Sheria hii ilitumika kuufungia mtandao wa JamiiForums pamoja na vyombo vingi sana vya habari, Sababu kuu ikitajwa kuwa ni kuandika na kurusha habari bila kuzingatia mzani na kufanya utafiti kuupata ukweli upande wa pili kabla ya kurusha au kuandika habari.
Je, hayo yamezingatiwa katika kurusha...
Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mafinga “Mafingensis" atazungumza na vyombo vya habari, kesho, 30.09.2025 saa 4 asubuhi na kutoa taarifa mintaarafu kuhusu Padre Jordan Kibiki
24.09.2025 Kamanda wa Polisi (RPC) Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi aliwaeleza waandishi wa habari...
Uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania upo kwenye jaribio hatari, kama vile kulazimisha giza na nuru kuoana kwa nguvu.
Hivi karibuni, hatua zilizochukuliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) dhidi ya mtandao mashuhuri wa kidigitali (Jamii Forums) zimewaacha wengi wetu tukijiuliza...
Kutokana na habari za utekaji kutrend Leo kwenye vyombo vya habari hasa habari hiyo kurushwa na BBC.
Nikaamua niwafate BBC Swahili kupitia Star Tv Kila saa 3 kamili usiku. Cha ajabu hiyo habari ya utekaji imekatwa na star tv muda huu na kuweka matangazo TU.
Aisee hii nchi ilikofikia na mbaya...
Kwa kuzingatia kifungu cha 26 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa Uchaguzi Na. 2 ya Mwaka 2024, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatoa mwaliko kwa vyombo vya habari vyenye nia ya kuchapisha au kutangaza habari wakati wa kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo.
Chombo cha Habari...
Ni kutokana na kugundua vilikuwa vinatumika na Mtandao.. Tunaofahamu tunafahamu Eric hajawahi kuwa that much smart.
Vyama vya upinzani vingi vina mapandikizi ya Mtandao. Na hawa ndo walikuwa wanawawezesha wafanye harakati zao za Kimaslahi. Zitto Kabwe alishauriwa asijiunge CCM aanzishe Chama...
Wanabodi.
Mimi ni mmoja katika tasnia hii. kuna malalamiko mengi juu ya kwa nini vyombo vya habari Tanzania haviandiki tuhuma bali vinaandika kanusho za tuhuma. mfano kama hii ya PolePole
Kwa wasiolewa taaluma hii naomba nisaidie jambo.
Kwanza kama Taifa tunakiri kuna shida mahali katika uhuru...
1. Wanaogopa kufungiwa, kuna tight, very tight grip on media outlets na serikali
2. Sidhani wanapenda kuandika /kutokuandika kama wanavyofanya.
3. Wapo wachache machawa, lkn wengi nadhani wanaogopa wrath of this dictatorial gov.
4. Ukiacha akina Balile et al .....wengine wanaogopa kufungwa...
Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!. Hawajui kwamba wakimaliza demokrasia hata wenyewe watafungiwa!!!! ni kutokuangalia mbali!!!. Yaani wenyewe wanaficha habari zote hasi kwa serikali
Wakuu!
Hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari vimeanza kutangaza kauli mbiu za vyama vya siasa. Hali hii inanitia wasiwasi kuhusu uadilifu na mustakabali wa demokrasia yetu kipindi cha uchaguzi.
Swali: Je, hili si mwanzo wa kampeni kabla ya muda wake? Na je, taarifa hizi kwa wapiga kura...
Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha habari kuhusu commital proceedings lazima vipeleke maombi mahakamani.
Ndio basi kesi imeingia gizani. Tutakuja tu kusikia hukumu. Wanaficha hapa, na wakienda mahakama kuu pia ni kificho. Hii ni unprecedented katika nchi ya "kisiwa cha amani"
Wakuu,
Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata
===
"Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya...
Leo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, Ndugu Luhaga Mpina, pamoja na Mgombea Mwenza wake, Ndugu Fatma Fereji, watazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam, kuanzia saa 4:00 Asubuhi.
#LindaKura
#MuhuniHasusiwi...
Mpango wa Afrika wa Uandishi wa Habari na Vyombo vya Habari “Afromedia” umekosoa madai ya ukatili unaodaiwa kufanywa na Jeshi la Israeli dhidi ya waandishi wa habari na waandishi wa ripoti katika Ukanda wa Gaza tangu Oktoba 7, 2023, ukisisitiza kuwa kinachoendelea ni ukiukaji wazi wa sheria zote...
Leo Agosti 14, 2025 Mgombea Urais wa Tanzania wa ACT Wazalendo Ndg Luhaga Mpina na Mgombea Mwenza, Ndg Fatma Fereji watazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari.
Mahala Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM
Muda: 4:00 Asubuhi.
Hivi karibuni, vyombo vya habari vimekuwa na nafasi kubwa katika kuunda mitazamo ya jamii kuhusu masuala ya jinsia. Hata hivyo, hali imekuwa ikielekea kwenye upotoshaji wenye ladha ya "sukari ya ziada" kwa upande mmoja, huku ikipuuza upande mwingine. Masimulizi haya mara nyingi huchangia...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesisitiza umuhimu wa vyombo vya habari, hususan vya mtandaoni, kuzingatia miongozo na kanuni za uandishi wa habari kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Soma pia: Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kupanga kituo cha kazi Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na upangiwa kituo ni kama...
Yule mzee roporopo aliyesema wema hawafi sijui kama tutamuone tena akisema wema hawafi,namuona kakaa kimya kajikunyata kama kifaranga kilichoroa, kwisha habari yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.