vyama

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima kualika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwenye mikutano yao?

    Nimemuona Sisty Nyahozya kwenye Mkutano Mkuu wa CHADEMA, lakini pia nimemuona kwenye Mkutano Mkuu wa ACT WAZALENDO , huku nimemuona akipewa na Airtime ya kuongea na Wajumbe . Kiukweli nimekwazika sana na uwepo wa mtu huyu kwenye mikutano ya vyama hivi , na wala sina kumbukumbu kama amewahi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha Mgombea Mwenza, Salum Mwalimu kumshambulia kwa maneno Msajili wa Vyama siyo cha kiungwana

    Mgombea mwenza wa urais wa Tundu Lissu kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Salumu Mwalimu amemtaka Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa Mh. Nyahuza kutoingilia masuala ya ndani ya vyama. Mwalimu alichachamaa baada ya Nyahuza kuhoji uvunjifu wa protokali uliofanywa na viongozi wa Chadema Tundu Lissu na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuna ulinganifu wa karibu sana kati ya Vyama Tawala vya Siasa na Mafarisayo wa zamani katika nchi nyingi zinazoendelea kwa namna hii

    Ukiangalia historia ya zamani katika kipindi ambacho Wayahudi walikuwa wakiishi chini ya sheria ya Musa, kulikuwa na kikundi cha Mafarisayo ambao walikuwa na namna ya usimamizi juu ya jumuiya ya Wayahudi, pamoja na Sheria ya Musa. Hivyo sheria ya Musa ilikuwa ndio katiba ya taifa la Wayahudi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe maalumu kwa vyama makini vya Upinzani hasa ACTWazalendo na CHADEMA kuelekea Oktoba, 2020

    Mada inahusika. Napenda kuwapa ujumbe huu maalum kwenu mkiona inafaa kuuzingatia kuelekea uchaguzi wa Oktoba, 2020. i. Senario za Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na kilichotokea , ziwape mbinu mia moja zaidi mbele kuhakikisha mnakwepa mitego yote ya CCM, NEC, ZEC na mawakala wao ndani na...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Fahamu vyama 19 vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba

    Jumla ya vyama vyenye usajili wa kudumu nchini ni 19 vinatarajiwa kuchuana kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ambapo nafasi mbalimbali za uogozi kitaifa zitakuwa zinawaniwa na makada wa vyama hivyo. Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nafasi hizo ni za Urais, Ubunge na Udiwani. Vyama...
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

    Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msajili wa Vyama ameionya CHADEMA kwa kuongeza ubeti wa 3 katika Wimbo wa Taifa jana katika Mkutano wa Baraza Kuu

    Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi ameionya CHADEMA kutokana na alichokiita uvunjifu wa sheria kwa kuongeza ubeti wa tatu kwenye wimbo wa Taifa. Ameeleza kuwa kitendo hicho kilifanywa jana wakati Baraza Kuu la CHADEMA lilipokuwa likimpendekeza atakayepeperusha...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msajili: Vyama vya siasa vyenye lengo la kushirikiana uchaguzi mkuu vimeshachelewa

    Afisa kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama ameeleza kuwa iwapo vyama vinataka kuunda ushirikiano vinapaswa kufanya hivyo kwa kufuata utaratibu wa vikao rasmi na sio utashi wa viongozi. Ameainisha kuwa muda wa kufanya coallition ni miezi mitatu kabla ya kuanza kwa mchakato wa uchaguzi. Tuwe tunasoma...
  9. BAK

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa ushirikiano wa vyama vya siasa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

    UMUHIMU WA USHIRIKIANO WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2020. Maaskofu katika DR Congo walitoa mchango mkubwa sana katika kuifanya ya DRC kuwa na utulivu kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu. Ushiriki wao katika kuyaunganisha makundi au vyama ndani ya DRC hauwezi kusahaulika...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naupenda sana Mfumo wa Vyama Vingi lakini unatugawa sana Waafrika kuna haja ya kuchukua tahadhari kwani tutapoteza kabisa Umoja wa Kitaifa

    Mapokezi ya Tundu Lisu popote pale duniani usinge weza kuyaficha kwani Lissu si kushangaza umma bali tendo lile la kushambuliwa na watu wasiojulikana na kupigwa risasi 16 lilikuwa baya na lakulaaniwa na watu wote Je, ilikuwa sahihi kufanya maandamano wakati Mwili wa hayati Rais mstaafu...
  11. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kwa CHADEMA kuelekea Oktoba 2020

    Wanabodi. Nawashauri Chadema kwamba: Andaeni ajenda msiandae wagombea. Wagombea wakipatikana kupitia michakato mliojiwekea watembee katika ajenda zenu kuu kulingana na jinsi nchi ilivyo kwa sasa. Msifanye wagombea kua ajenda hamta pata kura. Hamuwezi kupata kura nyingi katika mazingira ya...
  12. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Kinachofaa kwa Vyama vya Siasa kwa Ushindi 2020 Muungano wa Mabadiliko ya Fikra(MUMAFI)

    Kinachofaa kwa Vyama vya Siasa vya Upinzani-Tanzania. MUUNGANO wa MABADILIKO ya FIKIRA (MUMAFI). Don Nalimison, Mwanamziki, Mtetezi wa Haki za Binadamu na Mshauri wa Maswala ya Kiusalama Duniani leo nakuja kuunda Umoja utakaowapa Ushindi wa Kishindo Uchaguzi Mkuu 2020 kwa vya Kisiasa hasa...
  13. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Udikteta na ukandamizaji haki wa Serikali za vyama kongwe vinavyotawala hadi leo. Sababu...

    Mifano ni mingi lakini chukulia chukulia mifano ya hivi vyama na inchi husika hapa chini . 1. CPDM cha Cameroon 2. CCM cha Tanzania 3. ZANUPF cha Zimbabwe 4. Frelimo cha msumbiji 5. PDG huko garbon Utagundua kwamba inchi zote tajwa hapo juu serikali zao zinaongozwa na vyama kongwe vilivyopokea...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sare za kiume za wanachama wa CHADEMA NA ACT Wazalendo ninyi mnazionaje

    Hivi wakuu hizi sare za kiume za hivi vyama ni nani aliwachagulia. Yaani mkizivaa haziwapendezi hata kidogo yaani. Mlishindwa kuchagua rangi nzuri ya sare kwaajili ya wanachama wenu. Hivi hamwoni aibu kuvaa masale kama ya hayo. Sii bora mngeshona sare hata zinazofanana na jezi za chelse au...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 AAFP yawakaribisha wagombea wa Ubunge waliokosa nafasi vyama vingine

    Chama Cha Wakulima (AAFP) kimewataka wagombea waliokosa nafasi za ubunge na udiwani kwenye vyama vingine vya Siasa kijitokeza kuchukua fomu kupitia chama hicho kwani bado wanazo nafasi nyingi zilizo wazi Chama hicho pia kimemteua Seif Maalim Seif kuwa mgombea urais kwa Jamhuri ya Muungano wa...
  16. King JiluX

    JamiiForums Tanzania Membe, Tundu Lissu si karata sahihi kupeperusha bendera kupitia Muungano wa Vyama vya Upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Naomba nianze na salamu wana jukwaa la siasa. Hapa jamvini jamii Forum. Kutokana na kipindi tulichopo(kuelekea uchaguzi mkuu 2020) kumekuwa na majina mengi ya wagombea nafasi ya urais hasa kupitia upinzani ambako ndiko jicho la ushindani wa kupewa nafasi lipo huko (CCM alipita bila kupingwa)...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nakubaliana na Rais Magufuli kwamba Wagombea Urais kupitia Vyama vya Upinzani wamuunge mkono ili kuokoa fedha za walipakodi

    Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi. Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Vyama vya Siasa na rushwa iliyopo kwenye chaguzi zao

    Kutokana na ukweli usiofichika ndani ya nchi ya Tanzania kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa Chama Kikubwa cha Siasa na pia ndio Chama kilichoshika madaraka mpaka sasa na ambacho kinatabiriwa kwa asilimia kubwa kuendelea kushika madaraka na kuunda Serikali kwa mara nyingine tena...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii waliochukua fomu za kugombea ubunge kupitia vyama mbalimbali Uchaguzi Mkuu 2020

    Wakati joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto wasanii nao hawakubaki nyuma kuignia kwenye kinyang'anyiro cha kutaka kuwawakilisha wananchi kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Miongoni mwa waliojitokeza ni pamoja na: 1. Webiro Wassira maarufu kama Wakazi Huyu ni mwimbaji wa...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa msajili wa Vyama vya Siasa Nchini

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana siasa za zitto na chama chake cha ACT tangia mwaka 2018. Nimejiridhisha pasina shaka yoyote yakuwa, siasa za zzk siyo zile siasa alizokuwa akizifanya akiwa chadema na baada ya kuanzisha chama. Zzk alipoanzisha chama cha ACT alipata wakati mgumu kupata...
Back
Top Bottom