vyombo vya habari

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru wa Vyombo vya Habari hatarini: Waandishi wa Standard Media wazuiwa kwenye hafla ya Rais William Ruto

    Waandishi wa habari kutoka Standard Media Group wamezuiwa kuingia katika event ya Rais William Ruto huko Naivasha wakati wa Second National Education Conference. Kisa hiki kimeibua mjadala mkubwa kuhusu freedom of speech na haki ya wanahabari kufanya kazi yao bila vitisho au ubaguzi. Inadaiwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya Pascal Mayala Kuhusu Uhuru wa Vyombo Vya Habari, Ripoti ya Jaji Chande | Nijuze Podcast

    07 May 2026 Tafakuri ya Pascal Mayala Kuhusu Uhuru wa Vyombo Vya Habari, Ripoti ya Jaji Chande | Nijuze Podcast https://m.youtube.com/watch?v=uyaX4VGvwDM
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pascal Mayalla: Kama tungekuwa na media makini, waandishi wangechunguza nani alitoa amri ya kupiga watu risasi za moto Oktoba 29

    Akitoa maoni yake na uchambuzi wa baadhi ya mambo yaliopo kwenye Vyombo vya Habari nchi na uhuru wake Pascal Mayalla amesema Waandishi wa Habari na Vyombo vya Habari hawatimizi wajibu wao kikamilifu kwa uogo tu na sio kwa vikwazo vya kisheria. “Sheria yetu ya habari bado ni nzuri, japokuwa ina...
  4. Desierto

    JamiiForums Tanzania Je, kuna vyombo vya habari vinapoteza kabisa ushawishi Kwa watu kuwafuatilia?

    Chombo kikubwa kama hiki kinaweka chapisho lakini hakuna comment yoyote hii inamaanisha Nini?
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Balile: Hatukubaliani na ufungaji wa vyombo vya habari wala vitisho wanavyopata waandishi wa habari

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deogratius Balile amesema katika maadhimio yao wameweka wazi kuwa awakubaliani na ufungiaji wa Vyombo vya Habari, kama JamiiForums, Jambo Tv au vitisho au manyanyaso wanayopata Waandishi wa Habari . Soma Pia: Maxence Melo: Hali ya Vyombo vya...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Hali ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown Fm amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana "Waandishi wetu wamefika wakati ambapo uchawa umepitiliza yani kuna Mwandishi mkongwe unatarajia awe wa mfano kwa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Makonda: Serikali inao wajibu wa kuwapatia taarifa vyombo vya habari, endapo wakikosa taarifa sahihi kwenye vyanzo sahihi serikali haipaswi kuwalaumu

    Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Paul Makonda wakati akizungumza leo Aprili 30, 2026 katika maadhimisho ya Siku ya uhuru wa Vyombo vya Habari duniani amesema Serikali inawajibu wa kufungua milango kwa vyombo vya habari kupata taarifa sahihi kutoka kwenye vyanzo sahihi na serikali...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) walaani baadhi ya Viongozi, Taasisi za Umma.. kudhoofisha uhuru wa Wanahabari na Vyombo vya Habari

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mwenendo wa Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania unatisha Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) unalaani mwenendo unaoendelea wa baadhi ya viongozi wa serikali, taasisi za umma na vyombo vya usalama kudhoofisha uhuru wa wanahabari na vyombo vya habari nchini...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vyombo Vya Habari Vya CCM Maktaba mazungumzo Historia ya Muungano

    https://youtu.be/hzc1zFNRBnk?si=pKH9rskM6ijwPFzv
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa habari za Oktoba 29 hususani vyombo vya habari vya nje na vya kimataifa

    Wakuu, Anazungumza Rais samia wakati akipokea ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu 2025
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Chombo cha Habari kilichopo nje ya Tanzania, kinacho ichafua nchi yetu, na kuwa wa dhalilisha viongozi wetu, Kampeni hiyo haitofanikiwa

    Banungu wa 47 Radio kutoka Kenya ujumbe wenu mmeusikia kutoka kwa Msemaji wa Serikali wa Tanzania? Msigwa Chombo cha Habari kilichopo nje ya Tanzania, kinacho ichafua nchi yetu, na kuwa wa dhalilisha viongozi wetu, Kampeni hiyo haitofanikiwa Soma Pia: Watangazaji wa Radio 47 ya Kenya wadai...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Vyombo vya habari vya nje vinamchango nchini lakini pia tunatambua vinatetea maslahi ya nchi zao

    Wakati anazungumza kupitia kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Gerson Msigwa amesema vyombo vya nje ya nchi vipo katika kutete maslahi ya nchi zao Soma Pia: Msigwa: Ukiona hadi tumefika hatua...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Hivi TCRA ni mungu mtu chini ya jua juu ya vyombo vya habari

    Jamani kuna jambo linahitaji majibu ya wazi. Mwaka jana TCRA waliifungia JamiiForums kwa takriban siku 90, wakisema ni adhabu. Sawa, adhabu ikaisha. Lakini mpaka leo, ili kuingia kwenye hii platform bado watu wengi wanalazimika kutumia VPN. Swali langu ni hili: kama adhabu iliisha rasmi...
  14. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Japan vimeripoti kuwa muda huu kuna missile inayoelekea Japan kutoka North Korea

    Korea Kaskazini imerusha makombora kadhaa ya balestiki ya masafa mafupi kuelekea Bahari ya Japani asubuhi ya Jumatano, kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Wakuu wa Majeshi ya Korea Kusini. Makombora hayo, yaliyorushwa kutokea eneo la Wonsan lililopo katika jimbo la Kangwon mashariki mwa Korea...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kivulini Talks: Hali ya Vyombo vya Habari Tanzania—Hai, Hoi au Vimekufa?

    02 April 2026 Katika kipindi hiki cha Kivulini Talks, washiriki wamejadili juu ya hali ya vyombo vya habari Tanzania. https://m.youtube.com/watch?v=gRQFP4i8O_o Source :: the chanzo
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran!!

    Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI: -"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni". -"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye". -"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mada: Je, mchakato wa kuhakiki taarifa kwenye vyombo vya habari unaendana na kasi ya kuenea kwa taarifa potoshi?

    Wakuu, Dunia ya sasa ipo kiganjani mwako, lakini je, kila unachokisoma au kusikia ni cha kweli? Shiriki nasi katika Mjadala wa "Mchakato wa Kuhakiki Taarifa Kwenye Vyombo vya Habari, Unaendana na Kasi ya Kuenea kwa Taarifa Potoshi" kupitia Instagram Live ya JamiiForums. Mjadala huu...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kalonzo: Tunachunguza kwa umakini mauzo ya hivi karibuni ya hisa za Nation Media Group

    Kalonzo Musyoka ambaye ni kiongozi wa chama cha upinzani cha Wiper Democratic Movement na aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wakati wa uongozi wa Mwai Kibaki, amesema wanafanya uchunguzi juu ya mauzo ya hisa yaliyofanyika hivi karibuni kwenye taasisi ya Nation Media Group kwa bwana Rostam Aziz...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Tokea niache kufuatilia vyombo vya habari vya Tanzania, mambo yamekuwa tofauti sana, kuna taarifa muhimu nazipata kwa kuchelewa

    Kiukweli nmeshangaa sana, leo ndio nimejua Denis ssebo wa EFM kumbe kafariki tokea jana? Duh! Nimepita sehemu wameweka TVE ndio nikaona. Imekua ngumu sana kujua maana ni muda mrefu sana sifollow page za tanzania, sisikilizi radio,channel naangalia za movie na za habari naangalia za Kenya,fox...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Uliona Wapi, Kosa Moja, adhabu mbili, Sheria mbili, Mahakama Mbili?!. Only in Tanzania! Je ni Wakati wa Media Kuwa Chini ya Sheria Moja?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Mwananchi la leo. Wiki iliyopita, mwandishi wa makala hizi, alifanya kosa moja, akaliombea msamaha, lakini bado aliadhibiwa kwa adhabu mbili tofauti, kupitia sheria mbili tofauti, chini ya mamlaka mbili tofauti, zilizo chini ya wizara mbili tofauti...
Back
Top Bottom