USHIRIKA KAMA NYENZO KUU YA MAENDELEO.
Vyama vya ushirika ni msamiati unaokaribia kufutika kabisa kwa kizazi cha sasa. Vyama kama SHIRECU, KCU na KNCU viliweza, kwa wakati wao, kuleta mapinduzi kwenye sekta za kilimo cha mazao ya kibiashara kama pamba na kahawa. Kupuuzwa kwa dhana ya ushirika...