Nafikiria kukopa kisha kuweka dhamana vyeti vyangu!

sasa usipolipa huyo aliyekukopesha hivyo vyeti vitamsaidia nini? imagine wewe mwenyewe havijakusaidia hapo
Sidhan kama ni rahis kuvitelekeza vyeti kwa mkopo wa Milioni moja. Nashukuru kwa mchango wako mkuu
 
Mkuu ulivyojielezea nimekumbuka maisha yangu enzi za saidia fundi kule Iringa na Njombe daah hadi nimetamani nikupe tu hiyo hela ukipata utarudisha, ukikosa kurudisha basi utakuwa umesogeza gurudumu la maisha mbele na huenda ukaja kusaidia kizazi changu mbeleni au ukaja kuifanya dunia iwe mahali salama pa kuishi, tuwasiliane!
 
Nashukuru sana mkuu kwa kuonesha utayari wa kunisaidia. Nakuja pm mkuu
 
Mkuu si ungetupa basi na sisi wenzako hilo wazo lako la biashara! Maana tupo tu mtaani tunahangaika. Maisha ni magumu kweli kweli! Ajira hakuna!! Dah!! We acha tu.
 
ni biashara ambayo ni endelevu, kuna mtu alikua akiifanya ivyo ipo tayari imesimama ktk njanja ya wateja, ni biashara ya samaki wabichi naingia ubia wa kumletea aina flani ya samaki kwa uyo mtu.
 
Pole sana najua huwezi kupata mkopo kwa kutumia vyeti bora ingekuwa hati ya kiwanja, au hata friji, sofa

Anza na mtaji wa kutumia nguvu utafanikiwa tuu.
Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu
 
Back
Top Bottom