Serikali iwe makini; misaada ya vyakula Marekani si salama

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,447
24,480
Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo.

Marekani kwa muda mrefu sana ina kituo cha kijeshi Congo, na huko ndio lichukua Uranium iliyotengeneza bomu a kwanza la nyuklia. Congo kuna machafuko miaka nenda rudi, lakini Marekani hitaki Congo ipate amani ili iendelee kuvuna madini ghafi. Hapa nchini tunaelekea huko huko, tuwe macho.

Leo Marekani wanatuletea vyakula, kwa ajili ya watoto, huku tukijua kuwa wana ajenda ya Africa Depopulation.
Vile vile tunasikia kuwa wana programme za kupunguza uzazi kwa kiujumla nchi za Afrika.

Hapo ndio namsupport Magufuli, serikali isipuuze hizi habari kuwa policy ya Depopulation kwa nchi za Afrika ni jaribio la kulifanya bara hili kuwa sehemu ya nchi kama Marekani kuvuna tu malighafi.

Wametuletea chakula Dodoma kwa ajili ya watoto, tuwe makini sana. Watatupendaje, hasa watoto, kuliko kuwaondolea adha waKongo? Kuna ka nchi kanaitwa Haiti, si mbali na Marekani.

Watu wana chinjana hapo Haiti, lakini kwa vile kunakampuni za marekani zinavuna madini bure kabisa, watu wanaachwa wachinjane.

Hiyo ndo Marekani.

ADDENDUM

China CCTV finally admitted it! Cancer is increasing because...

The GMO grown food is shocking!
Every Chinese person should have the right to know.

The truth is finally out.

Large-scale tumor outbreaks are related to genetically modified foods!

This is a decisive change: Everyone must read carefully when going to the supermarket:
Barcodes starting with "8" are genetically modified products!

No matter how much experts advocate that genetically modified foods are harmless, we must remember the following ten points:
1. Americans don’t eat it.
2. The EU absolutely prohibits it.
3. The system of specially providing such food for Chinese officials is strictly prohibited.
4. GMO grown foods are strictly prohibited at the World Expo.
5. They are also strictly prohibited in the Asian Games
6. Africans will not import GMOs even if they starve to death.
7. They are strictly prohibited in the Universities.
8. Russia confirmed that genetically modified food has caused the extinction of animals for three generation.
9. They are prohibited in Kindergartens of the Ministry of Agriculture.
10. They are prohibited in the canteen of the Ministry of Finance.

"Read labels clearly when buying imported fruits:
5-digit codes starting with 8 are genetically modified products. Do not buy them."
The labels on imported fruits are called PLU codes. The four-digit codes used generally start with "3" and "4", indicates that the crop is grown using traditional methods;
if it is five digits and begins with "9", it is organic;
if it begins with "8", it is genetically modified.
Please note that for your own good you have to educate yourself on food hygiene knowledge and do not rely on the government or enterprises!

I never ask others to forward anything, but for this article, I ask everyone to forward it, and forward it quickly!
Show it to your family and friends. One more person will see it and one less person will be harmed.

This relay of love should not be delayed in your hands!🥺🥺🥺
 
Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo.

Marekani kwa muda mrefu sana ina kituo cha kijeshi Congo, na huko ndio lichukua Uranium iliyotengeneza bomu a kwanza la nyuklia. Congo kuna machafuko miaka nenda rudi, lakini Marekani hitaki Congo ipate amani ili iendelee kuvuna madini ghafi. Hapa nchini tunaelekea hukko huko, tuwe macho.

Leo Marekani wanatuletea vyakula, kwa ajili ya watoto, huku tukijua kuwa wana ajenda ya Africa Depopulation.
Vile vile tunasikia kuwa wana programme za kupunguza uzai kwa kiujumla nchi za Afrika.

Hapo ndio namsupport Magufuli, serikali isipuuze hizi habari kuwa policy ya Depopulation kwa nchi za Afrika ni jaribio la kulifanya bara hili kuwa sehemu ya nchi kama Marekani kuvuna tu malighafi.

Wametuletea chakula Dodoma kwa ajili ya watoto, tuwe makini sana. Watatupendaje, hasa watoto, kuliko kuwaondolea adha waKongo? Kuna ka nchi kanaitwa Haiti, si mbali na Marekani.

Watu wana chinjana hapo, lakini kwa vile kunakampuni za marekani zinavuna madini bure kabisa, wayu wanaachwa wachinjane. Hiyo ndo Marekani.
Vipi misaada ya kujengewa vyoo ni salama? Vipi Vyandarua? vipi Chanjo? Hii nchi ina raia wajinga hadi aibu,SIkiliza wewe mjinga, Marekani wakitaka kuwauwa wana njia zaidi ya hata million, Kila unacho tumia hapo ni cha kwao, Tutafute elimu, tuachane na elimu za vijiwe vya kahawa
 
CCM ni Chanzo Cha Matatizo
 
Kwakwel tanzania inawatu wajinga sana,madawa na chanjo pia hatungenezi ivi wangeamua kutuuua wangeshindwa wap???,kwakwel taifa hili bado lipo kwenye janga la ujinga
 
We mleta mada unaongea hayo Huku mkeo anadhibiti uzazi kwa msaada wa wamarekani..wanao wamechanjwa na wewe umechanjwa tangu mdogo na hujawa shoga... Mashiga huko mtaani yanasababishwa na malezi bwana.. siku hizi familia zimegeukia tamaduni za wageni na kusahau kulea watoto katika maafili yetu waafrika...

Inakataa Michele lakini unaenda pizza hut na KFC, unajua bidhaa zao zinatoka wapi zile?? Acheni aibu watanzania... Michele hauna shida yoyote
 
Vipi misaada ya kujengewa vyoo ni salama? Vipi Vyandarua? vipi Chanjo? Hii nchi ina raia wajinga hadi aibu,SIkiliza wewe mjinga, Marekani wakitaka kuwauwa wana njia zaidi ya hata million, Kila unacho tumia hapo ni cha kwao, Tutafute elimu, tuachane na elimu za vijiwe vya kahawa
Kwakweli bado tupo mbali sana ! 😅😅
 
Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo.

Marekani kwa muda mrefu sana ina kituo cha kijeshi Congo, na huko ndio lichukua Uranium iliyotengeneza bomu a kwanza la nyuklia. Congo kuna machafuko miaka nenda rudi, lakini Marekani hitaki Congo ipate amani ili iendelee kuvuna madini ghafi. Hapa nchini tunaelekea hukko huko, tuwe macho.

Leo Marekani wanatuletea vyakula, kwa ajili ya watoto, huku tukijua kuwa wana ajenda ya Africa Depopulation.
Vile vile tunasikia kuwa wana programme za kupunguza uzai kwa kiujumla nchi za Afrika.

Hapo ndio namsupport Magufuli, serikali isipuuze hizi habari kuwa policy ya Depopulation kwa nchi za Afrika ni jaribio la kulifanya bara hili kuwa sehemu ya nchi kama Marekani kuvuna tu malighafi.

Wametuletea chakula Dodoma kwa ajili ya watoto, tuwe makini sana. Watatupendaje, hasa watoto, kuliko kuwaondolea adha waKongo? Kuna ka nchi kanaitwa Haiti, si mbali na Marekani.

Watu wana chinjana hapo, lakini kwa vile kunakampuni za marekani zinavuna madini bure kabisa, wayu wanaachwa wachinjane. Hiyo ndo Marekani.
Msaada wa fedha nao si salama?.
 
Doesn’t add up mchele wenyewe by nature una ‘starch’ source muhimu ya kuupa mwili nguvu.

Sasa wao wameenda kuongeza kirutubisho gani tena kwenye huo mchele hapo ndio sintofahamu ilipo.

Wapeleke Sudan, Palestine, Ukraine na Haiti watakuwa wanamahitaji ya chakula zaidi kuliko Tanzania.
 
Vipi misaada ya kujengewa vyoo ni salama? Vipi Vyandarua? vipi Chanjo? Hii nchi ina raia wajinga hadi aibu,SIkiliza wewe mjinga, Marekani wakitaka kuwauwa wana njia zaidi ya hata million, Kila unacho tumia hapo ni cha kwao, Tutafute elimu, tuachane na elimu za vijiwe vya kahawa
Misaada yote siyo mizuri, lakini hii ambayo ipo direct hivi inawalakini zaidi
 
Back
Top Bottom