vyama

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo kati ya Rais na Vyama vya siasa , Vyama vyaambiwa vipeleke ajenda zao kwa John Shibuda au kwa Msajili wa Vyama vya siasa Francis Mutungi

    Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi . Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa mkikutana na Rais Samia mtamwambia nini?

    Sio vema mkazungumze hoja zenu binafsi kama vile nilipigwa, nilivunjwa mkono, biashara yangu ilifungwa, na mambo kama hayo kwa Rais ambae ni mpya na ambae yuko serious kutaka kujaribu kunza ukurasa wake mpya. Kunzia sasa kila chama kirudi kwa wanachama wake wakusanye maoni yao juu ni mambo gani...
  3. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa

    Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini. katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
  4. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kati ya vyama hivi viwili kuhusu dira ya kweli ya maendeleo?

  5. B

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa acheni kulia lia fursa kamili ya mabadiliko ni sasa

    Yote ni dhahiri mno na tunayaona kote bungeni na hata serikalini: "Dhuluma dhidi yetu haziwezi kuachwa ziondoke zenyewe au kuachiwa mtu aje na huruma zake kuziondoa au kuachiwa kudra zake mola." Tumefikishwa hapa kwa sababu ya unyonge wetu, woga wetu, ujinga wetu, hofu zetu, utengamano wetu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Sisi mpinzani wetu siyo vyama vya siasa ni changamoto za Watanzania

    “Sisi Mpinzani wetu sio Vyama vya Siasa, Mpinzani wetu ni changamoto za Watanzania leo ukizungumza Watumiwhi wana manung’uniko kuhusu mishahara yao, wana manung’uniko kuhusu kupanda madaraja kwa miaka mitano hawajapanda madaraja, leo ukizungumza kuhusu bodi ya mikopo unaona sheria ilikuwa...
  7. Dam55

    JamiiForums Tanzania Hoja binafsi: Vyama vya siasa viwe makini sana kwenye uteuzi wa wagombea wenza katika chaguzi zijazo ama sivyo Katiba imulikwe

    Wasalaam wakuu, Hili ni wazo langu tu kwaajili ya kuleta afya ya kiuongozi kwa Tanzania yetu ili kupunguza hatari za kiuongozi zinazoweza kutokea na nchi kujikuta ikiangukia kwenye mikono ya watu ambao hawakujiandaa kuwa kwenye nafasi fulani fulani za kiuongozi. Katiba yetu iko wazi jinsi...
  8. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ataruhusu maandamo yoyote ya wanaharakati, vyama vya upinzani na hata chama chake?

    Hayati Magufuli alikomesha pasi na ajizi maandamo ya aina yoyote tofauti na mtangulizi wake Mzee JK. Hoja yake kubwa Hayati Magufuli kuhusu kuzuia maandamo ilikuwa ni muda wa kufanya kazi na haukuwa muda wa kuandamana. Aliweza. Ndipo kipindi ambacho kwa takribanI miaka mitano si wanavyuo...
  9. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuviunge mkono vyama vikubwa viwili vya kisiasa kwa maendeleo ya nchi yetu

    Hotuba ya mama imenikosha sana. Nina imani watu wengi imewafurahisha na wanamwombea asibadirike bali azidi kuboresha zaidi. Kila mtanzania mpenda maendeleo na uhuru wa kweli anataka kiongozi msikivu na anayejali sauti za watu. Tanzania ni yetu sote na wote tunastahili kufaidi mema ya nchi yetu...
  10. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunampongeza na kumsifia hata sisi wafuasi wa Vyama pinzani?

    Mtu akiwa Rais hata kwa kupindua nchi Ni Rais huyo, Akiwa Rais kwa kuchaguliwa kidemokrasia Ni Rais huyo, Akiwa Rais kwa kuiba kura ni Rais huyo. Mtu aliyekalia kiti Cha Urais Ana Upanga wenye ncha Kali,Ana Maamuzi . Hivyo akifanya mambo mazuri yanawafikia wote wasio wapinzani na wapinzani...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kabla siku hazijaenda sana: Bunge litunge sheria vyama vya siasa kutopiga kampeni kabla ya uchaguzi

    Haya alifanya JPM najua ilikuwa ni utashi na sio sheria sasa ipitishwe rasmi. 1: Hakuna mikutano ya hadhara ya kisiasa kabla ya kampeni. Tuwaache waliochaguliwa katika maeneo yao ndio wawe wanaongea na wananchi wao. 2: Mikutano ya ndani ya kisiasa hiyo ibaki wakiimarisha vyama vyao. Tuwe...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama vyama vya upinzani vingekuwa vinasusia uchaguzi kwa kipindi chote kilichopita tungekuwa tumepata Katiba Mpya

    Huenda uchaguzi mkuu wa mwaka jana umeleta funzo kwa vyama vya upinzani. Maana sasa wanaonekana kupata funzo. Jambo ambalo wanatakiwa kutambua ni kuwa tume huru ya uchaguzi ambayo itaendesha chaguzi kwa uwazi na ukweli bila upendeleo inahitaka. Tangu mwaka 1995 walipaswa kususia uchaguzi kama...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wana haki ya kijiunga na vyama vya siasa

    Kama waandishi wa habari wakijiunga na chama cha siasa, ambayo ni haki yao kama raia, lazima waepuke kutumia nafasi yao kukinufaisha chama chao hasa kupigia debe misimamo inayochukuliwa na vyama vyao Maazimio ya waandishi wa habari yanazuia kupotoka kwa kuwazuia waandishi wa habari ambao ni...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Ninaomba vyama vya siasa viwe makini kupendekeza Mgombea Mwenza kwenye Uchaguzi Mkuu

    Katika mchakato wa kupata Rais wa JMT, katiba inaelekeza kuwa ni lazima kuwe na mgombea mwenza ambaye Rais akishinda uchaguzi then mgombea mwenza huyo anakuwa Makamu wa Rais. Nikiri kuwa sikuwahi kuchukua cheo cha Makamu wa Rais kwa uzito mkubwa. Mara nyingi niliona kuwa makamu wa Rais ni takwa...
  15. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Ni kama wapinzani wamekata tamaa na vyama vyao

    Nilijua wapinzani hasa CHADEMA wangeendelea kuisusia Serikali kwa sababu CCM ni ile ile ila Rais ndiye amebadilika, ila kila ninayemsoma humu kwenye mitandao basi anamsifia Rais na kumuomba afanye kitu fulani. Sasa nashindwa kuelewa wameamua kukubali kuwa CCM ni chama kubwa au wamekata tamaa?
  16. C

    JamiiForums Tanzania Swali Fikirishi: Nini mwelekeo wa waliohama vyama kwa misingi ya kuunga mkono juhudi?

    Wakati Chama cha Mapinduzi kikiendelea na michakato ya kupanga safu za uongozi kufuatia kuondoka kwa Mwenyekiti Hayati John Pombe Magufuli, nini hatima ya wanachacshama waliohamia chama hicho kwa misingi ya kuunga juhudi za rais? Najaribu kuwaza kwa sauti: 1. Ukizingatia kwamba juhudi...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania siku mtapokezana madaraka baina ya vyama ndio mje mtutambie

    Watanzania naona mnafungua nyuzi nyingi nyingi za kututambia namna kwenu huko mna desturi ya kupokezana madaraka bila ugomvi, hiyo poa na hongera pia, ila bado sana maana siku mtapokezana uongozi baina ya vyama (kama sisi Kenya) ndio siku mje mtutambie kuhusu demokrasia. Kwenu huko chama kimoja...
  18. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Kama Katiba ya JMT inaruhusu mfumo wa vyama vingi basi ni wakati muafaka kwa CCM kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar

    Awali ya yote niwape Pole sana Watz wenzangu kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewa na Mkuu wa nchi Dr.John Joseph Pombe Magufuli. Mungu amweke mahali panapostahili kwa yale aliyotenda hapa duniani. Marehemu alikuwa hataki kusikia habari ya Katiba Mpya akidai hicho hakikuwa kipaumbele chake wakti...
  19. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa, Vijana waaswa kwenda kujifunza Maadili na Uzalendo katika Chuo cha Uongozi cha Mwl. Nyerere

    Wajumbe wa Baraza la wadhamini la Chama Cha Mapinduzi ,(CCM) limewataka viongozi wa vyama vya upinzani nchini kujiunga na Chuo cha uongozi na Itikadi cha Mwalimu Nyerere ,kilichopo Kwamfipa,Kibaha,mkoani Pwani, ili kujiongezea uwezo na kujifunza maadili na uzalendo wa nchi yao. Walizungumza...
  20. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Charles Kimei: One of the most exposed and reputable banking top executives in East & Central Africa. Hakupaswa kujiingiza katika siasa hizi za vyama

    Mambo vp JamiiForums. Ninapoandika hoja hii, ninaomba ifahamike kuwa i have nothing personal with mzee Kimei na ninatambua kuwa yeye ni moja katika ya hazina kubwa ambazo taifa hili linazo katika masuala mazima ya uchumi na banking. Watu walikuwa wanapenda sana kumshambulia kaka yangu Pascal...
Back
Top Bottom