vyombo vya habari

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Niffer kama kweli kaachiwa huru, kwanini gari lilomchukua lilikuwa na Polisi wa kike na hapo hapo kaitishiwa Vyombo vya Habari

    Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama. Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na usalama. Hii script ya CCM kusema raisi kawa na haki ni uwongo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia yawakosha Watanzania. Waomba irudiwe kwenye vyombo vya habari kwa mwezi mzima mfululizo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tumepata Rais ,tumepata kiongozi imara,tumepata nahodha hodari,tumepata jemedari shupavu. Watanzania Tumepata Amiri Jeshi Mkuu Shupavu , Madhubuti na Shujaa kwelikweli. Tuna kila sababu ya kujivunia kuwa Na Rais Samia kitini. Tuna kila sababu ya kusema asante...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

    Wale wa ICC Kazi imeshaisha. Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria. Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa. Tukamalize kazi ICC...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

    Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Chande Othman ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu(Oktoba 29, 2025) leo Desemba 01, 2025 ameainisha mambo 6 ambayo yatachunguzwa na tume hiyo. 1. Kuchunguza na kubaini chanzo...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nchi ipo kwenye ukimya mzito Mwigulu ndio kila siku yeye anasikika kwenye vyombo vya habari yani nchi kama vile haina serikali ile iliyoshinda kwa 98%

    Nchi ipo kwenye ukimya mzito mwigulu ndio kila siku yeye anasikika kwenye vyombo vya habari yani nchi kama vile haina serikali ile iliyoshinda kwa 98%. Mwigulu naye akinyamaza ndio basi nchi nzima itakuwa kimya kama vile haina serikali, huyu jamaa anajitahidi sana kuongea ongea kila siku na...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu: Tanzania haitaendeshwa kwa 'Remote', Magari 1642, vituo vya mafuta 672, bodaboda 2268 vilichomwa moto

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari pamoja na waandishi wa habari, akihitaji nguvu kuunganishwa ili kufikia malengo ya Dira 2050. Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Nawashukuru Wahariri na vyombo vya habari Tanzania kwa...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameshukuru muitikio wa wasimamizi wa vyombo vya habari nchini waliokutana kujadili na kutoka na Azimio la pamoja kuhusu namna ya kuripoti uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Dkt. Rioba amesema kuwa licha ya...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Nawapongeza vyombo vya habari nchini, mpo sahihi sana, sio lazima tuige mtindo wa kuishambulia nchi yetu

    Waandishi wa Habari mlikuja kulalamika kwamba wananchi wanawashambuli kuhusu kukaa kimya, baada ya statement hii ya semaji Gerson Msigwa mna lipi la kusema? ==== Kuhusu vyombo vya habari vya Tanzania, Msigwa ameanza kuvipongeza kutokana na kazi nzuri wanayofanya kwa weledi na umakini mkubwa na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Nimesoma uandishi wa habari 'It is Unprofessional and unacceptable to publish bad taste images'

    Naomba waliosoma uandishi wa habari kama Msigwa mtuelezee hapa anamaanisha nini:BBRUHH:
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa

    Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa.
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya habari vya nje vimechapisha na kutangaza taarifa za upande mmoja na kupotosha kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi

    Msemaji Mkuu wa Serikali amedai kuwa Vyombo vya habari vya nje vimeandika habari ya upande mmoja kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi "Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa kuongea na Waandishi wa habari leo Nov 23, 2025

  14. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya taarifa ya CNN kutoka, serikali ilishwandwa nini kualika mara moja vyombo vya habari vifike kwenye eneo linalodaiwa kuwepo kaburi la pamoja?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na mpaka sasa sipati majibu kwani nilitarajia kuona serikali inaalika vyombo vya habari vya ndani na nje mara tu baada ya taarifa ile ya CNN kutoka Tukumbuke, kuzika watu wengi kwenye kaburi la pamoja, ndio tuhuma kubwa na mbaya kuliko zote iwapo itathibitika kuwa...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TCRA yatoa onyo kwa vyombo vya habari kusambaza maudhui yanayoweza kuhatarisha amani kutoka kwa watu wenye kesi za uhaini

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kuutaarifu umma na kuvikumbusha vyombo vyote vya habari nchini, ikiwemo televisheni, redio, machapisho, mitandao ya kijamii, tovuti na majukwaa ya kidijitali, juu ya wajibu wao wa kufuata sheria na kanuni za mawasiliano katika kutoa habari kwa...
  16. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuzungumza na vyombo vya habari saa 9 alasiri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari, tarehe 17 Novemba, 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma. https://www.youtube.com/live/SxXTD_EHUIE?si=q_ZLZCQITfKe2mN-
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mwananchi Communications wamepotosha kusema wanafunzi 309,986 hawajulikani walipo

    Serikali kupitia Idara ya Habari Maelezo imesema taarifa iliyosambaa ikidai kuwa wanafunzi 309,986 hawajulikani walipo ni potoshi. Kwenye ujumbe wao, Maelezo wamesema kwamba idadi hiyo ni ya wanafunzi walioacha shule baada ya kukagua majina yao ya kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2022 na...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbona vyombo vya habari haviripoti kanusho la wizara ya afya kama ni Ai

    Mbona vyombo vya habari haviripoti kanusho la wizara ya afya kama ni Ai. Vyombo vya habari vya ndani vinaripoti tu maridhiano sasa tujiulize ni maridhano ya nini ? inamaana hawajui kinachoendelea.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzani vinatia aibu sana

    Jioni hii ya leo tarehe 14.11.2025 nilikuwa nasikiliza redio one stereo waliokuwa wamejiunga na idhaa ya kiswahili BBC kwa matangazo yao ya jioni BBC wameruhusiwa kuelezea hotuba ya Rais na habari nyingine nyingine lakini ilipofika hatua ya kutaka kusikia maoni ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA...
Back
Top Bottom