vyombo vya habari

  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tutaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari ili watanzania wapate haki ya taarifa

    Katika hotuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutubia bunge la 13 amesema Serikali yake itaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari iliwatanzania aweze kupata haki ya taarifa za ndani na nje ya nchi Pia amesema wataendelea kutambua...
  2. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Media za Tanzania mlipewa hongo mkawapuuza wananchi?

    Inasikitisha media zote kuanzia Television stations, magazeti na online TV msiripoti Hata kifo kimoja kwa vurugu za uchaguzi? Al Jazeera wanatangaza watu zaidi ya 10,000 wameuliwa ila bongo kimyaa!. Hakika hii dhambi mtailipa. Pesa zitakwisha, Watanzania watabaki washindi
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Nchini Tanzania na Jukumu Lao Baada ya Kushindwa Kuhabarisha Umma Dhidi ya Kilichotokea Siku ya Uchaguzi wa Mwaka 2025

    Vyombo vya habari nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi zinazofuata mfumo wa kidemokrasia, vina jukumu muhimu la kuhabarisha umma, kuelimisha, kuburudisha, na kufanya kazi kama mlinzi wa maslahi ya umma (The Media and Democracy). Jukumu hili linakuwa muhimu zaidi wakati wa...
  4. President of China

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The secret behind Kenya’s role in influencing unrest in Tanzania under the guise of fighting for democracy

    THE SECRET BEHIND KENYA’S ROLE IN FUELING UNREST IN TANZANIA UNDER THE GUISE OF FIGHTING FOR DEMOCRACY. By Dr. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania The General Election of the United Republic of Tanzania, held on October 29, 2025, marked another historic chapter in the country’s...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Pope Leo XIV atoa wito kwa vyombo vya habari kutojitenga na ukweli

    Wakuu natamani vyombo vyetu vya habari ujumbe huu uwafikia pia. Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Leo XIV kupitia ukurasa wake wa X amevitaka vyombo vya habari haviwezi na havipaswi kujitenga na ukweli. === "The media cannot and must not separate itself from the destiny of truth...
  6. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vimewakosea sana watanzania, Vinapaswa kuomba radhi, Hakika damu iliyomwagika itawalilia

    Vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru katika kutoa taarifa kwa wananchi wote. Kwa jinsi mwenendo wa hali ulivyokuwa tangu kuanza kwa kampeni mpaka kutokea mauaji ya halaiki kwa raia, vyombo vya habari vimehusika kwa kiasi kikubwa, Damu hii iliyomwagika ardhini itawalilia milele. Vyombo vya...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani

    Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani. Naona vyomba vya kimataifa tu sio ITV wala TBC tukiwaondoa wahuni wakatafute nchi ya kuwatangazia wananchi tumesema
  8. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni za Urais 2025: Mizaha, Sera za ‘Mambo’ na Upendeleo wa Vyombo vya Habari

    Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa unatarajiwa kufanyika kesho, Oktoba 29, 2025, ikumbukwe Tume ya Uchaguzi ilipuliza kipyenga cha kuanza kampeni za wagombea wa urais zilizodumu kwa zaidi ya miezi miwili, ni vyema kwa ufupi tukamulika kipindi hiki ambacho kinahitimishwa leo...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyombo vya Habari vya asili (traditional media) kuweka hitimisho la kampeni za mgombea wa CCM 'Front page' ni wajibu, mapenzi au maagizo?

    Yapi maoni yenu wakuu? Binafsi naona ni maagizo kutoka kwa Gerson Msigwa ili kumfurahisha mama.
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyombo vya Habari Tanzania kuipa kisogo 'speech ya Askofu Gwajima; Ni kwa maslahi ya nani?

    Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, ghafla anaibuka mwanasiasa ambaye pia ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima na kutoa msisitizo wa baadhi ya mambo yanayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu. Katika hotuba yake...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 ZAMECO yalaani hatua za kudhibiti Vyombo vya Habari, yatetea Haki ya kupata Taarifa kipindi cha Uchaguzi

    Kamati ya Wataalamu wa Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) inasikitishwa na hatua ya Tume ya Utangazaji ya Zanzibar kutoa taarifa inayoweka orodha ya Vyombo vya Habari vya Mtadaoni inavyovitaja kuwa vinafanya kazi kinyume cha sheria ambayo Tume hiyo inaisimamia na kutishia kuvichukulia hatua...
  12. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakuu wa vyombo vya habari wahimiza amani kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Wakuu wa vyombo vya habari na wahariri waandamizi nchini Tanzania wamekutana leo oktoba 25, 2025 katika jengo la Millenium Tower Jijini Dar es Salaam na kuzungumza na watanzania kupitia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 29, 2025. Tukio hilo lilikuwa na dhumuni la kuwakabidhi...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyombo vya ulinzi acheni kutumia nguvu pasipo sababu za msingi, mkabiliane na vijana kwa namna walivyo

    Mwalimu Uzima Mkufunzi wa masuala ya amani kutokea Baraza Kuu la Waislama Tanzania (BAKWATA) amewakumbusha viongozi wa dini na wananchi juu ya uzalendo wa mtanzania ni kupiga kura huku akipita kwenye vitabu vya dini na maandiko matakatifu hakuna kitabu kilionekana kikipingana na serikali hivyo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vikubwa vya ndani, pazeni sauti kukemea maovu mkifanya kwa umoja wenu hakuna atakayewazuia

    Hii teka teka na chukua chukua isiyofuata taratibu na kisha hii ya hayuko huku hatujui alipo, haina afya kwa Taifa letu Hili Taifa si la wachache, ni letu sote likiharibika hatuna lingine tena. Kwa macho ya kawaida kabisa kuna kundi limejipanga kutuharibia nchi na kwa bahati mbaya hili kundi...
  15. Pakome

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari ikiwemo Tv, Radio na Magazeti chaguo ni lenu kukubali kufa ama kuishi, kuishi kwenu ni kuacha unafiki

    Vyombo vya Habari ikiwemo Tv, Radio na Magazeti chaguo ni leo kukubali kufa ama kuishi, kuishi kwenu ni kuacha unafiki Chaguo ni lenu wenyewe mchague kufa kwa kupuuzwa na Wananchi, itafikia mahali hata gazeti moja halitanunuliwa tena Itafika mahali hakuna Mwananchi atatizama Channel zenu...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msimamizi wa uchaguzi Ruangwa atoa wito kwa vyombo vya habari kuzingatia maadili ya taaluma

    Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ruangwa, George Mbesigwe, amevitaka vyombo vya habari kufuata sheria, kanuni na maadili ya taaluma zao wakati wa kipindi cha uchaguzi, akisisitiza kuwa ni muhimu kutoa taarifa kwa ufasaha, uwiano na bila upendeleo. Akizungumza leo Oktoba 22 katika kipindi cha...
  17. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 DOKEZO Responded Uchaguzi Mkuu wa 2025 na uadilifu wa Vyombo vya Habari Tanzania

    Kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zimebakia takribani wiki mbili kabla ya Watanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Hali ya uadilifu wa Vyombo vya Habari Katika jamii ya kidemokrasia, Vyombo vya Habari hutazamwa kama daraja kati ya...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyombo vya Habari Tanzania Vimepoteza Dira, Watawala Wanalindwa, Wananchi Wananyamazishwa

    Ukitazama uchaguzi wa mwaka huu, utagundua kuwa vyombo vyetu vya habari vimekuwa vikiweka msisitizo mkubwa kwenye masuala ya amani na haki. Hili si jambo baya, lakini ni muhimu watambue kwamba, wakati wakihubiri amani, kuna kundi la watu ambalo limekuwa likipaza sauti kuhusu utekaji, upoteaji wa...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Taswira ya Vyombo vya Habari Tanzania katika tangazo la TEC

    Chawa wakiitisha press kufanya mambo yao yanayoambatana na comedy mbovu au "wahuni" wakijibu Polepole unakuta mic 🎤 zimejaa mpaka zinaanguka kutoka mezani, katibu wa TEC anaongea kuna mic moja tu ya Jambo TV! Hata wakatoliki wenye viTV vyao vya mfukoni wako mashimoni kama panya wanaosubiria giza...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Kaka wa aliyetekwa kasema ndugu yake katekwa na Mtu fulani lakini vyombo vya habari vinaripoti katekwa na watu wasiojulikana

    Wakuu, Mwanachi mwenzetu kaongea ukweli kabisa, kuna muda vyombo vya habari tunavyotegemea kutupa habari kwa undani na uwazi vinaamua kutupoteza kwa kukimbia ukweli au na wao wanamilikiwa na wajuba? Sema jamaa anajiamini nimewaza na hilo koti alilovaa ni hatarii sana
Back
Top Bottom