vyakula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Vyakula vya Kibongo.. Bara na Pwani .... Makabila yote, mapishi yote

    Inafanana na ule uzi wa vyakula ila ule ni worldwide.. Hapa kwa asilimia 100 ni vyakula tupikavyo na tulavyo kila siku Huku hakuna chopstick, hakuna kuku kwa mrija ama kula na mikono miwili yaani visu na uma😂 TAHADHARI: KAMA UNA NJAA NA UKO MBALI NA SEHEMU YA KULA USIFUNGUE HUU UZI Nb: Makande...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Patandi maalum shule ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu wasiopatiwa lishe stahiki. Wanakula vyakula visivyoendana na afya zao serikali iimulike!!

    Shule hii ilijengwa ama ilianzishwa na rais john pombe magufuli ! Ni shule iliyobeba wanafunzi wenye ulemavu mchanganyiko ! Ukipata bahati ya kuitembelea unaweza kuangua kilio kulingana na Hali ya wanafunzi ilivyo ! Wako wasio sikia viziwi)wasioona vipofu) walemavu wa viungo wanaotembea kwa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MOI: Mkitembelea Wagonjwa waleteeni Vyakula vya kuongeza damu ili kukabiliana na upungufu wa damu mwilini

    Ndugu wa wagonjwa wenye wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshauriwa wanapowatembelea wagonjwa wao kuwapelekea vyakula vyenye kuongeza damu kutokana na mahitaji makubwa ya damu ili kukabiliana na upungufu wa damu mwilini...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Makabila na Vyakula

    Haya ndio makabila na vyakula vyao pendwa 1.Mpare -makande 2.Msukuma-Ugali 3.Mhaya-Ndizi 4.Mnyakyusa-Parachichi 5.Mmatumbi-Wali 6.Mluguru-Mlenda 7.Mchaga-Kitimoto 8.Mmakonde-Ming'oko 9.Wazenji-Chapati,maandazi plus Urojo Ongezeeni makabila mengine hapo chini
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wanaochanganya Damu mbichi ya n'gombe kwenye vyakula vya kuku wana nia ya kutufarakanisha na Mungu

    Salaam, shalom! Baada ya Mungu kuruhusu mtu kula nyama, alimkataza Kula Damu ya mnyama. Yaani ukichinja myama au ndege, Damu yake hupasi kuitumia Kwa matumizi ya chakula, ni machukizo maana ndani ya Damu ya m yama, mna uhai. ( Mwanzo 9:4). Sasa Kwa kuwa shetani ni baba wa Hila, baada ya kuona...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka na Watu wa Afya ya Mazingira mpo wapi kusimamia Soko la Vyakula Ilala Boma jijini Dar?

    Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko. Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia? Kipindupindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia.
  7. mgagani2014

    JamiiForums Tanzania Vyakula gani sipaswi kula endapo nina tatizo la acid reflux?

    Pia naomba kuuliza. Parachichi Apple Ndizi mbivu Wali Ugali Nyama Maziwa mtindi Maziwa fresh(boxed like asas and first choice) Wine. Mayai ya kukaanga au kuchemsha Vitu gani Kati ya hivi sipaswi kutumia kabisa? Maana nasumbuliwa na acid reflux na tumba kujaa ges. MWENYE UFAHAMU NAOMBA ANIJUZE...
  8. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Natafuta vyakula vifuatavyo

    Habari wapendwa, Natumaini mnaendelea vyema. Natafuta vyakula vifuatavyo. Kwa anayefahamu, nishtue PA kuzinunua. Carob powder (mbadala wa cocoa, Hainan cocaine) Spelt wheat/stone ground wheat flour. (Ngano pori ambayo haijachakachuliwa) Pistachios Brazil nuts Chestnuts Macadamia Pine sap...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vyakula vipi vyenye potassium kwa wingi?

    Habar wakuu nivyakula vipi vyenye potassium kwa wingi
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024. Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa vyakula vya mifugo umeongezeka kwa kiasi kikubwa Tanzania chini ya serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024. Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji ya...
  12. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Hivi tunalima nini? na kwa ajili ya nani?Hawa foreigners wetu umeachia wakulima wa kigeni wawalishe vyakula?

    Loe nilipita Super Market ya Village Supermarket kununua maji tu ila nikazunguka zunguka hasa sehemu za vyakula, huwa mara nyingi nafanya hivyo. Kuna vitu vinasgangaza sana Bongo hii, Pale kwenye vegitable na fruits nilikutana na products asilimia 98 ni imported sana kutoka Kenya labda na...
  13. Brojust

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unatakiwa ule nini ili utoe shahawa za twins au triplets, Je, kisayansi vyakula gani pia mwanamke inabidi ale

    Kuna mfanyakazi wa azam amezaa mapacha wanne. Madaktari na wanasaikolojia, Mimi na wana jamiiforum wenzangu tumesubscribe uzi na tuna popcorn tayari kusikiliza majibu.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Vyakula wakipika wanawake kwenye shughuli mara nyingi huwa haviivi kuliko wakipika wanaume sijui watatizo gani hawa ndugu zetu

    Zunguka kote! Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume! Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua mchele, kumenya viazi, vitunguu wanamenya, tena kilo zikiwa nyingi huwa wanagawana masufulia ili...
  15. GRACE PRODUCTS

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya Asili Vinavyoweza Kusaidia Ngozi Yako Kuwa na Afya na Kuependeza

    Je, unajua kwamba vyakula tunavyokula vinaweza kuchangia moja kwa moja katika muonekano wa ngozi zetu? Vyakula vya asili vina virutubisho muhimu vinavyosaidia mwili kupambana na magonjwa na pia kuimarisha afya ya ngozi. Sehemu kubwa ya miili yetu ni ngozi, ambayo ina jukumu kubwa la kuukinga na...
  16. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya kuboresha sehemu za Siri za mwanamke na kuongeza ubora WA tendo la ndoa

    Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini. Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mama mjamzito kubagua vyakula?

    Huyu dada tangu amepata ujauzito wangu, amekuwa ni mtu wa kubagua vyakula; hataki kula mchicha, chainizi, tembele, bamia, nyanya chungu, yaani mboga za kuota shambani hataki. Yeye anataka kitimoto, nyama ya mbuzi, kuku, samaki sato; kwa ujumla anataka kula vizuri vizuri tu, mbaya zaidi anataka...
  18. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Tourism Value chain upande wa Vyakula kuna shida sana Tanzania

    Sekita ya Utalii ni kubwa sana na ni pana sana, ina chain ndefu sana nitataja chache tu; 1. Mawakala wa utalii hawa wako huko ulaya 2. Wasafiridha watalii, kuja Tanzania, hapa kuna ndge 3. Waongoza Watalii hawa ni makampuni ya kupeleka watalii porini na gari. 4. Maduka ya vinyago 5.Wamiliki wa...
  19. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Machimbo ya sehemu za kuchill pale posta, Vyakula na Vinywaji ni vya bei nafuu

    Nina jambo langu hapo Posta mpya naomba mtu mwenye kuyajua machimbo anipe area code. Asanteni
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Taja vyakula ambavyo ukivila kabla au baada ya kunywa pombe lazima utapike na ambavyo hutatapika

    Naanza Wali utatapika Ugali maini hutapiki Kitimoto hutapiki Mahindi ya kuchoma utatapika
Back
Top Bottom