vyama vya upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani sio uadui, watu makini wa upinzani wanaweza kutumiwa na Rais

    Nchi ni ya watanzania wote bila kujali vyama vyao wala chochote Rais akishaapishwa anakuwa kiongozi wa nchi sio wachama hivyo anakuwa kiongozi wa watu wote Kwa msingi huo watu wote ni mali ya Rais na wanayo nafasi sawa mbele ya Rais bila kujali itikadi zao Vyama vya upinzani vina watu wengi...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sipendezwi na tabia ya Baadhi ya Wafuasi na viongozi wa CHADEMA kuita viongozi wa vyama vingine Majina ya Matusi, kejeli na dhihaka

    SIPENDEZWI NA TÀBIA YA BAADHI YA WAFUASI NA VIONGOZI WA CHADEMA KUITA VIONGOZI WA VYAMA VINGINE MAJINA YA MATUSI, KEJELI NA DHIHAKA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unaweza kutofautiana na Mtu kimtazamo, kidini, kiitikadi, kielimu,kimaumbile, kihadhi, kiuchumi, kiukabila miongoni mwa mambo...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania CCM kudai kuwa vyama vya upinzani bado havijawa tayari kukabidhiwa nchi, ni uzalendo au ubinafsi?

    1. Kwani TANU ilikuwa tayari kukabidhiwa nchi na Wazungu hasa ikizingatiwa kuwa ilikuwa ikiongozwa na "kijana" wa miaka thelathini na nane tu? Mbona aliweza kuiongoza kwa "mafanikio" makubwa? 2. Kwa kusema vyama vingine havijawa tayari, kunamaanisha nchi haina mifumo imara ya kiuongozi hadi...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lusinde: CCM na Vyama vya Upinzani ni kama mjukuu na babu, hakuna ugomvi kati yao ila ukifika uchaguzi wakae pembeni

    Katika Mkutano wa Msigwa unaofanyika leo Julai 20, 2024 Iringa Mjini Lusinde amesema; "CCM na vyama vya upinzani ni kama babu na mjuu, hakuna ugomvi kati yao. "Mjukuu anaweza kucheka anavyotaka na mjukuu wake, kama babu ana mapengo mjukuu anaweza kuingiza mpaka vidole kwenye mapengo yake, babu...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ina wafuasi, wakereketwa na wapiga kura wengi zaidi ndani ya vyama vya upinzani nchini

    Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM. Yaani, macho, maskio na shauku kubwa mno ya wana ccm, vyama vya upinzani, wananchi na waTanzania kwa...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni aonya wanaodhihaki viongozi mtandaoni

    Ila CCM imejaa viongozi wengi wajinga, badala mtilie mkazo kwenye uadilifu, kukemea uchawa na wizi, rushwa na ufisadi, mnakuja kujitia aibu kwa ujinga kama huu! kwani nani hajui kukosolewa kwenu ni matusi? Kukosolewa kwenu ni uchochezi? Kukosolewa kwenu ni kuleta machafuko? Yaani kama hamtoshei...
  7. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama Tawala na Vyama vya upinzani vimeshindwa kutuletea mabadiliko na ustawi. Wananchi tufanye nini?

    Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa chama tawala CCM na pia Vyama vya Upinzani, nimegundua hakuna chama kinachoweza kutuletea mabadiliko ya kweli. Matokeo yake akina Msigwa, Mwita Waitara, Prof Mkumbo, Mashinji, Gekul, Katambi nk kuhama na kutafuta maslahi binafsi zaidi. Upande wa pili CCM...
  8. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya upinzani Tanzania na siasa za maigizo ya kukipinga chama Tawala

    Siasa za vyama vingi zilianza mwaka 1992 baada ya IMF na WB kutoa vipaumbele na masharti kwa nchi zitakazotaka kukopeshwa kwa wakati huo, masharti hayo ni pamoja na kuwa na soko huria na kuwa na demokrasia ya vyama vingi Hapa Tanzania vikaundwa vyama siasa vikiwemo CUF, CHADEMA, UDP, NCCR...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchimbi akemea vyama vya upinzani kuhamasisha mauaji

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Nchimbi akikemea na kuonya vikali viongozi wa vyama vya upinzani ambavyo baada ya kukosa hoja, agenda, kuishiwa ushawishi na uwezo wa kiuongozi, vimeanza kutumia majukwaa ya mikutano ya hadhara kuhamasisha mauaji wakati nchi yetu inapoelekea...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Faida za Kuwa na Vyama Viwili Vikuu vya Siasa

    Katika mazingira ya kisiasa, uwepo wa vyama vingi vya siasa ni ishara ya demokrasia na uhuru wa kisiasa. Hata hivyo, idadi kubwa ya vyama vya siasa inaweza kuleta changamoto za kiutendaji na kisiasa. Kwa mantiki hiyo, kupunguza idadi ya vyama vya siasa na kuwa na vyama vikuu viwili vinaweza...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo kosa kubwa linalovigharimu vyama vya upinzani Tanzania

    Kuna kosa moja kubwa linavigharimu vyama vya upinzani Tanania. Na kosa hilo limekuwa kama mwiko kulizungumza. Ni kuwa vyama vya upinzani havijabalance mizani ya dini ndani yake. Ni mwiko na hatari kuchanganya dini au ukabila na siasa. Lakini kwenye siasa halisi huwezi kuepuka kuadress hayo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumekucha: Mchungaji Msigwa amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi Kanda ya Nyasa

    Mchungaji Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa anayemaliza muda wake amepinga Mjumbe wa sekretari Mrema kusimamia Uchaguzi jimboni kwao Source Jambo TV Yajayo yanafurahisha😀 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa, ambaye pia anagombea kutetea...
  13. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya vyama vya upinzani ndio mafanikio ya kipekee kabisa ya Awamu ya 6 ya Rais Samia

    Sikumbuki ni utawala wa awamu ya ngapi hasa tuliona polisi wakiyalinda maandamano ya vyama vya upinzani,hata nchi jirani ya Kenya maandamano Yao yamejaa vurugu mauaji na damu kumwagika,hata awamu ya nne ilioulea upinzani tunaouona hadi Leo haikuruhusu maandamano ya amani,Bado nakumbuka mauaji ya...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi mkuu ujao upinzani Tanzania uunganishe nguvu au wagombee hivi hivi kiholela kama kawaida?

    Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyingine zozote zilizopita... Kinaungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa. Na kwahivyo...
  15. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vinaoneana wivu, ni nani mwenye urafiki na upinzani kwa CCM?

    Vyama vya upinzani vya Tanzania ni kama wapo kwenye league ya kuoneana wivu. Ni chama gani chenye urafiki na ushindani kwa chama tawala CCM, hii ni toka utawala wa Samia uanze. Hali hii inanishangaza sana.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi: Changamoto za migongano anazokabilili Rais Samia ndani ya CCM ni kubwa kuliko anazokabili toka vyama vya upinzani

    Watu wengi wakisikia maneno ya kina Tundu Lissu , Mbowe na kadhalika, yakionyesha kutoridhishwa na raisi Samia katika majukumu yake kama raisi wa Tanzania, wanapata hisia kwamba watu wa upinzani ndio wanaomnyima raisi Samia usingizi wa usiku. Ukiwaza hivyo uko nje kabisa ya mstari. Changamoto...
  17. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini unashabikia chama hicho cha siasa?

    Wakuu, Kwanini unashibikia chama hicho cha siasa? Kuna watu huwaambii kitu kwenye vyama vyao. Hata chama kifanye madudu gani kwao chama ndio kinakuja mwanzo kuliko kitu chochote, na yuko tayari kufanya chochote kwaajili ya chama chake hata kama kinaathiri watu wengine vibaya. Ni kama wameziba...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha siasa ukaja kujua sio kweli?

    Wakuu kwema? Kama mada inavyosema hapo juu, umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha saisa ukaja kujua sio kweli? Kuna watu wapigwa fix nyingi kuhusu kadi hizi kwa malengo mbalimbali iwe kuongeza wanachama, ushawishi na kadhalika. Uliambiwa kadi yako ya chama ina uwezo wa...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Kauli gani kutoka kwa mwanasiasa ilikuvunja moyo kufatilia mambo ya siasa?

    Wakuu kwema? Kama kichwa kinavyosema hapo juu, kauli gani imewahi kutolewa na mwanasiasa iwe kwenye kampeni, mkutano wa hadhara, au kiongozi akiwa anatimiza majukumu yake ikakufanya uchukie siasa ama uache kabisa kufatilia mambo yanayohusu siasa? "Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi...
  20. Bromensa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?

    Habari za leo, Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi. Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri. Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
Back
Top Bottom