vyama

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Upinzani teueni Mgombea Kati ya walioko Tanzania ndege za ulaya hazisafiri hazijulikani lini zitaanza sababu ya Corona

    Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma na vyama vyenu vya kutetea haki mnakwama wapi?

    Yaani watumishi wa Umma sijui hawajitambui mnakwama wapi vimafao vyenyewe vidogo lakini mstaafu anaangaika zaidi ya miaka kufuatilia wengine mpaka mauti yanawakuta na hajaona hayo mafao yake. Wenzenu wabunge yaani miaka mitano mzigo wa maana na hauchukui hata siku mbili tayari unakua umetoka...
  3. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani hebu tusemezane kidogo

    Mwaka huu hapo October kutakuwa na uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Ninaimani mtasimamisha wagombea wa urais, wabunge na madiwani. Nataka tusemezane jambo moja kubwa kwa kuwa wabunge na madiwani wa upinzani baada ya uchaguzi wanahamia CCM hatimaye taifa linaingia gharama za kurudia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wapenda mabadiliko,hatupaswi kufanya jambo kutambua na kuthamini uaminifu uliofanywa na wanasiasa wa upinzani waliokataa kusaliti vyama vyao?

    Wadau,mbali na kuwapongeza wanasiasa wa upinzani waliosimama imara kwa kukaataa kununuliwa/kurubuniwa ili wasaliti vyama vyao,nadhani ni muhimu pia kufanya jambo kutambua uaminifu waliuonyesha kwa vyama vyao na zaidi kwa wananchi waliowachagua. Katika hili,napendekeza ziandaliwe nishani ambazo...
  5. JamiiForums Tanzania Tunachagua viongozi kwa maslahi ya Taifa au maslahi ya vyama vya Siasa?

    Habari wadau. Pole na majukumu ya kujenga taifa. Wananchi wa chini wanapambana vya kutosha kusogeza taifa letu mbele, nguvu kazi zao na jitihada hukwamishwa na sera duni za nchi, sheria duni za nchi, taasisi na serikali isio-lenga kumnasua mtanzania wa chini kwenye umaskini uliokithiri. Hayo...
  6. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: ACT - Wazalendo na vyama washirika, Januari 2021 kuitisha Bunge maalum la bajeti kuifuta hii inayopitishwa kesho na CCM

    Zito Kabwe amesema hili leo wakati akiichambua bajeti ya Magufuli 2020/2021 pamoja na kutoa mwelekeo wa chama chake kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba, 2020. Amesema kama chama cha ACT - WAZALENDO kitapata ridhaa ya wananchi wa Tanzania kupitia sanduku la kura ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu na...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na vyama Vingine pinzani mmekubali kuingia kwenye Uchaguzi kwa Tume hii ya Uchaguzi? Baada ya Uchaguzi tusisikie mnalia

    Huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kwa jinsi hali ilivyo ukiachilia maneno ya wanaccm ,vyama vya upinzani vina nafasi kubwa ya kupata ushindi kwenye majimbo mengi Nimejaribu kufanya observation maeneo mengi, wananchi wamekata tamaa na hali ya maisha yamekuwa ya uwoga msingi kitu ambacho kinaashiria...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kanuni zilizotungwa na Waziri kuhusu namna ya vyama vya siasa kuunda ushirikiano wa kisiasa zinaruhusu vyama kuunda Serikali ya mseto?

    Sheria ya Vyama vya Siasa(marekebisho ya sheria) ya mwaka 2018 katika kifungu 11(c) kinaruhusu vyama vya siasa kushirikiana kwa malengo ya kisiasa huku kanuni za kuunda ushirikiano huo zikiachwa mikononi mwa waziri husika. Swali langu ni je,wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu baadae mwaka...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Vyama vyote tumuunge mkono Rais Magufuli kwa maendeleo ya Tanzania

    Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi nchini Tanzania. Kwa uchapakazi, uzalendo, uthubutu, ujasiri na Uungwana wa mheshimiwa Rais Magufuli, wananchi wengi ndani na nje ya bara la Afrika wanatamani sana angekuwa Rais wa nchi zao. Kama taifa, ushahidi upo wazi katika kasi ya miundo mbinu ya maendeleo...
  10. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vinalilia domokrasia sio demokrasia

    DOMO krasia na DEMO krasia Ni maneno mawili tofauti kwenye siasa DOMO krasia Ni Uhuru wa kuongea chochote kiwe na mantiki au la kisa tu DOMO ni jumba la maneno hivyo lazima mtu aongee DEMO krasia ni ku demonstrate halafu ndio unongea yaani mfano unasomesha kiongozi mkuu wa chadema ambaye Ni...
  11. JamiiForums Tanzania Kubadilisha Marais & vyama vingi ndio sababu pekee ya kukua kwa uchumi wa Tanzania

    Pamoja na mambo mazuri mengi ambayo Mwalimu Nyerere aliyeyafanya ambayo pengine hayatakuja sahaulika hata kizaizi na kizaizi lakini Tanzania imerudi nyumba sana kipindi cha Mwalimu Nyerere kutokana na kukaa muda mrefu madarakani. Laiti kama Nyerere angeachia madaraka mapema na kuruhusu vyama...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Zitto kukutana na Balozi wa Uingereza; Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze

    Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze. Kulingana na barua hiyo,Msajili...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Alianza Chacha Wangwe akaja Tundu Lissu na sasa Freeman Mbowe, hivi Chadema kuna nini? Mbona hatusikii kwenye vyama vingine?

    Kiukweli kuna haja ya kutafakari kwa kina kwanini Chadema tu ndio inapitaga katika matukio tata? Ilianza ile ajali ya Chacha Wangwe na ikaacha maswali mengi. Rip Chacha Wangwe Likaja shambulio la Tundu Lisu ambalo bado ni tata na masikini ya Mungu Lisu akapoteza na ubunge. Sasa kuna hili la...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Kete muhimu kwa nafasi ya urais zikipewa ridhaa na Vyama vya Siasa hasa Upinzani

    Kuna watu makini nadhani yawezakuwa wanabanwa na katiba ama hawana interest na siasa lakini wakiamua, wanauwezo mkubwa was kuleta ushindani na kushinda kwenye nafasi ya uraisi kwa UCHAGUZI wowote, watu hao nipamoja na ; 1. Prof Assad, former CAG 2. Salim Backressa, mfanya biashara 3. Mhammed...
  15. JamiiForums Tanzania Usithubutu kuwaamini vyama vya upinzani, huwa hawakubali kutoka madarakani na hawaaminiani kabisa

    Hii tabia ya kugoma kutoka madarakani imekita mizizi ndani ya upinzani Lipumba - CUF, Mbatia - NCCR, Mbowe - CDM, na wapinzani wengine, sababu kuu ni kutokuwaamini wengine uwezo wao wa kuongoza vyama hivyo, yaani unataka mtu awe mwanachama afanye mambo yote ya kikatiba ktk chama ila asithubutu...
  16. JamiiForums Tanzania Simbachawene: Sina maelekezo ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa na wala sijawahi kupewa hicho kitu

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema hana maelekezo ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba, mwaka huu. Akizungumza na Nipashe jana katika mahojiano maalum kuhusu mikutano ya vyama vya siasa kama inaruhusiwa kufanyika...
  17. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani, uchaguzi huu ungeni mkono mgombea urais wa CCM hamna mgombea wa maana wa kushinda kwenu

    Vyama vya upinzani havina mgombea yeyote wa maana wa kushinda uchaguzi wa urais kupitia vyama vyao sababu vyote kwanza havina nguvu pande zote za muungano. Chadema ina nguvu Tanzania bara tu mkoa wa Kilimanjaro tu kidogo mji wa Arusha upande wa Zanzibar hamna kitu. Hivyo akiwekwa mgombea uraisi...
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Safari: Vyama vya upinzani vinasumbuliwa na ubinafsi ndiyo maana vimeshindwa kumtoa CCM

    ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof Abdallah Safari, amesema vyama vya upinzani vina ubinafsi na matokeo yake vimeshindwa kukiangusha Chama cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza mapema leo kwenye kipindi cha Front Page kinachorushwa na +255GlobalRadio...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya siasa msiteue wabunge waliokaa miaka kumi au zaidi bungeni kugombea ubunge

    Hakuna sheria inayotamka ukomo wa mbunge. Rais tu ndio ana ukomo wa miaka kumi. Kuingiza damu mpya ni muhimu kwa vyama vyenyewe vya siasa na nchi ili kuingiza mawazo mpya na msukumo mpya. Naomba vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM, mbunge yeyote aliyekaa bungeni miaka kumi au zaidi awe wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Vyama vya Wafanyakazi pamoja na kuchukua michango kila mwezi vinakosa hata tovuti

    Niende kwenye mada kuna kijana kaniomba nimuelekeze wapi zilipo ofisi ya chama cha wafanyakazi kutokana na yeye kuwa na mgogoro na mwajili wake yaani TUCTA. Kwa kuwa ni mfanyakazi kwenye huduma za mahotel nilimweleza TUCTA ni muunganiko wa vyama vya wafanyakazi toka sekta tofauti ila yeye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…