vyombo vya habari

  1. M

    Hongereni vyombo vya habari kipindi cha maombolezo

    Ikiwa leo ndio siku ya mwisho ya MAOMBOLEZO ya kitaifa kwa Hayati Rais Magufuli nitoe kongole kwa VYOMBO vyetu vya habari hususani vituo vya radio na televisheni kwa weledi wa hali ya juu hasa kwenye mpangilio wa vipindi(content) pamoja na nyimbo za MAOMBOLEZO. Kwa hakika mmedhihirisha ule...
  2. K

    Vyombo vya Habari vya Tanzania vinaripoti, havichambui. Tatizo lipo kwenye taaluma au ni kukosa wachambuzi?

    Kwanini matukio yote yanayotoka serikalini yanaripotiwa lakini hayachambuliwi na vyombo vyetu vya habari? Mfano, toka uteuzi ulipofanyika jana hakuna habari mpya kuhusu wateuliwa isipokuwa kile alichoripoti Msigwa. Nini Tatizo?
  3. T

    Clouds Media muombeni msamaha Rais Samia, mmemkosea sana

    Yaani mmemkosea mheshimiwa, mmemsingizia kwa ku-edit picha za 2018. Kwanini hamkuchukua picha za tukio la leo? Hii picha waliyoitumia CloudsMedia, ni picha ya 2018 na tukio lilikuwa tofauti na la leo.
  4. K

    Vyombo vya habari Tanzania vimekufa na sasa wachekeshaji na wanamziki ndio watangazaji wanaosikilizwa

    Wamiliki wa vyombo vya habari hasa ITV, TBC na Star TV mlikuwa wapi hadi vyombo vyenu vimepoteza mvuto kiasi hiki? Leo watu wanasikiliza vipindi na kuangalia wasafi, clouds, TV E, na media mpya mpya ambazo asilimia kubwa ya watangazaji si wanataaluma ya habari niwasanii na wanamziki...
  5. 'Tusivifokee' vyombo vya habari vya nje kuripoti taarifa kuhusu hali ya Rais Magufuli!

    Usiku huu, Aloyce Nyanda (Mtozi) amekuwa na kipindi muhimu katika Star TV usiku huu. Agenda Kuu ilikuwa ni Maadili ya Uandishi wa Habari kufuatia Vyombo vya Habari vya mataifa mengine kuripoti taarifa kuhusu Rais Magufuli pasipo kupata uthibitisho kutoka kwa wahusika yaani Serikali ya Tanzania...
  6. S

    Tathimini: Wamefanikiwa kutisha na kudhibiti Vyombo vya Habari kwa asilimia kubwa ila pia wameshindwa kudhibiti habari kwa asilimia kubwa zaidi

    Ukweli ni kwamba, hawa Bwana wakubwa wamefanikiwa sana katika kupandikiza hofu na uoga katika jamii yetu na hata katika vyombo vyetu vya habari lakini wamefeli sana katika azima yao ya kutaka umma usipate habari wanazotaka zisifike kwa umma. Kwanini nasema hivi? Kuna mambo/matukio ambayo...
  7. Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

    Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki. Mfano People Daily online hasa la leo. Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
  8. T

    Je, Serikali imeanza mbinyo kwa vyombo vya habari kutoka Kenya?

    Je, hali hii inatokana na taarifa zilizotolewa na chombo hiki kuhusiana na afya za viongozi wa Tanzania? Wenye Azam Tv angalieni channel namba 331
  9. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo avikumbusha vyombo vya habari kuwa kutumia uvumi kama habari rasmi ni kukiuka sheria

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa vyombo vya habari kuendelea kutoa taarifa zinazotolewa kwenye vyanzo rasmi na kuepuka kutumia uvumi/rumours, kwani kitendo hicho ni kukiuka sheria na kitapelekea vyombo hivyo kuwajibika. Waziri Innocent amesema...
  10. Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

    Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi. Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa. Wote Mnakaribishwa.
  11. Wafanyakazi wanne wa vyombo vya habari watiwa nguvuni Tigray - Ethiopia bila kuambiwa sababu ya kukamatwa kwao

    Wafanyakazi wanne wa vyombo vya habari wamekamatwa na vyombo vya usalama katika eneo lililokuwa na mapigano la Tigray nchini Ethiopia. Tangu kuzuka kwa mapigano mwezi Novemba mwaka jana baada ya Waziri Mkuu wa Ethiopia kutangaza hatua za kijeshi dhidi ya kundi la TPLF akiwashutumu kuvamia...
  12. M

    Zijue sababu za Kimkakati zilizoifanya Yanga SC ya Mwakalebela Kuzungumza na Vyombo vya Habari jana

    1. Uongozi kwa Kushirikiana na GSM Kukwepa Lawama na kuwalazimisha Mashabiki wao waone wanaowakwamisha ni TFF na Kamati zake. 2. Kutaka Kuwatishia Waamuzi ( hasa huyu wa leo dhidi ya Mtibwa FC ) awaogope na awapendelee ili washinde Mechi yao. 3. Kumuhusisha kwa Kumtaja hadi Kumzungumzia...
  13. Editorial Rooms za Vyombo vya Habari Tanzania ni kichekesho

    Leo nimekuwa nafuatilia taarifa mbalimbali za misiba mikuu iliyolikumba taifa kwa kupitia mitandao ya kijamii na mitandao ya magezeti mbalimbali. Mara nyingi habari za kwenye mitandao ya kijamii unazichukulia kama fukuto tu, ila habari kamili uzipate kwenye mitandao ya vyombo vya habari kwani...
  14. Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi za Sanaa bila uhakiki wa BASATA, TFB na COSOTA

    Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imetoa tamko kuwa, kuanzia tarehe 1/5/2021 Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi yoyote kwenye vituo vyao bila kazi hiyo kuhakikiwa na BASATA (Muziki...
  15. Nchi zinazoongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Afrika

    Nchi zinaongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Africa. Source: world press freedom index. Year. 2020. 1. Namibia 2. Cape varde 3. Ghana 4. South Africa 5. Burkina Faso 6. Botswana 7. Senegal 8. Madagascar 9. Mauritius 10. Niger 11. Seychelles 12. Cote D' ivore 13. Malawi 14. Tunisia...
  16. Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kuongea na Vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi

    Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi, na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi. Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha...
  17. J

    Maana ya Uhuru wa vyombo vya Habari

    Vyombo vya habari huru humaanisha kuwa hakuna mtu anayepaswa kudhibiti na kushawishi utangazaji wake wa habari. Hakuna mtu anayepaswa kuviambia vyombo vya habari ni nini kinachoweza kuingizwa na nini hakipaswi kuingizwa katika habari wanazozitoa. Inamaanisha kuwa vyombo vya habari havifai kuwa...
  18. Vyombo vya habari vya nje na msimamo wa Tanzania juu ya Covid-19

    Mchoraji maarufu wa katuni pale DW nchini Ujerumani ametoa mchoro unaoelezea uhalisia wa yanayo endelea kati ya shirika la afya duniani WHO na wenye maamuzi nchini Tanzania. Je, hii ni sifa kwa taifa?
  19. TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums katika kuendeleza mapambano dhidi ya Rushwa nchini

    Salaam Wakuu, TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums pamoja vyombo vya habari Nchini katika kuendeleza mapambano dhidi ya rushwa nchini. Tukio hilo limefanyika leo 28 Januari Jijini Dar Es Salaam wakati wa Uzinduzi wa Chaneli mpya ya TAKUKURU TV ya YouTube. Tukio lhili imeambatana na...
  20. Sheria ya Vyombo vya Habari kuanza kutumika Januari 2022

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi wa habari kuhakikisha wanajipanga ili kuendana na matwaka ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari (2016), itakayoanza kutumika Januari mwakani. Wakati akizingumza na na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…