vyama vya upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tamko la Pamoja la Jumuiya za Vijana Vyama Pinzani nchini kuhusu Miswada ya Sheria za uchaguzi

    Sisi viongozi wa Jumuiya ya vijana kutoka vyama pinzani vitatu nchini Ngome ya Vijana ACT Wazalendo, Jumuiya ya vijana CUF (JUVICUF) na Jumuiya ya vijana -NCCR Mageuzi ambapo awali tulikuwa pamoja na viongozi wenzetu kutoka Baraza la vijana Chadema (BAVICHA) kuanzia hatua ya vikao hadi hatua ya...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani kemeaneni kuhusu suala hili kabla ya Uchanguzi 2024-2025

    Wabunge na madiwani wa Kambi ya upinzani wakichaguliwa kwa taabu kubwa kisha kuhamia chama tawala wakiwa wabunge na madiwani hivyohovyo na kusababisha kufanyika kwa uchaguzi mdogo kunawauma sana na kuwakatisha tamaa wafuasi wenu waliowapigia kura, kuzihesabu na kuzilinda.. Huku ni sawa na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati

    Vyama vya upinzani na wanaharakati ni makundi mawili tofauti yenye mwonekano wa kufanana lakini kiuhalisia ni yenye kutofautiana sana. Yote mawili hujinasibu kumtumikia mwananchi kwenye agenda za ukombozi, ila yakiwa na malengo tofauti. Kwenye muktadha wa siasa za hapa kwetu, agenda kuu ni...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani Tanzania vinashindana, vikipata mshindi ndio mapambano dhidi ya CCM yataanza

    Asalam, Tukumbushane, 20% wanataka vyama vingi, 80% wanaitaka CCM kama Chama Pekee. Hapajakuwa tena na kura za maoni tofauti na hizo. Matokeo ya Uchaguzi Mkuu hayajawahi kushinda huu utafiti wa Je tuwe na vyama vingi au lah. Hoja, hii 20% haina rangi kiasi kwamba unaweza kusema ni yule na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

    "Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati huwa sivielewi vyama vya upinzani hasa Tanzania wanasimamia nini na wanataka nini?

    Mfano, utakuta wanakwambia eti Putin ni mwamba kabisa. Muda mwingine wanawashingilia Putin na kiduku. Sasa Rais akiamua kuwaiga hao wanaowaita miamba wanalia tena kwamba ameminya demokrasia wakati hao akina punin wamepiga marufuku demokrasia. Samia leo akisema hakuna uchaguzi tena hapa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naona vyama vya upinzani vinajinyonga vyenyewe. Sijui ni uwezo mdogo au shule finyu!!

    Hebu fikiri eti akina Mdude, Slaa na Mwabukusi eti wanatoa tamko la maandamano Leo. Kwa tuliojaliwa kuwa na akili tayari huo ni mpasuko mkubwa kwa vyama vya upinzani kwamba wameishiwa pumzi sasa wanatafuta wasiokuwa na vyama wawasaidie huenda watawasikiliza. Sisi tutajiuliza mbona Slaa...
  8. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Nchi tutampa visionary leader sio mwanaharakati. Ukweli mchungu ni kwamba bado upinzani hawana Visionary leader

    Sina la kuandika zaidi sababu title imejielezea. Sijaona visionary leader yyt kutoka upinzani hadi sasa, endeleeni tu kutimiza wajibu wenu wa kuikosoa serikali na kuchangamsha mitandao ya kijamii lakini kule juu sidhan kama mtafika, labda miaka 100 ijayo. Tuongee ukweli ndugu zangu, nani...
  9. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mkataba na DP World: Serikali sasa ikutane na viongozi wa Vyama vya Upinzani

    Wasalaam Wakuu. Baada ya Bunge kuunga Mkono azimio la Serikali kuingia Mkataba na Kampuni ya DP World, mengi yamekuwa yakisemwa. Leo tar 12 Juni 2023, Waziri Prof Mbarawa alikutana na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu juu ya mkataba wenyewe. Na kuondoa sintofahamu na hofu...
  10. Mkurugenzi Wa Mashirika

    JamiiForums Tanzania Mwongozo kwa Vyama vya Upinzani katika Kulinda Haki za Wananchi

    Acheni janjajanja za kisiasa Acheni janjajanja za kisiasa na badala yake jikite katika masuala ya msingi na maendeleo ya wananchi. Epusheni siasa za matusi, ugomvi wa kibinafsi, na uzushi ambao hauchochei maendeleo na umoja wa taifa. Jitahidini kuwa wabunifu, na wajibika katika kuwasilisha...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ikibidi Vyama vya upinzani tuungane hata na Genge S kupinga mkataba huu hatari kwa taifa letu

    Vipengele vilivyopo kwenye mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam unaotarajiwa kufanywa na kampuni ya Dubai Ports (DP) ni vipengele visivyoonesha ukomo wa maslahi na mipaka ya kisheria kwa DP. Mkataba huu kama utasainiwa utaifunga Tanzania na miaka mingi na kutufanya kupoteza udhibiti wa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sisi na vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo sio maadui, lazima tusaidiane kuing'oa CCM

    Mbowe ameyasema hayo kwenye mkutano Kigoma, akisema kuwa mkoa wa Kigoma ni chimbuko la wanamageuzi ambapo imetoa wabunge wengi wa upinzani. Akaongeza kuwa anatambua Kigoma kuna vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo, na kwamba wao CHADEMA na vyama vingine sio maadui, lazima wasaidiane...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Senegal: Vyama vya Upinzani vyaitisha maandamano baada ya Kiongozi wao kuhukumiwa kifungo cha miezi 6

    Muungano wa Vyama vya Upinzani Nchini #Senegal umeitisha maandamano hayo siku moja baada ya Mahakama kumuongezea muda wa kifungo #OusmaneSonko kutoka miezi 2 hadi 6 kwa madai ya kumtukana Waziri wa Utalii Mame Mbaye Niangtou. Kwa mujibu Vyama hivyo, maandamano yanalenga kupinga uamuzi wa...
  14. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kufutilia mbali vyama vya upinzani vilivyopo ili kuleta mapinduzi ya siasa Tanzania

    Habari wakuu, hamjambo? Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi. Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
  15. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tatu bora ya vyama vya upinzani ambavyo vilipata misukosuko mikubwa kutoka katika vyombo vya dola

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ndugu zangu, najua hapa JF tuna vijana wengi ambao walianza kufuatilia na kujiunga na mambo ya kisiasa miaka ya 2010, 2015, 2020 hadi leo 2023. Vijana hao ambao wengi wao ni Chadema, wakifuatiwa kwa mbali na ACT Wazalendo, wanaamini kwamba vyama hivyo viwili ndio...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Harakati za vyama vya upinzani Tanzania ni kupewa Ukuu wa Wilaya tu

    Toka CCM waligundue Hilo hawana presha kabisa na upinzani. Utaratubu huu alianza nao mkapa. Issue sasa ninl kuwahonga madaraka ili wakae kimya kwani nao ni chumia tumbo. Hata ukiwahoji watakuuliza kwani wewe unalisha familia zetu? Enzi hizo bwana Cheo Yupo moto kwelikweli mkapa aliivuruga...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waliodai vyama vya upinzani kushirikiana na Magufuli ni uzalendo, wakati wa Magufuli, sasa wanalalamika Chadema haikosoi Serikali

    Wale wafuasi wa Magufuli leo hii wanalalamika kwamba Chadema haikosoi tena Serikali, imenunuliwa Lakini watu hawa hawa ndio waliokuwa wakisoma vyama vya upinzani havina umuhimu, inabidi viuawe kwa nguvu kwa kutumia mbinu za kuteka kufunga na kuua viongozi wake Hawa watu wana matatizo ya akili?
  18. J

    JamiiForums Tanzania Si CHADEMA tu, Vyama vyote vya Upinzani havina dhamira ya kushika Dola!

    Ukitaka kulielewa hili vizuri angalia aina ya Wagombea wanaowaweka kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini angalia hata Mifumo yao ya Kampeni; Mrema anampigia Kampeni Magufuli na kumuacha Mgombea Urais wa chama chake. Zitto anampigia Kampeni Tundu Lissu badala...
  19. system hacker

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania vyama vya upinzani ni ulaghai. Lengo kubwa ni misaada ya wazungu

    Kimsingi, wale wote wanaopata shuruba kwenye siasa za upinzani ni wale wasio na ufahamu wowote kuhusu maana halisi ya upinzani kwa Tanzania. Lakini, wale wachache wanaoelewa huwa hawaingii kwenye misukosuko yoyote na watawala. Watu wengi kwenye siasa za upinzani wanatumika pasipo wao kujua...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kama Vyama vya Upinzani kazi yao ni kumsifia na kumuogopa Rais akiwa madarakani na kumshambulia akishakufa, vifutwe tu havitusaidii chochote!

    Ni Ujinga, Utindiga, Ututusa na Ubwege kumuogopa Rais kwa miaka 7 mkiwa mmeufyata halafu leo amekufa ndio mnatumia Mikutano ya hadhara kumsimanga, kumkejeli na kumtukana Popote duniani silaha kuu ya Chama cha Siasa ni Ujasiri siyo Uoga, Umbuni na Unguchiro Mnasema ilikuwa miaka 7 ya Giza ninyi...
Back
Top Bottom