vyakula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kufurahia pombe za bure na vyakula vya bure ni ishara ya umasikini mbaya

    Ukiona mtu mzima hasa kijana anafurahia au anasifia kunywa pombe na kula nyama za bure au vyakula vingine vya bure kwenye msiba, harusi au tukio la aina nyingine yoyote basi ujue ni masikini sana wa kipato au fikra. Hii tabia wanayo sana vijana wa Kaskazini.
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sina tabia ya kuchagua vitu (vyakula) sokoni vilivyo bora

    Kuna watu hela yao wanaichungulia Sana mtu anaenda sokoni kununua vitu ila anashika shika Sana Mimi sinaga pigo hizo yaani nachoamini vitu vyote kavileta Mungu na kila kitu NI chema na kila mtu anastahili riziki hiyo hiyo so hata nikiwa nanunua mihogo me namwambia Tu niwekee yoyote.unawazaje...
  3. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini vyakula vya Africa havisambai duniani au kupendwa kwenye mabara mengine?

    Waafrika wanapenda na wanaona ufahari sana kula Mikate, Soseji, tambi, Sambusa, Pizza, Wali, biriani, Chips, crips, Shawarma na vyakula vingine vingi kutoka sehemu mbalimbali za dunia ila huko kwingine duniani hawana muda na ugali, githeri, jollof, fufu, injera, chips mayai na vyakula vingine...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha watoto kupenda katuni, games na vyakula visivyo na afya

    WATOTO WA KISASA Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na anacheza. Kwenye vyakula wengi wanaopenda vyakula fekifeki, lakini vile vya afya hawapendi. Ice...
  6. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Ugali dagaa: Moja ya vyakula vyangu pendwa kabisa

    Kwangu ugali dagaa ni full burudani
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ugali ni chakula adimu katika sherehe, sababu ni nini?

    Ugali ni chakula tunachokula kila siku, iwe ugali wa mahindi, wa mihogo, mtama au uwezo. Hiki ni chakula tunachokimudu watu wengi, hata ukikosa mboga nyanya, kitunguu, ndimu, pilipili na chumvi kidogo vitakusaidia kumaliza portion ya ugali. Chakula kinacholiwa na wengi kuadimika katika sherehe...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vyakula hatarishi kwa mtu mwenye acid reflux

    Baadhi ya vyakula hulegeza misuli ya LES (Lower Esophageal Sphincter) hivyo husababisha kuruhusu asidi ya tumbo kurudi juu. Pia huchelewesha mmeng’enyo wa chakula, hivyo chakula hubaki tumboni kwa muda mrefu zaidi. Kwa mwenye changamoto ya acid reflux inamlazimu ache kutumia vyakula hivyo...
  9. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania FAHAMU VYAKULA VITANO UKILA VINAONGEZA HAMU YA TENDO (Testosterone, Estrogen hormones booster).

    Habari zenu wapendwa, Naomba niwape Siri hii "fahamu vyakula ambayo ukivila vitakuongezea uzalishwaji wa testosterone hormone, estrogen levels na kuwa catalyst ya uzalishwaji wa hormones nyingine za uzazi kwa wanaume na wanawake. Hivyo kuwe kuondoa uwezekano wa upungufu wa nguvu wanazoziita za...
  10. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi mnaokulaga mikate usiku au vyakula vilaini laini vya aina hiyo,huwa mnawezaje kupata usingizi?

    Wakuu habari za usiku? Aisee jana hali yangu kiuchumi haikua nzuri,nikaona ngoja ninunue mkate nile nilale,mkate nimeula saa 3 usiku,ila hivi sasa ni saa 9 usiku usingizi umekata kabisa nimeamka kukoroga hata uji ninywe maana sio kwa njaa hii ninayoisikia aisee. Hivi nyie wenzetu hasa wa hapo...
  11. Jameson-journalist

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa sheria na kanuni za virutubishi katika vyakula na madini

    Naibu Waziri Wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amezindua sheria na kanuni za urutubishaji wa chakula ya mwaka 2024 ambao umefanyika katika ukumbi wa chandamali manispaa ya songea. Katika uzinduzi huo umelenga kuongeza virutubisho muhimu kwa kuimarisha afya na kupunguza...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je tunafahamu watoto wetu wanakula vyakula gani mashuleni?

    Disclaimer: Uzi huu ni mawazo ya mwandishi pekee na wala hauna nia ya kuharibu biashara yoyote ya mtu bali kuelezea jamii kuhusu hatari ya kemikali katika vyakula Katika pitapita zangu nilikwenda kumpa hai rafiki yangu maeneo fulani hapa mjini, nilipata mwaliko wa sikukuu ya Idd hivyo niliona...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakiristo hawajui kupika vyakula vitamu?

    Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme Wanapenda 1. Vileja vya tambi 2. Keki 3. Katie's Nk...
  14. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyakati za mifungo ya kiroho na kiimani, mfumuko wa bei za vyakula hutuumiza?

    Kadiri tunavyokabidhi nafsi zetu kwa Mungu, ndivyo tunavyojifungua kutoka kwa vifungo vya ubinafsi na kuanza kuona ulimwengu kwa macho ya huruma na upendo. Wakati roho zetu zinapojisalimisha kwa neema ya Mungu, mioyo yetu inajawa na uchungu wa kweli, uchungu unaotokana na kuona mateso na...
  15. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Vyakula vinavyokuza mwili, akili, na kiroho vina uwezo wa kuboresha hali ya afya kwa ujumla, kuongeza nguvu za ubongo, na kukuza hali ya kiroho. Hapa

    1. Vyakula vya Kuimarisha Mwili Matunda na mboga mboga: Spinachi, broccoli, karoti, parachichi, na berries (blueberries, strawberries). Protini za afya: Maharagwe, choroko, samaki wenye mafuta kama salmoni, na karanga. Vyakula vya nafaka nzima: Uji wa shayiri, quinoa, na mchele wa kahawia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kila nkifanya ubunifu mshindani wangu anaiga ,wote tuko na aina moja ya biashara vinywaji na vyakula

    Habar wakuu leteni uzoefu wenu,Niko katika biashara ya vinywaji na chakula kwamiaka Sasa ,mshidani wangu yuko mita50 tuko ofisi yangu, Sasa Kila nkifanya ubunifu wakibiashara basi ataiga,nkiigiza product mpya sokoni basi nae ataiga na ataipunguza Bei Nini chakufanya biashara imekua pasua kichwa...
  17. Isenye

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa vyakula wa mkoa wa Mbeya faida wanazipataje?

    Niko mkoa wa mbeya hasa shughuli zangu zilizonileta nazifanyia mbeya mjini na Tukuyu. Hizi bei ndogo za vyakula wanazouza zimenifanya nijiulize hawa watu faida wnazipataje. Mfano Kande la mahindi mabichi na maharage wanauza sh 500,wakati dar mara ya mwisho kula kande niliuziwa 2,000/= Wali...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Biashara ya vyakula vya mifugo

    Wadau mimi ni rai wa tanzania. Naishi ktk mkoa mmoja miongoni mwa mikoa ya tanzania Lengo la kuja katika jukwa hili nikutaka kuomba ushauri maana naamini humu kuna wadau wengi wenye dondo ktk maswala ya biashara. Nina miliki usafiri aina tajwa hapo juu lkn naona km mambo hayaendi kivile nilitaka...
  19. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Waislam, Ramadan/Ramadhan Imekaribia , Kisiwe Kikwazo Kwa Dini Nyingine Hasa Masuala Ya Ulaji Na Mfumo Wa Maisha .

    Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga. . Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Vyakula vya Kibongo.. Bara na Pwani .... Makabila yote, mapishi yote

    Inafanana na ule uzi wa vyakula ila ule ni worldwide.. Hapa kwa asilimia 100 ni vyakula tupikavyo na tulavyo kila siku Huku hakuna chopstick, hakuna kuku kwa mrija ama kula na mikono miwili yaani visu na uma😂 TAHADHARI: KAMA UNA NJAA NA UKO MBALI NA SEHEMU YA KULA USIFUNGUE HUU UZI Nb: Makande...
Back
Top Bottom