Hapa huchomoki hata uwe na misuli minene na kunyanyua vyuma

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,308
Reaction score
8,391
1753358004395.jpg

Wanaume wenzangu muwe mnaenda kuchunguliamo mara Moja Moja

Msije sema sijawaambia. Ukishawekwa hapa..ni mwendo wa sawa waifu wangu..ndio ndio..nakutumia waifu ...Ile nyumba ntaiuza tu hela zote nitakupa wewe waifu...sawa waifu...Kuna kingine waifu...ntazifua tu nguo waifu..wewe relax tu waifu..wewe uko Peke.yako waifu..wengine nawaona mavi tu waifu...wewe sema chochote waifu,, kesho twende yard waifu nikakununulie ndinga mpya waifu utambe mjini,,,

Mshana Jr hii mtu unachomoka kweli ?
 
View attachment 3416714

Hilo likishaonekana tayari ni mwanzo wa tiba! Kwakuwa sasa kamba zinaweza kukatwa hata na yeyote
 
Back
Top Bottom