Upotevu wa vyeti vya taaluma

grauya

New Member
Nov 30, 2021
3
0
Habari wana jamii forum naitwa Gilbert Zenas Rauya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye bus la Kimotco mnamo tarehe 29-11-2021 lilikua linatoka Moshi kwenda Mbeya bag langu liliibiwa halikuonekana kabisa na lilikua na vitu vinginevyo kama External harddisk GB500 flushdisk 2 na nguo chache pamoja na ivyo vyeti ni kama ifuatavyo.

cheti cha Form 4,Cheti cha certificate in IT na Transcript yake,Cheti cha Diploma in Computing in IT na Transcript yake vyote vya University of DSM Computing Center na cheti cha Degree Bachelor of Science in Infomartion Communication Technology na Transcript yake chuo ni University of Bagamoyo na Cheti cha kuzaliwa na vyeti vingine vya computer short courses mbali mbali na short course ya Enterpreneurship Management kwa yeyote atakayevipata hivyo vyeti naomba anicheki kupitia mawasiliano hayo hapo

0713990926 or 0784896322 na email yangu ni gillizain@yahoo.com
 
Hapo ukisikia mtu analogwa ndio hapo unaiba vyeti vya mtu ili iweje na siku izi hakuna forgery tena kama zamani
 
Habari wana jamii forum naitwa Gilbert Zenas Rauya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye bus la Kimotco mnamo tarehe 29-11-2021 lilikua linatoka Moshi kwenda Mbeya bag langu liliibiwa halikuonekana kabisa na lilikua na vitu vinginevyo kama External harddisk GB500 flushdisk 2 na nguo chache pamoja na ivyo vyeti ni kama ifuatavyo.

cheti cha Form 4,Cheti cha certificate in IT na Transcript yake,Cheti cha Diploma in Computing in IT na Transcript yake vyote vya University of DSM Computing Center na cheti cha Degree Bachelor of Science in Infomartion Communication Technology na Transcript yake chuo ni University of Bagamoyo na Cheti cha kuzaliwa na vyeti vingine vya computer short courses mbali mbali na short course ya Enterpreneurship Management kwa yeyote atakayevipata hivyo vyeti naomba anicheki kupitia mawasiliano hayo hapo

0713990926 or 0784896322 na email yangu ni gillizain@yahoo.com
Pata Police Loss Report halafu endelea na juhudi za kuvitafuta.
 
Poa kaka Loss report tayari nimeshapata tokea jana next step ni kupeleka tangazo kwenye gazeti.la serikali kama havitopatikana ni kurudi chuoni wanitengenezee vingine japo nazani kuna gharama utalipishwa.
 
pole sana, vitu kama hivyo ninaposafiri huwa naweka kwenye handbag, ambalo muda wote hukaa mapajani niwapo kwenye basi, mkanda wake huwa begani ninapotembea, na uvunguni ninapofikia guest house
Thanx kaka
 
Hizi ndio akili za mtu aliyekomaa.
Inakuwaje begi lenye documents muhimu unaliacha mbali na ulipo.
Tena utakuja aliyepoteza vyeti ni "job seeker"
 
Back
Top Bottom