa na Musukuma wa Darasa la Saba??. Au wee Jamaa una roho mbaya tu inayotokana na Hofu yako...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu; Kama wanaharakati ni tatizo, kwanini wanaowaua waandamanaji hawakamatwi?

    Tangu yalipotokea machafuko ya Oktoba 29, 2025, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesikika mara kadhaa akiwalaumu wanaharakati hasa wanaoishi nje ya nchi, akidai kuwa wao ndio waliochochea na wanafanya hivyo kwa kuwa wanalipwa fedha na mataifa waliyokimbilia. Miongoni mwa kauli hizo ni ile aliyoitoa...
  6. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Nina maswali mengi sana yasiyo na majibu ,nisaidieni

    Habari ndugu wana jukwaa nahitaji majibu mazuri ya kisomi. 1. Waziri mkuu amesema kuna mtu analipwa milioni tano kila mwezi ili awaandikishe watanzania vijana wakaandamane na wameandaliwa watu wa kuwapiga waandamanaji ili kuchafua sura ya nchi yetu na mtu huyu amekamatwa na ametoa siri nyingi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wamelipwa ili waandamane,na kuna watu wamelipwa ili wawapige waandamanaji

    Kweli bongo inakwenda mbio,hapa unaweza ukala kote kuwili
  8. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Usikubali kulipwa uandamane ,kuna watu wamepanga kupiga waandamanaji na pesa haiwezi kurejesha uhai.

    Waziri Mkuu amefichua kuwepo kwa njama za siri zinazosukwa na baadhi ya watu kuwalipa watu wengine ili wawapige watakaoshiriki maandamano, kwa lengo la kuichafua Serikali. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Juni 27, 2026, wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wilayani Ikungi...
  9. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Wamelipwa ili wawapeleke Vijana wa kitanzania Barabarani na Wameleta watu wa kuwapiga hao vijana ili ionekane ni serikali

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote Kuna watu wanataka kuwatumia vijana wa Kitanzania kwa maslahi yao binafsi. Kama serikali ambayo tuna wajibu...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtu sio polisi, hana ushawishi hata kwenye ukoo wake anawezaje kutishia waandamanaji kama sio anachochea na kuleta vurugu na taharuki.

    Hamjambo! Dola ili isimame inahitaji mambo makuu matatu; 1) Mfalme/Rais. Huyu atakuwa kiongozi anayeonekana kwenye utawala. Ambapo atakuwa na mamlaka yanayoonekana lakini haimaanishi mamlaka yanaishi sehemu moja. Huyu kazu yake kupitua vyombo vya serikali kama vyombo vya dola kazi yake ni...
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Wakenya kufanya maandamano kuipinga serikali yao 25/6. Rais Ruto awataka waandamanaji kutumia haki yao na kuepuka kuharibu mali za watu🙏🏻

    Rais wa Kenya William Ruto ameonya dhidi ya aina yoyote ya machafuko, uharibifu wa mali, au kutatiza huduma muhimu kabla ya maadhimisho ya wiki ijayo ya maandamano ya kupinga serikali ya Juni 25. Akizungumza Ijumaa katika Mkutano wa Kitaifa wa Uzalishaji na Utendaji katika Shule ya Serikali ya...
  12. W

    JamiiForums Tanzania David Misime: Wameondoka kwenye ajenda ya maandamano sasa wanahamasisha kuchoma shule, kukata watu vichwa na kupora Askari silaha

    Wameondoka kwenye ajenda ya maandamano sasa wanaamasisha kuleta Vurugu, kuchoma Shule, kushambulia wananchi, Kukata watu Vichwa na kuua baadhi ya watu, na kuvamia kupora askari silaa” - DAVID MISIME, MSEMAJI WA JESHI LA POLISI
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma mnaoenda kuandamana, kuna tetesi ya vipenyo wenye bunduki na mabomu ya mkono kuwadhuru waandamanaji bila lawama

    Sio vitisho ila mambo yanaweza kuwa hivyo Itaonekana kwamba waandamanaji wamelipua biashara za watu na wao kwa wao wameuana na kujeruhiana.
  14. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Hesabu za maandamano, na hamasa ya waandamanaji

    Chizi anachekesha kama hatokei kwenu. Salaam jamiiforum, hope ni wazima na hata wale wagonjwa pole mtapata nafuu. Kwanza niseme tu Mimi si muumini wa kupost habari za siasa,ila ni mfuatiliaji mzuri wa habari za siasa na nipo karibu mno. Kunako social networks na sources kibao naona...
  15. Criss

    JamiiForums Tanzania Vipi ikitokea idadi ya waandamanaji ikawa kubwa mara 10 zaidi ya Oktoba 29 tena wakiwa na utayari wa kifo, Serikali inasubiri raia waifikshe huko?

    Binafsi siyo muumini wa kutegemea changamoto za Taifa kutatuliwa na mataifa mengine kama Marekani au kwingineko . Nimuumininsana wa kuziishi kanuni . Binafsi naamini upungufu wa hekima unaweza kuliingiza Taifa kwenye machafuko yasiyo na ulazima. Wakuu tusitiane moyo , watanzania wamekata...
  16. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Trump: Tuliwapa silaha Wakurdi wazigawe Kwa waandamanaji wa Irani ila hawakuzigawa

    Kwa Mujibu wa Taarifa iliyochapishwa katika tovuti ya Al Jazeera Aprili 6, 2026, Rais Donald Trump alisema kuwa Marekani ilijaribu kuwapelekea silaha kwa siri waandamanaji wa Iran kupitia wasuluhishi wa Kikurdi, zikiwa zimesalia wiki chache kabla ya vita vya sasa kuanza, hata wakati huo ambao...
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Kenya kufuatia maandamano

    Lei, Mei 18 kwenye baadhi ya maeneo kumeonekana migomo na maandamano ya watu wakidai bei ya mafuta imekuwa kubwa sana hivyo wanahitaji uwajibikaji bdi ishuke
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano ya Mafuta yageuka kuwa ya Vifo wakati Polisi wakikabiliana na Waandamanaji Nchini Kenya

    Maandamano ya kitaifa ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta yamegeuka kuwa vurugu na kusababisha vifo Jumatatu, Mei 18, baada ya makabiliano makali kati ya polisi na waandamanaji katika maeneo mbalimbali nchini Kenya. Huko Kakamega, watu wawili waliripotiwa kupigwa risasi na kufariki, huku...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo nchini na maudhi yaliyopo, kuna siku mambo yataharibika watu watakufa sana, na sio waandamanaji pekee, maana wao wamejifunza kitu

    Kila siku naangalia hali ilivyo nchini, na kuona tabaka la viongozi wa nchii hii ni kama sikio la kufa, hawajifunzi kutokana na yaliyotokea. Bado wanadanganya watu, wanafanya ufisadi na wanajiona wao ni dunia nyingine tofauti na wale wanaowaongoza. Sasa niseme wazi. Kwamba hadi sasa huenda...
Back
Top Bottom