wa zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mawazo ya Mwanamke kwa wapenzi wa zamani (Kulinganisha)

    Hii picha imenifikirisha sana jinsi bidada anavyowakumbuka wanaume zake wa zamani. NI NGUMU SANA KUMRIDHISHA MWANAMKE WA AINA HII.
  2. JamiiForums Tanzania Watu wa zamani (malegendary) mkuje mnisaidie jina la huu wimbo

  3. JamiiForums Tanzania Uongo wa wazee wa zamani wa Tanzania kuhusu mpira

    Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa. Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Fedha wa Masumbuko ashtakiwa US

    https://www.africanews.com/2024/07/18/mozambique-former-finance-minister-on-trial-in-us/
  5. JamiiForums Tanzania Mke Ukiachika, Ukapata Bwana Mpya, Ni Sawa Kumzungumzia Bwana wa Zamani Kila Uchao? Wanasiasa Hamahama, Wanachofanya ni Sawa Kuponda Tuu Walipotoka?

    Wanabodi, Usingizi ukikata, huwa nashuka jf anytime, leo nauliza Mke au Mume ukiachika, au ukaachwa, kisha ukapata bwana mpya, au chombo kipya, je ni sawa kumzungumzia bwana wako wa zamani kila uchao mbele ya bwana mpya au bibi mpya?. Je hiki kinachofanywa na wanasiasa hamahama, kila saa...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Chini ya zulia waziri wa sukari alalamika kwa watu wa karibu waziri wa zamani wa misitu mapori na wanyama ndio mchawi wake!

    Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
  7. JamiiForums Tanzania Nashindwa Kum - block na kum - unblock X (mpenzi wa zamani) moja kwa moja

    Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja. Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga a view! Mtoto anaishi nae.
  8. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi Mstaafu wa Marekani adai Nchi za Afrika zirudishwe kwenye Utawala wa Kikoloni kwa kushindwa kujisimamia zenyewe

    Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa kurudishwa kwenye ukoloni kwa sababu viongozi wake wana ufisadi na ubinafsi. Prince alitoa mtazamo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Makampuni ya Simu yanalazimika kuhuisha namba za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya?

    Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunapata fundisho gani Kwa Trump, Rais wa zamani wa America, kukutwa na hatia Kwa makosa ya jinai?

    Hukumu ya kihistoria imetolewa katika mahakama za huko America, Kwa Rais mstaafu wa nchi hiyo, Donald Trump, kukutwa na hatia Kwa makosa 34 ya jinai, aliyoshitakiwa nayo. Hiyo inamfanya Donald Trump, kuwa Rais wa kwanza mstaafu wa America, kukutwa na hatia, Kwa makosa ya jinai tokea Taifa Hilo...
  11. JamiiForums Tanzania Diddy aomba radhi baada ya video akimpiga Cassie kusambaa

    Baada ya viedo ya Diddy kusambaa akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie aomba radhi kupitia page yake. Pia soma: Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani
  12. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Bima ateuliwa kuwa Kamishna wa NCAA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la #Ngorongoro (#NCAA) Dkt. Doriye anachukua nafasi ya Richard Rwanyakaato Kiiza, ambaye aliondolewa katika nafasi hiyo Machi 15, 2024 Aidha, Christopher Derek Kadio ameteuliwa...
  13. JamiiForums Tanzania Utamaduni wa Usafi wa Zamani!

    Habari zenu Wanajukwaa! Leo nimekumbuka kipindi tuna miaka 3-7 ilikuwa ikifika jioni baada ya michezo ya siku nzima, mama anakagua miguu kama ni michafu kabla ya kuingia ndani (kuoga haikuwa lazima ila Kunawa miguu ilikuwa Jambo la Lazima, mara kumi usiingie ndani kama miguu ni Michafu) Baada...
  14. JamiiForums Tanzania Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

    Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Ehud Barak amesema Israel ilifanya makosa ya kimahesabu kwa adui zake ,hivyo haoni kuna haja ya kufanya vita na Iran, na anajua tayari kuna upinzani kutoka Hamas, Hezbolla,Houthis na sasa Iran na itachukua muda mrefu sana katika operesheni zake katika miji ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka. Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
  16. JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI wiki nzima tumelipia leseni kwenye mfumo wa mtandaoni lakini hatujapa leseni mpaka sasa

    Watumishi wa hii serikali sijui kitu gani wanaweza! Zamani walikuwa na mfumo wa leseni manual katika manispaa, ilikuwa ukilipa mpaka muda wa leseni unaisha hujaipata! Sasa hivi online kuomba nayo unalipia unakaa wiki nzima leseni hawatoi! Inabidi na hizi wizara nyingne nazo tutafute...
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Kocha wa zamani wa Simba, Dkt. Adel Zrane afariki Dunia

  18. JamiiForums Tanzania Kimenuka: Mchezaji Geremi Njitap ataka kumtaliki mkewe baada ya kubaini watoto mapacha aliowakuza kwa miaka 16 sio wake'

    Ndoa ya Nyota wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Cameroon, Geremi Njitap ipo katika mchakato wa talaka baada ya kubainika Watoto Mapacha waliozaliwa Mwaka 2008 miaka minne kabla ya kufunga ndoa na mkewe, Toukam Fotso Laure Verline si wake Kibaiolojia Geremi (45) amefungua kesi Mahakamani...
  19. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa zamani wa Boeing aliyekuwa akikosoa ubora wa ndege hizo akutwa amefariki nchini Marekani

    Bwana Barnett alifanya kazi kwa kampuni kubwa ya ndege ya Marekani kwa miaka 32, hadi alipojiuzulu mwaka wa 2017 kwa sababu za afya. Tangu mwaka wa 2010, alifanya kazi kama meneja wa ubora katika kiwanda cha North Charleston kinachotengeneza Dreamliner ya 787, ndege ya kisasa sana inayotumiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mwenyeji wa Zamani ila Mgeni mpya

    Hello wana Jamii. Nimekuwa nikisoma majadiriano mengi ya wana Jamii forums kwa mda wa miaka mitano sasa. Ila karibuni ndiyo nimeamua kujiunga rasmi nami niwe mmoja wapo wa wachangiaji na kuweza kuelimishana kwa vitu kadha wa kadha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…