GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,516
- 108,793
Vincent Aboubakar ndiye mwamba aliyewezesha rekodi ya timu ya kwanza kutoka Afrika kuifunga Brazil tangu kuumbwa kwa uso wa dunia.
Licha ya ushindi huo, Cameroon haijafanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora, lakini mchango wa mwamba huyo hautosahaulika ndani ya kikosi hicho.
Chanzo: tbc_online
GENTAMYCINE nauliza hivi tumeenda Qatar kuweka rekodi ya kupambana, kufika mbali na ikiwezekana hata kubeba (kuchukua) Kombe la Dunia au tumeenda kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza kutoka barani Afrika kuwafunga Wabrazil?
Mbona hawa hawa Cameroon Kombe la Dunia la mwaka 1990 (kama sijakosea) wakiwemo akina Roger Milla, Francis Omam Biyik, Kunde Yekete, Mfede na Makanacky waliwafunga pia Argentina ya Hayati Diego Armando Maradona kwa mara ya kwanza kama timu ya Afrika (kutoka Afrika). Je, baada ya kufanya hivyo walifika mbali kimashindano?
Kuna muda kutokana na upuuzi (upumbavu) wa Waafrika wachache ukijijua wewe ni Mwafrika mwerevu (intelligent) unajutia hata kwanini Mwenyezi Mungu alikuumba na hii rangi na hakukuumba na rangi nyeupe ya Wazungu wanaojua kufikiri vyema na wanajitambua kimaisha na kiutendaji.
Sishangai sana kwani ndiyo maana hata tumefikia hatua za kupeana PhDs (Doctorates) za Utu na Huruma wakati huyo aliyepewa hana utu wa kuvumilia kusemwa (kukosolewa) na pia hana huruma kuwa ndani ya nchi yake hiyo hiyo kuna watu hawapati huduma ya maji safi na salama na badala yake wanaishia kunywa maji machafu yenye sumu ya viwandani, ambayo wanyama pia wameyakojolea na hata kuyanyea (kuyakweka) vile vile.
Hovyo kabisa!
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!