waandamanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kama mnadai kwamba waandamanaji walianza wizi na uharibifu wa mali ndio wakapigwa risasi basi mafisadi wote nao tuwapige risasi hadi kwao

    Kuna mpuuzi mmoja nimekutana nae anasema eti waandamanaji walianza kupigwa risasi sababu ya wizi. Kama ni hivyo basi majizi yote yalioko serikalini nayo yapigwe risasi hadi nyumbani kwao tena mbele ya familia zao. Ukitumia logic hio yaani kama mtu kuharibu mwendokasi kumefanya apigwe risasi je...
  2. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kati ya watawala na wale waandamanaji ni nani mwenye mapenzi na Tanzania?

    Nikinukuu maneno ya Rais, kuwa "vurugu na uvunjifu wa amani huishia kupimana nguvu na uwezo wa kujihami, ila mazungumzo huzaa mshikamano. Sasa tuchague lenye manufaa kwetu, kwani usalama wa Taifa lolote hulindwa na wote kwa nguvu zote na gharama zozote" Niongezee kwa lugha ya sasa, kwa wivu...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji ya raia 1000 na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania hayana mashiko

    Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe? Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
  4. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje kutumia risasi za moto dhidi ya waandamanaji?

    Haya yalikuwa ni mauaji ya makusudi kabisa, Hakuna nchi yeyote duniani ambapo polisi hutumia risasi na bunduki wanapokuwa wanakabiliana na waandamanaji. Wengi wa waandamanaji mara nyingi ni raia wa kawaida tena wasio na mafunzo kabisa ya kijeshi unawezaje kutumia bunduki dhidi yao? Katika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Thabit Kombo: Mpaka sasa hakuna matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29. Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Magari ya CCM, nyumba ya mgombea udiwani vyachomwa moto na waandamanaji jijini Mwanza

    Hali jijini Mwanza leo Oktoba 31 imeonekana hivi:
  7. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Wananchi Arusha wakichoma kituo kikuu cha majumuisho ya kura

  8. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Waandamanaji Arusha wavamia kituo cha majumuisho ya kura

    Arusha: Waandamanaji wamevamia na kukiharibu kituo cha majumuisho ya Matokeo ya Mkoa huo. Madai ya waandamnaji hao ni kuwa Matokeo ya uchaguzi yafutwe, Nchi ipate KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Iunder Tume huru ya Uchaguzi na uwepo Utawala wa Haki. Wananchi hao wanasindikizwa na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Waandamanaji ‘waisalimia’ TCRA. Hii inaenda kubaya zaidi

    Mwanzo nilichukulia wanatania. Wanaonekana kudhamiria
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Jinsi Kituo cha Polisi pale Ubungo External kilichochomwa na waandamanaji

    Haya ni matokeo ya maandamano yaliyoendelea usiku wa kuamkia leo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kituo cha Polisi cha Olorieni chateketezwa kwa moto na waandamanaji

    Kituo cha Polisi cha Olorieni kimeteketezwa kwa moto na waandanaji usiku huu
  12. DonDonald

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waandamanaji wachoma moto yard ya magari ya mabasi ya Esther

    Yard ya magari ya Mabasi ya Esther Luxury imechomwa moto na waandamanaji Inasemekana mabasi yote yaliyokuwepo hapo yamechomwa moto
  13. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Wanachofanya waandamanaji ni kuligombanisha jeshi la wananchi na askari

    Kuna video nimeiona waandamanaji wapo nyumba ya gari la jeshi huku kwa mbele askari wakiwatupia mabomu ya machozi waandamanaji
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kufanyike nini wapiga kura tutoke? Hayo mazoezi ya majeshi yanatutisha, waandamanaji nao vilevile!

    Mwaka huu huwenda ukawa ni mwaka mgumu sana kutekeleza haki zetu za kikatiba za mwananchi kwenda kupiga kura Nchi nzima imetaharuki, sijawahi kuona wanajeshi na majeshi mengine kufanya mazoezi kama ilivyo sasa tena tu ni kwa ajili ya uchaguzi Ukweli ni kuwa, magwanda ya wenzetu hawa...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Yoyote anayefaham Mali /biashara za genge la Hawa Watekaji/Wauaji aweke hapa Taarifa . Waandamanaji wanashinda nazo!!

    Walidhani tunafanya Mzaha!. Hii sio Tanzania mloizoea.
  16. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tarehe 29 inawezekana wakakamatwa wanaokwenda kupiga kura badala ya waandamanaji

    Inawezekana nikaonekana nauliza swali la kijinga lakini litakua na athari kubwa sana hiyo siku ya uchaguzi. Kila anaetoka barabarani Hana alama kwamba anakwenda kupiga kura au kuandamana. Bado sijajua mamlaka hasa vyombo vya Ulinzi vitatumia mbinu gani kuepuka huu mchanganyiko. Tusishangae...
  17. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Idea ya waandamanaji kukutana kwenye vituo vya kupigia kura si nzuri itatugharim sisi waandamaji, tukutane barabara kuu uelekeo uwe ni Ikulu

    Amani iwe nanyi Asante sana Itakuwa rahisi sana kukamatwa na kupigishwa kura kama tutakutana kwenye vituo vya kupigia kura Tukutane tu barabarani wengine mitaan kwetu tushajipanga tiari tuna subiri mda tu tukiwashe Naona sasa tunaanza kuangashana bado mapema LONDON BOY
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump aposti video clip akiwanyea waandamanaji vichwani

    Rais wa Marekani amewajibu waandamanaji wa Hakuna Wafalme Marekani kwa kuposti video akiwa ndani ya ndege akiwanyea mavi waandamanaji waliokuwa katika maandamano hayo.
  19. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Kwamba jeshi likiwaunga waandamanaji ndio mishahara yao au cheo kitapanda? Wee form four utabaki na cheo hikoko abadan

    Halula! Yadunia yanachosha.. wewe darasa la saba, yule mwingine forum four faliya. Wadhani kuunga maandamano ndio mishahara utaongezwa sio! Hata ungekuja utawala wa Mansa au yule sultan bado ungepokea kidogo pengine kufurushwa kabisa. Na bado!
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Maandalizi yamekamilika 100%, kuendelea Kuteka Mapdre wa KATOLIKI, kumteka Polepole ni kuzidisha Hasira za Waandamanaji Oktoba 29

    Kila siku nawaambia humu, Hawa washenzi Chochote wanachoweza kukipanga ni rahisi kukisia nini itakua mwitikio wako. Hawana intellectual Capacity ya kudeal na masuala mazuri mazito. Utendaji wao wa kazi unategemea -Nguvu -Pesa -Na kuchomeshwa kama ilivyokúa Kwa Polepole Polepole Amekua...
Back
Top Bottom