vyama

  1. jitombashisho

    Rais Samia Suluhu ataruhusu maandamo yoyote ya wanaharakati, vyama vya upinzani na hata chama chake?

    Hayati Magufuli alikomesha pasi na ajizi maandamo ya aina yoyote tofauti na mtangulizi wake Mzee JK. Hoja yake kubwa Hayati Magufuli kuhusu kuzuia maandamo ilikuwa ni muda wa kufanya kazi na haukuwa muda wa kuandamana. Aliweza. Ndipo kipindi ambacho kwa takribanI miaka mitano si wanavyuo...
  2. konda msafi

    Watanzania tuviunge mkono vyama vikubwa viwili vya kisiasa kwa maendeleo ya nchi yetu

    Hotuba ya mama imenikosha sana. Nina imani watu wengi imewafurahisha na wanamwombea asibadirike bali azidi kuboresha zaidi. Kila mtanzania mpenda maendeleo na uhuru wa kweli anataka kiongozi msikivu na anayejali sauti za watu. Tanzania ni yetu sote na wote tunastahili kufaidi mema ya nchi yetu...
  3. lee Vladimir cleef

    Kwanini tunampongeza na kumsifia hata sisi wafuasi wa Vyama pinzani?

    Mtu akiwa Rais hata kwa kupindua nchi Ni Rais huyo, Akiwa Rais kwa kuchaguliwa kidemokrasia Ni Rais huyo, Akiwa Rais kwa kuiba kura ni Rais huyo. Mtu aliyekalia kiti Cha Urais Ana Upanga wenye ncha Kali,Ana Maamuzi . Hivyo akifanya mambo mazuri yanawafikia wote wasio wapinzani na wapinzani...
  4. matunduizi

    Kabla siku hazijaenda sana: Bunge litunge sheria vyama vya siasa kutopiga kampeni kabla ya uchaguzi

    Haya alifanya JPM najua ilikuwa ni utashi na sio sheria sasa ipitishwe rasmi. 1: Hakuna mikutano ya hadhara ya kisiasa kabla ya kampeni. Tuwaache waliochaguliwa katika maeneo yao ndio wawe wanaongea na wananchi wao. 2: Mikutano ya ndani ya kisiasa hiyo ibaki wakiimarisha vyama vyao. Tuwe...
  5. Nyankurungu2020

    Kama vyama vya upinzani vingekuwa vinasusia uchaguzi kwa kipindi chote kilichopita tungekuwa tumepata Katiba Mpya

    Huenda uchaguzi mkuu wa mwaka jana umeleta funzo kwa vyama vya upinzani. Maana sasa wanaonekana kupata funzo. Jambo ambalo wanatakiwa kutambua ni kuwa tume huru ya uchaguzi ambayo itaendesha chaguzi kwa uwazi na ukweli bila upendeleo inahitaka. Tangu mwaka 1995 walipaswa kususia uchaguzi kama...
  6. J

    Wanahabari wana haki ya kijiunga na vyama vya siasa

    Kama waandishi wa habari wakijiunga na chama cha siasa, ambayo ni haki yao kama raia, lazima waepuke kutumia nafasi yao kukinufaisha chama chao hasa kupigia debe misimamo inayochukuliwa na vyama vyao Maazimio ya waandishi wa habari yanazuia kupotoka kwa kuwazuia waandishi wa habari ambao ni...
  7. Y

    Ninaomba vyama vya siasa viwe makini kupendekeza Mgombea Mwenza kwenye Uchaguzi Mkuu

    Katika mchakato wa kupata Rais wa JMT, katiba inaelekeza kuwa ni lazima kuwe na mgombea mwenza ambaye Rais akishinda uchaguzi then mgombea mwenza huyo anakuwa Makamu wa Rais. Nikiri kuwa sikuwahi kuchukua cheo cha Makamu wa Rais kwa uzito mkubwa. Mara nyingi niliona kuwa makamu wa Rais ni takwa...
  8. tang'ana

    Ni kama wapinzani wamekata tamaa na vyama vyao

    Nilijua wapinzani hasa CHADEMA wangeendelea kuisusia Serikali kwa sababu CCM ni ile ile ila Rais ndiye amebadilika, ila kila ninayemsoma humu kwenye mitandao basi anamsifia Rais na kumuomba afanye kitu fulani. Sasa nashindwa kuelewa wameamua kukubali kuwa CCM ni chama kubwa au wamekata tamaa?
  9. C

    Swali Fikirishi: Nini mwelekeo wa waliohama vyama kwa misingi ya kuunga mkono juhudi?

    Wakati Chama cha Mapinduzi kikiendelea na michakato ya kupanga safu za uongozi kufuatia kuondoka kwa Mwenyekiti Hayati John Pombe Magufuli, nini hatima ya wanachacshama waliohamia chama hicho kwa misingi ya kuunga juhudi za rais? Najaribu kuwaza kwa sauti: 1. Ukizingatia kwamba juhudi...
  10. MK254

    Watanzania siku mtapokezana madaraka baina ya vyama ndio mje mtutambie

    Watanzania naona mnafungua nyuzi nyingi nyingi za kututambia namna kwenu huko mna desturi ya kupokezana madaraka bila ugomvi, hiyo poa na hongera pia, ila bado sana maana siku mtapokezana uongozi baina ya vyama (kama sisi Kenya) ndio siku mje mtutambie kuhusu demokrasia. Kwenu huko chama kimoja...
  11. Mzalendo2015

    Kama Katiba ya JMT inaruhusu mfumo wa vyama vingi basi ni wakati muafaka kwa CCM kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar

    Awali ya yote niwape Pole sana Watz wenzangu kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewa na Mkuu wa nchi Dr.John Joseph Pombe Magufuli. Mungu amweke mahali panapostahili kwa yale aliyotenda hapa duniani. Marehemu alikuwa hataki kusikia habari ya Katiba Mpya akidai hicho hakikuwa kipaumbele chake wakti...
  12. MIMI BABA YENU

    Vyama vya Siasa, Vijana waaswa kwenda kujifunza Maadili na Uzalendo katika Chuo cha Uongozi cha Mwl. Nyerere

    Wajumbe wa Baraza la wadhamini la Chama Cha Mapinduzi ,(CCM) limewataka viongozi wa vyama vya upinzani nchini kujiunga na Chuo cha uongozi na Itikadi cha Mwalimu Nyerere ,kilichopo Kwamfipa,Kibaha,mkoani Pwani, ili kujiongezea uwezo na kujifunza maadili na uzalendo wa nchi yao. Walizungumza...
  13. Infantry Soldier

    Charles Kimei: One of the most exposed and reputable banking top executives in East & Central Africa. Hakupaswa kujiingiza katika siasa hizi za vyama

    Mambo vp JamiiForums. Ninapoandika hoja hii, ninaomba ifahamike kuwa i have nothing personal with mzee Kimei na ninatambua kuwa yeye ni moja katika ya hazina kubwa ambazo taifa hili linazo katika masuala mazima ya uchumi na banking. Watu walikuwa wanapenda sana kumshambulia kaka yangu Pascal...
  14. Nyankurungu2020

    Tunakwenda kushudia Bunge la ajabu tangu mfumo wa vyama vingi uanze nchini

    Tusitarajie wabunge wengi kuwa na busara kulalamikia kero za wananchi, kama maji, elimu na miundo mbinu mibovu. Maana wabunge wengi ni wa CCM na wao walikiri kuwa hawastahili kuwa bungeni bali walibebwa kwa mgongo wa JPM. Kwenye hili bunge tutarajie kusikia haya tulioanza kusikia JPM...
  15. MakinikiA

    Kuelekea kuapishwa Biden kuwa Rais wa Marekani raia na askari hawatambuliki wote wamebeba silaha

    Vikosi vya usalama viko nje ya majengo mbalimbali ya serikali Vikundi vidogo vya waandamanaji - baadhi yao wakiwa na silaha - wamekusanyika nje ya majengo ya serikali ya Marekani, ambapo kuna mvutano mkubwa baada ya jengo la Capitol Hill kuvamiwa huko Washington. Maandamano yanafanyika katika...
  16. Jidu La Mabambasi

    Upinzani ndani ya CCM waweza kuwa mgumu kuliko vyama vya upinzani

    Tumefika mahali sasa CCM tuongoze nchi bila figisu. Si tulishinda uchaguzi, shehmu nyingine tena bila kupingwa. Tuna Bunge sasa CCM ndio tupo wengi Bungeni toka kuanza siasa za vyama vingi. Lakini sasa tujihadhari mambo mawili au matatu. Maoni ya wananchi kuhusiana kero hayategemei chama...
  17. S

    Vyama vya Upinzani acheni kukimbilia Vyombo vya Habari

    Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida, moja tu. Siasa sio kwenye vyombo vya habari kama hamuwezi kufanya siasa acheni kuwajingisha Wananchi. Kama kuna faida basi wakulima wangalienda...
  18. The Mongolian Savage

    Trump ataanzisha chama chake na ndio mwisho wa vyama viwili vyenye nguvu Marekani

    Mzuka wanajamvi! Donald Trump ataanzisha chama chake. Kitakuwa na nguvu sana na wafuasi wengi sana na wengi watakihama republican na kujiunga nacho. Kwa mara ya kwanza utakuwa mwisho wa vyama viwili Marekani Republicans na Democrats kiwa na nguvu pekee yao. Uchaguzi wa 2024 Marekani utakuwa...
  19. J

    Tunaingia 2021 tukiwa tumebaki na vyama viwili vya upinzani wa kweli Chadema na Chauma!

    Na huo ndio ukweli mchungu. Pamoja na tofauti za kiitikadi bado naiona Chadema ikiwa imara hata kama ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa. Kimsingi mbunge mmoja wa kuchaguliwa ni bora kuliko wabunge 100 waliopita bila kupingwa, na hii ni kanuni ya kiisrael kwamba kiongozi mmoja wa kuchaguliwa ni...
  20. Idugunde

    Ipo siku Watanzania tutaandamana kudai mfumo wa vyama vingi ufutwe

    Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi. Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha. Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi...
Back
Top Bottom