Yule mzee roporopo aliyesema wema hawafi sijui kama tutamuone tena akisema wema hawafi,namuona kakaa kimya kajikunyata kama kifaranga kilichoroa, kwisha habari yake
Yale mambo ya ulimwengu wa tatu ya banana republics ya mtawala hakoselewi sasa yameanza kushika kasi Marekani katika awamu ya pili ya Trump, tayari ameshamfukuzisha kazi comedian mmoja mkubwa maarufu Stephen Colbert wa CBS ambaye ni mmojawapo wa wakosoaji wake wakubwa, ameshavuna mabilioni ya...
Ukweli usemwe, watanzania wanapenda umbea na habari nyepesi, kuwa cut off watu wanaokata kiu hiyo ni kujifanya hatuijui jamii yetu, na pia habari hizo nyepesi (umbeya) zimesaidia ku-de-fuse jamii na pia kunyonya negative issues katika jamii kama godoro linavyonyonya maji. Pia sidhani kama jamii...
Wakuu,
Hivi ni lini media zitafahamu kwamba hizi propaganda za kitoto za kuchukua wananchi feki ili ku-adress spana a gavoo hazifanyi kazi tena
Jana Mange aliweka video kuonesha kuwa wananchi wa Manzese wanakabliwa na changamoto ya mabomba yao kutoka maji machafu leo Jambo TV wameingia...
Kauli ya Daniel Kalinga Mtumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Wakati akifunga mafunzo kwa Watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo kutoka mikoa ya Iringa,Ruvuma na Njombe.
Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!!
Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
Wakuu!
Katika pitapita zangu huko Mitandaoni nimekutana na page zaidi ya Tatu tofauti za Vyombo vya Habari vilivyoandika/kupost makala moja kuhusu Humphrey Polepole na wote wanahoji "Polepole ni Mzalendo wa kweli au Mjanja wa Siasa", ukitazama ni kama wametumiwa na mtu mmoja kisha wao wamepost...
Husika na mada tajwa hapo juu:
Tukio alilolifanya Polepole ni ukosefu wa hekima na busara, ni uvunjivu wa Maadili ya mtumishi wa umma, ni kusaliti kiapo chake, ni uongo ni upotoshaji kwahyo yafaa afunguliwe kesi.
Huwezi ukasema kwasababu uliteuliwa hadharani basi na barua yako ya kujihudhuru...
Katika siku za karibuni, kumeibuka hali ya kusikitisha sana katika tasnia ya habari nchini Tanzania. Vyombo vingi vya habari ambavyo viliheshimika kwa kuandika kwa ujasiri na ukweli, sasa vinaonekana kama vimelegeza msimamo. Habari muhimu zinazogusa maslahi ya wananchi, hasa zile zinazokinzana...
Wakili Shabaan Marijani amesema watu wote waliyotajwa katika zuio la Mahakama la kutokushiriki shughuli zozote za kisiasa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hawaruhusiwi hata kuzungumza na vyombo vya habari.
Aidha, amesema wakitaka kuzungumza na vyombo hivyo wasizungumze...
Wakuu!
Ule Mkutano na Vyombo vya Habari wa Humphrey Polepole ndio leo – Julai 18, 2025 saa 5:00 asubuhi.
Awali, mkutano huu ulikuwa umepangwa kufanyika Julai 17, lakini Polepole alitangaza kuusogeza mbele hadi leo Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025.
Unategemea kusikia nini kutoka kwake...
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kutofautiana na maamuzi ya Mahakama yaliyotangazwa mapema leo na Wakili Mwenzake Shaaban Marijani anayesimamia Kesi dhidi ya Chadema yenye kutaka mgawanyo sawa wa rasilimali za Chama hicho kwa upande wa Bara na...
Akizungumza Julai 15, 2025 katika mkutano wa pili wa umoja wa mabaraza ya habari Afrika, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango alibainisha uwepo wa Taarifa Potofu zisizodhibitiwa kama changamoto inayokabili vyombo vya habari kwani inaweza kushusha kiwango cha Uaminifu kwa wananchi
Ujumbe huo...
Wakuu, Kama Kuna Jambo Polepole kalifanyia Taifa hili, na Atabakia kwenye Historia ya Watu Muhimu nchini, ni Hilo la yeye kujiuzulu.
Sasa hapa ieleweke, Tatizo sio yeye kujiuzulu, NI TITLE YAKE 'BALOZI' ...yaan BALOZI alochaguliwa na Rais, kajiuzulu.
Vyombo vya Habari Kimataifa, Mashirika ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa Serikali ya awamu ya sita na Chama Cha Mapinduzi Kinathamini uwepo wa Vyombo vya habari imara, katika kukuza uwajibikaji na kuimarisha utawala bora nchini.
Akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari na...
Hilo ndilo kosa kubwa linalofanywa na uongozi wa Kenya siasa kwenye vyombo vyao vya habari ni Kwa 95%,vipindi vya kimaendeleo Kwa Kenya vinapatiwa 5% only,Tujifunze Kwa majirani, hakika mungu anaipenda sana tanzania yetu.
#Anatuletea mifano kwenye malongo yetu.
#Vyombo vya habari vinanguvu...
Jana wakati anahojiwa na Media, Fahdu anasema Simba Haina wachezaji wenye quality kama Yanga, ina maana Israel Mwenda, Boka, Wana quality kubwa sana kushinda Kapombe na Shabalala, matatizo ya ndani ya timu kiuongozi ndio unahamisha kwenye quality ya wachezaji, kwani ulikuwa una ulazima Gani...
Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CAK) imetoa agizo kwa vituo vyote vya runinga na redio nchini kusitisha mara moja matangazo ya moja kwa moja ya maandamano yanayoendelea ya tarehe 25 Juni.
Katika waraka ulioandikwa tarehe 25 Juni 2025 uliowasilishwa kwa "Vituo vyote vya Runinga na Redio"...
Rais wa Marekani Donald Trump amekosoa kile alichokitaja kuwa upotoshaji wa habari kuhusu taarifa za intelijensia zilizovujishwa na kwanza kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani
Rais Trump ameshikilia msimamo wake kwamba mashambulizi ambayo aliamuru kufanywa dhidi ya Iran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.