Akizungumza na waandishi wa habari mjini Musoma leo Jumanne Machi 10, 2026, Askofu wa Jimbo Katoliki la Musoma, Michael Msonganzila amevitaka vyombo vya habari kuwa waangalifu vinapotafuta habari kwani vinaweza kuchangia kuleta migogoro ya ajabu ya kisiasa, na visikubali kutumiwa ovyo ovyo
PASCHAL MAYALA NA KABURI LA MEDIA!
Nimeona taarifa inayosema Baraza la Ithibati la Waandishi wa Habari limempa Paschal Mayala saa 24 athibitishe kauli yake kuwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alichukizwa na kitendo cha waombolezaji wa msiba wa Kadinali Pengo kuwashangilia mawaziri wakuu...
Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimeripoti kwamba binti yake Khamenei, mkwe wake wa kiume, mjukuu wake na mkwe wake wa kike wameuawa. Kwa mujibu wa taarifa za awali, vifo hivyo vinadaiwa kutokea kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni yaliyoripotiwa kulenga makazi yake. Hata hivyo, maelezo...
Huyu jamaa hana tofauti na akina mwijaku na wengine.
Wana JF huyu jamaa amepandikizwa na kulipwa ili kumsifia Samia huku JF
Tukae nae mbali hana uzalendo na taifa hili ni mnafki
Mimi siyo Mtabiri na Wala siyo Nabii. Ila kwa mwenendo huu wa hii kesi ya Tundu Lissu very soon tutaambiwa waandishi WA habari hawatakiwi kuitangazia kwa Umma, kwa kisingizio inaharibu mwenendo wa kesi husika na waandishi kuipotosha Umma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu, amekanusha madai ya vyombo vya habari yanayodai kuwa baadhi ya wabunge wameitwa kuhojiwa na TAKUKURU kutokana na michango yao wakati wa mjadala wa hotuba ya Rais. Akizungumza bungeni Dodoma Februari 5, 2026, amesema ofisi yake...
Hivi huyu kichwa chake kipo sawa kweli? Anaongea maneno ambayo hata nafasi yake inamsuta na kumutkana.
Yalitokea Oktoba 29 na 30 ndio maana ya haki za binadamu? Kuna familia hadi leo hawajui ndugu zao wapo wapi
============
Rais Samia ni Kinara wa haki za Binadamu, uhuru wa dini, uhuru wa...
Wakati risasi zilipolia mtaani wananchi walikimbia kuokoa maisha yao na maandamano yakikabiliwa na nguvu ya Dola, vyombo vya habari nchini Tanzania vilikaa kimya.
Kwa wananchi kama Ismail Issa, mkazi wa Dar es salaam huu haukuwa uzembe wa kawaida wa vyombo vya habari, bali ni usalitiwa wazi wa...
Ningependa kujua radio na televisheni faida wanapataje wakati gharama za uendeshaji ni kubwa , kuanzia kulipa kodi, mishahara kwa wafanyakazi n.k..
Je faida inapatikana vipi katika hio biashara ?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ataongoza zoezi maalum la upandaji miti litakalofanyika tarehe 27 Januari, 2026, maeneo ya Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.
Zoezi hili lenye kaulimbiu...
Ni miaka karibia 50 ya ukandamizaji wa raia wa Iran nasa sasa wameamua kusema imetosha, wamejitoa muhanga kuikomboa nchi yao lakini media kubwa zinawapa airtime ndogo sana.
Yalianza kama maandamano ya mfumuko wa bei lakini kwa sasa yamekuwa ya kuikomboa Iran
BBC, DW, CNN wapuuzia taarifa za maandamano ya watu 100 waliojitambulisha kama Wakatoriki huku vyombo vya habari vya ndani vikiripoti.
Aidha waandanaji hao baada ya kuulizwa kuhusiana na vitbulisho hawakutoa ili kuthibitisha ushirika wao na kanisa hilo.
Hivi mwandambo ambaye hata waandishi wa habari hawapo yeye anapost kwenye account yake lakini mada zake unaona kutuoa elimu leo polisi wapo naye.
Haya yule ambaye alisema kukata vichwa ,jeshi limesema limemuonya hata barua hakuna wala kumuhoji.
Hizi futuhi za nchi
SAFARI NDEFU YA KITAALUMA(LONG WALK TO ACADEMIC JUSTICE) NA NENO LA SHUKRANI KWA TAASISI, VYOMBO VYA HABARI NA WADAU MBALIMBALI 2011-2025.
Prof. Rwekaza Mkandala, Watawala Wote wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) na Viongozi wote wa serikali Mlioshiriki kunifukuza...
Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma.
Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook...
Tarehe 29/10/2025 ilikuwa kama vile hakuna vyombo vya habari Tanzania.
Matukio yote yaliyotokea na siku zilizofuata hayakuonekana kwenye vyombo vyetu vya habari na wala mjadala haukufanyika.
Lakini Jana mpaka Leo vyombo vyetu vya habari vimetumia muda mwingi kutuhabarisha kuwa hakuna...
Juzi Rais wetu alisema tangu awe Rais TEC wamemtolea matamko mengi
Nimsaidie Rais wetu kuna zaidi ya hapo, Umoja wa ulaya, Balozi za nchi za Ulaya, Vyombo vya habari vya kimataifa, seneti ya Marekani, Umoja wa mataifa mpaka nchi za Afrika kuanzia Kenya, Ghana na Botswana wamekuwa wakitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.