vyama vya upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sijawahi kupishana maneno na Mbowe tangu nijiunge CHADEMA 2004, hakuna wa kutufitinisha!

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema yeye na Mwenyekiti wake Mbowe wako vizuri kuliko wakati mwingine wowote. Lissu amesema hata alipokutana na Rais Samia kule Ubelgiji alimweleza wazi kuwa atarudije nyumbani ilhali Mwenyekiti wake yuko magereza, ndipo Rais akalifanyia kazi. Lissu...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vya habari bado vinaripoti kwa 'machale' taarifa za vyama vya siasa vya upinzani?

    Ni wazi kuwa Rais wa awamu ya 6, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio haramu za kufanyika shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani na hivyo kurejesha ukuaji wa kidemokrasia Kwa vyama vya upinzan hapa nchini, ambao ulikuwa umeminywa Kwa kiasi kikubwa Kwa zaidi ya miaka 6 ya utawala wa awamu ya...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hofu ya CCM kwa vyama vya upinzani ni ya kweli?

    CCM na hata Mwl Nyerere RIP hofu Yao kuu kwa vyama vya upinzani ni kuvurugika kwa umoja, amani na mshikamano wa watanzania, kuvunjika kwa muungano na vita ya wenyewe kwa wenyewe. Je, hofu hii ni ya kweli na dhahili? Je, wanasiasa wa vyama vya upinzani wanao uwezo wa kudumisha mshikamano...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani Tanzania vimejaa Wanasiasa wasiokuwa na Maono, Ubunifu wala uwezo wa Uongozi

    Nje ya siasa za mikutano ya hadhara ya kupiga domo domo na maandamano ya kipuuzi puuzi vyama vya siasa vya upinzani Tanzania hakuna kitu kabisa! na hasa CHADEMA! Na kwa kuwa Watanzania wengi ni watu wasiokuwa na elimu bora wala maarifa ya kuchanganua mambo kwa upana wake basi wanawafuata tu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa amshutumu Magufuli kwamba zuio la mikutano ya hadhara lilikuwa batili na haramu

    Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio. Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo. Msikilizeni Dr hapa chini.
  6. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania MWL. J. K. Nyerere kuhusu vyama vya upinzani

    Habari za saa wanachama wote natumai ni njema . Kama kichwa cha mada kisemavyo "Mwalimu nyerere kuhusu vyama vya upinzani”. Ningependa kuwa karibisha wadau wote kutoa maoni na michango huru kutokana na mazungumzo mafupi katika video hii nilio weka hapa ikumuonesha Mwalimu Julius Kambarage...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vimekubali maendeleo hayana chama

    Wafuasi wa vyama vikuu vya upinzani nchini CHADEMA na ACT Wazalendo Mkoani Lindi wameungana na wenzao wa CCM pamoja na wananchi katika mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Wafuasi hawa wanajua ya...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani anzieni hapa kuelekea kushika dola 2025+

    Kutokana na uhalisia wa kwamba Chama.Cha Mapinduzi kujikita kwenye siasa zenye malengo ya kuimaliza nchi ishindwe kuwa na uwezo wa kupata maendeleo ya kweli. Nimewaza sasa kutoa ushauri kwa vyama vya siasa hususani vya upinzani kuwapa mbinu za kufikia kutwaa dola kwenye chaguzi zijazo za...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mjifunze kwa Zitto Kabwe

    ZITTO KABWE anafaa kua mfano kwa viongozi wengi wa vyama vya siasa maana anajua maana halisi ya upinzania, Upinzani haina maana upinge kila kitu bali ni kupinga yasiyofaa na yanayofaa kuyaunga mkono lakini wapinzani wengine wao wanapinga kila kitu kinachokuja mbele yao. Leo katika ziara ya...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ataka Mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iliyodhibitiwa iruhusiwe. Je, hoja hii inatoka moyoni mwake?

    Nape Nnauye ambaye ni Katibu wa zamani wa Itikadi na uenezi wa CCM, amenukuliwa leo akitaka mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iruhusiwe, kwa vile jambo hilo litasaidia kuamsha chama chake cha CCM kutoka kwenye usingizi wa pono. Nape Nnauye ambaye sasa ni Waziri wa Habari, na ambaye Ubunge...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri tufute vyama vya upinzani vilivyopo tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kweli

    Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita. Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo wa chama kimoja. Kwa maoni yangu ikiwa tunahitaji upinzani utusaidie kweli kweli lazima tuanze upya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Gwajima ni mikutano ya dini au siasa ya CCM? Kwa ushahidi huu ni halali kuzuia mikutano ya Vyama vya Upinzani?

    Kichwa cha habari chahusika. Ushahidi upo ktk video hapo chini.
  13. mavya

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani toeni kauli juu ya tozo hizi

    Kwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo. Mpaka mda huu hakuna chama chochote ambacho kimeita media kwa ajili kukemea unyanganyi huu unaofanywa na mama Mwakatozo akishirikiana na Baba Mwakatozo. Na isitoshe haya matozo yako Bara tu Visiwani hakuna haya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vimekufa, vimelala au vinasubiri Uchaguzi Mkuu?

    Vyama vya upinzani vimekufa au vimelala au vinasubiri uchaguzi mkuu utangazwe? Ndio wazuke na kudai tume huru na Katiba mpya, ile kasi imeenda wapi? Mwisho wa siku mtaambiwa siku hazitoshi kwani uchaguzi unakaribia. Tunahitaji muamko sio mgawanyiko katika madai husika ya Tume huru ya uchaguzi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli hayupo lakini vyama vya Upinzani vinazidi kusahaulika, sasa hawana wa kumsingizia!

    Nafuatilia kwa karibu ziara ya Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo akikagua miradi mbalimbali huko Shinyanga Sijaona benders.ya Chadema.wala ACT wazalendo.kwemye kijiji chochote hii maana yake Upinzani unazidi kudorora kila uchwao Kumbe siyo kweli Magufuli alikuwa anawabana wapinzani.ila...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Demokrasia gani inayopiganiwa na vyama vya Upinzani? Sioni Chama cha kukipa Nchi

    CCM ni Chama ambacho kina misingi na utaratibu wa namna kinavyojiendesha ndio maana utaona viongozi wanaachiana madaraka kwa taratibu hizo. Utasikia mtu kapita kwa asilimia 100, bila kupingwa etc.. ni taaratibu zao na Wanachama wao wanazipenda. Huku kwetu upinzani Mtu akishaanzisha Chama au...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vinawezaje kuepuka kuonekana vina sura ya kidini?

    Hili suala halisemwi lakini lipo. CUF kilikuwa cha kizuri na tishio cha upinzani. Shida yake kilionekana kama kina sura ya kiislamu. CDM kukawa vizuri sana lakini kikawa kama kina sura ya kikristo. Imekuja ACT wazalendo lakini kinaonekana kama cha Zanzibar na Pwani kwa waislamu. Chama kuwa na...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vinaongozwa na madikteta

    Hawa watu ukiwaangalia bila bias utaona ni madikteta wakubwa sana. Cha kushangaza wafuasi wao hawaoni hilo kuwa ni tatizo. Moja ya sifa kuu ya udikteta ni kung'ang'ania madaraka. Cheki wanavyofanya. 1. Mrema ni mwenyekiti wa TLP toka 1999-leo. Miaka 23 2. Zitto amakuwa kiongozi wa ACT toka...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi

    Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi. Nimekaa nimewaza juu ya mwenendo wa siasa za taifa letu. Nikirejea kwa hawa wenzetu chama tawala jinsi wanavyoenenda. Ni dhahiri inaonyesha hawana muda mrefu wataachia hili taifa mikononi mwa chama kingine. Sasa...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mwacheni Rais Samia 2025 apite bila kupingwa ili awanyooshe mapito yenu 2030

    Kwa namna tume ya uchaguzi, Katiba na kanuni za uchaguzi zilivyo sasa hivi itakuwa kazi bure kama vyama vya upinzani vitashiriki chaguzi bila kufanyiwa mabadiliko muhimu ya kidemokrasia, ni kweli au uongo? Rais Samia ana exposure kubwa sana katika katika duru za kimataifa kuliko Rais yeyote...
Back
Top Bottom