Urusi ilipozuia nafaka kelele zilikuwa kubwa.Israel imezuia vyakula vyote na maji wanaolia ni watu wa Gaza peke yao

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,913
Unafiki wa dunia umefikia kiwango cha juu kiasi kwamba ni wachache sana wanaoumia wenzao wanapopata shida.

Urusi ilipotishia kuzuia nafaka zisitoke Ukraine Ulaya nzima walipiga makelele wakiilaani Urusi kutumia chakula kama silaha ya vita.Urusi ikasikia na wakaachia meli ziondoke na nafaka.

Ulaya iliyolia kilio hicho si kwamba ni jangwa na nafaka zisipofika kutoka Urusi kutakuwa na upungufu tu wa vyakula wavipendavyo.Wanaweza wakala vyakula vyengine na wasife njaa.

Upande wa Gaza ni tofauti.Israel imezuia kabisa kisiingie maeneo ya kaskazini ya gaza.Kuna watu wanazuia kila gari likijaribu kuvuka mpaka kuingia Gaza wakijua kuwa Gaza hakuna kilimo cha maana cha kulisha watu ambao hata kulima nako hawajapata nafasi kujishughulisha.

Kinyume na kupiga kelele kutetea,katika hali hiyo kuna watu wanashangilia kabisa chakula kutopelekwa Gaza.Huo ni ukatili wa hali ya juu.

Tofauti na Urusi ambayo ilipata huruma na kuachia ngano ziendelee kufika Ulaya.Israel yeye kila siku ndio anakaza kamba gari zisikatishe kufika maeneo yenye ukame.

Watu walioanza kurudi makwao kaskazini ya Gaza wamechagua tena hata kufa kwa risasi warudi kusini karibu na mpaka wa Misri ili wasife kwa njaa kaskazini ambako hali ni mbaya sana
1709186800176.png
 
Bila unafiki hutoboi. Hata enzi za Yesu alikemea sana dhambi ya unafiki. Putin ana case the Hague. Netanyahu kitu hichohicho yupo huru. Viongozi wa Africa wakitaka mkopo sharti ushoga Uruhusiwe, mikopo hiyo hiyo nchi tajiri wanapewa bila hayo masharti. Dunia imejaa unafiki wa Kutisha
 
Unafiki wa dunia umefikia kiwango cha juu kiasi kwamba ni wachache sana wanaoumia wenzao wanapopata shida.

Urusi ilipotishia kuzuia nafaka zisitoke Ukraine Ulaya nzima walipiga makelele wakiilaani Urusi kutumia chakula kama silaha ya vita.Urusi ikasikia na wakaachia meli ziondoke na nafaka.

Ulaya iliyolia kilio hicho si kwamba ni jangwa na nafaka zisipofika kutoka Urusi kutakuwa na upungufu tu wa vyakula wavipendavyo.Wanaweza wakala vyakula vyengine na wasife njaa.

Upande wa Gaza ni tofauti.Israel imezuia kabisa kisiingie maeneo ya kaskazini ya gaza.Kuna watu wanazuia kila gari likijaribu kuvuka mpaka kuingia Gaza wakijua kuwa Gaza hakuna kilimo cha maana cha kulisha watu ambao hata kulima nako hawajapata nafasi kujishughulisha.

Kinyume na kupiga kelele kutetea,katika hali hiyo kuna watu wanashangilia kabisa chakula kutopelekwa Gaza.Huo ni ukatili wa hali ya juu.

Tofauti na Urusi ambayo ilipata huruma na kuachia ngano ziendelee kufika Ulaya.Israel yeye kila siku ndio anakaza kamba gari zisikatishe kufika maeneo yenye ukame.

Watu walioanza kurudi makwao kaskazini ya Gaza wamechagua tena hata kufa kwa risasi warudi kusini karibu na mpaka wa Misri ili wasife kwa njaa kaskazini ambako hali ni mbaya sana
Unapoteza muda mwingi maskini kuandika makala ambazo hata Israel na Ulimwengu wenye maamuzi hawazisomi.Katika hili ndugu zako katika Imaan walili find acha tu liwapate.Hakuna kitu tunaweza fanya!
 
TULIA DAWA IWAINGIE MAGAIDI
Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiirrrrrrr
Sio Palestina wote ni magaidi

Kuna wanaoumia kama watoto na wanawake na wazee pia.

Sio waislamu wote ni magaidi ila magaidi wote ni waislamu

Piga magaidi usiue raia kwa njaa
 
To
Unafiki wa dunia umefikia kiwango cha juu kiasi kwamba ni wachache sana wanaoumia wenzao wanapopata shida.

Urusi ilipotishia kuzuia nafaka zisitoke Ukraine Ulaya nzima walipiga makelele wakiilaani Urusi kutumia chakula kama silaha ya vita.Urusi ikasikia na wakaachia meli ziondoke na nafaka.

Ulaya iliyolia kilio hicho si kwamba ni jangwa na nafaka zisipofika kutoka Urusi kutakuwa na upungufu tu wa vyakula wavipendavyo.Wanaweza wakala vyakula vyengine na wasife njaa.

Upande wa Gaza ni tofauti.Israel imezuia kabisa kisiingie maeneo ya kaskazini ya gaza.Kuna watu wanazuia kila gari likijaribu kuvuka mpaka kuingia Gaza wakijua kuwa Gaza hakuna kilimo cha maana cha kulisha watu ambao hata kulima nako hawajapata nafasi kujishughulisha.

Kinyume na kupiga kelele kutetea,katika hali hiyo kuna watu wanashangilia kabisa chakula kutopelekwa Gaza.Huo ni ukatili wa hali ya juu.

Tofauti na Urusi ambayo ilipata huruma na kuachia ngano ziendelee kufika Ulaya.Israel yeye kila siku ndio anakaza kamba gari zisikatishe kufika maeneo yenye ukame.

Watu walioanza kurudi makwao kaskazini ya Gaza wamechagua tena hata kufa kwa risasi warudi kusini karibu na mpaka wa Misri ili wasife kwa njaa kaskazini ambako hali ni mbaya sana
Tofautisha aliyevamia na aliyevamiwa wewe. Watu waliomba vita wacha wapewe vita kelele za nini.
 
Tofauti ya Urusi na Israel ni kubwa... Israel amezuia Maji yake umeme wake na chakula chake alichokuwa akiwapa magaidi bure.. Urusi amezuia mali from Ukraine kupita karibu yake.. na si mali zake.. Muslim you have to change to use logic yaani sababu Quran na Mudy hawakuwa na logic na nyie mmemezwa humo humo hamtumii Logic
 
Unapoteza muda mwingi maskini kuandika makala ambazo hata Israel na Ulimwengu wenye maamuzi hawazisomi.Katika hili ndugu zako katika Imaan walili find acha tu liwapate.Hakuna kitu tunaweza fanya!
Hujaiona mantiki ya kuandika .Subiri utafahamu kidogo kidogo siku Israel ikidondoka mbele ya macho yenu.
Mumetabiri mengi kuhusu Israel kwa kuangalia wingi na ukali wa silaha.
ukiondoa kuua na kuharibu majengo hakuna ushindi na tunakoelekea ni kushindwa kabisa.Kama si mwaka huu basi si mbali sana.
Tunapotaja madhila ya wapalestina tunataka muone na baadae mfahamu kinachofuata.
Mpaka sasa wanaopigana na mbabe mkubwa wa mashariki ya kati na yule wa dunia ni watu maskini tu na waliofungwa mikono huku wakipigwa na majirani zao wakioangalia bila kutoa msaada.
Maskini ni Yemen,Hezbollah na Hamas na itashangaza kuwa wao ndio watakaoangusha wababe wawili wa dunia.
 
Unafiki wa dunia umefikia kiwango cha juu kiasi kwamba ni wachache sana wanaoumia wenzao wanapopata shida.

Urusi ilipotishia kuzuia nafaka zisitoke Ukraine Ulaya nzima walipiga makelele wakiilaani Urusi kutumia chakula kama silaha ya vita.Urusi ikasikia na wakaachia meli ziondoke na nafaka.

Ulaya iliyolia kilio hicho si kwamba ni jangwa na nafaka zisipofika kutoka Urusi kutakuwa na upungufu tu wa vyakula wavipendavyo.Wanaweza wakala vyakula vyengine na wasife njaa.

Upande wa Gaza ni tofauti.Israel imezuia kabisa kisiingie maeneo ya kaskazini ya gaza.Kuna watu wanazuia kila gari likijaribu kuvuka mpaka kuingia Gaza wakijua kuwa Gaza hakuna kilimo cha maana cha kulisha watu ambao hata kulima nako hawajapata nafasi kujishughulisha.

Kinyume na kupiga kelele kutetea,katika hali hiyo kuna watu wanashangilia kabisa chakula kutopelekwa Gaza.Huo ni ukatili wa hali ya juu.

Tofauti na Urusi ambayo ilipata huruma na kuachia ngano ziendelee kufika Ulaya.Israel yeye kila siku ndio anakaza kamba gari zisikatishe kufika maeneo yenye ukame.

Watu walioanza kurudi makwao kaskazini ya Gaza wamechagua tena hata kufa kwa risasi warudi kusini karibu na mpaka wa Misri ili wasife kwa njaa kaskazini ambako hali ni mbaya sana
Vita ya Gaza imeonesha unafiki Mkubwa kwa mataifa ya Magharibi
 
Hujaiona mantiki ya kuandika .Subiri utafahamu kidogo kidogo siku Israel ikidondoka mbele ya macho yenu.
Mumetabiri mengi kuhusu Israel kwa kuangalia wingi na ukali wa silaha.
ukiondoa kuua na kuharibu majengo hakuna ushindi na tunakoelekea ni kushindwa kabisa.Kama si mwaka huu basi si mbali sana.
Tunapotaja madhila ya wapalestina tunataka muone na baadae mfahamu kinachofuata.
Mpaka sasa wanaopigana na mbabe mkubwa wa mashariki ya kati na yule wa dunia ni watu maskini tu na waliofungwa mikono huku wakipigwa na majirani zao wakioangalia bila kutoa msaada.
Maskini ni Yemen,Hezbollah na Hamas na itashangaza kuwa wao ndio watakaoangusha wababe wawili wa dunia.
Kwa maumivu wanayopitia Raia wa Palestine wasio na hatia

Kama Hamas wanampango au watashambulia na kuua Raia wa Israel huko mbeleni baada ya huu mzozo kumalizika basi itakua ni muda muafa wa kuwafuta wote bila kujali who is who kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi eliminate their ideology.
 
Hujaiona mantiki ya kuandika .Subiri utafahamu kidogo kidogo siku Israel ikidondoka mbele ya macho yenu.
Mumetabiri mengi kuhusu Israel kwa kuangalia wingi na ukali wa silaha.
ukiondoa kuua na kuharibu majengo hakuna ushindi na tunakoelekea ni kushindwa kabisa.Kama si mwaka huu basi si mbali sana.
Tunapotaja madhila ya wapalestina tunataka muone na baadae mfahamu kinachofuata.
Mpaka sasa wanaopigana na mbabe mkubwa wa mashariki ya kati na yule wa dunia ni watu maskini tu na waliofungwa mikono huku wakipigwa na majirani zao wakioangalia bila kutoa msaada.
Maskini ni Yemen,Hezbollah na Hamas na itashangaza kuwa wao ndio watakaoangusha wababe wawili wa dunia.
Endelea kuota
 
Ndoto za alinacha za waislamu na waarabu......kisa mungu wa kiarabu allah anawahimiza wawaue wayahudi
 
Hujaiona mantiki ya kuandika .Subiri utafahamu kidogo kidogo siku Israel ikidondoka mbele ya macho yenu.
Mumetabiri mengi kuhusu Israel kwa kuangalia wingi na ukali wa silaha.
ukiondoa kuua na kuharibu majengo hakuna ushindi na tunakoelekea ni kushindwa kabisa.Kama si mwaka huu basi si mbali sana.
Tunapotaja madhila ya wapalestina tunataka muone na baadae mfahamu kinachofuata.
Mpaka sasa wanaopigana na mbabe mkubwa wa mashariki ya kati na yule wa dunia ni watu maskini tu na waliofungwa mikono huku wakipigwa na majirani zao wakioangalia bila kutoa msaada.
Maskini ni Yemen,Hezbollah na Hamas na itashangaza kuwa wao ndio watakaoangusha wababe wawili wa dunia.
Waislamu wa itikadi hizi bhana 😂🤣🤣🤣na akili za kikoloni walizorithishwa na wqaarabu wa saudia 🤣🤣🤣...
Wewe si ulisema IDF mashoga wanaogopa kuingia gaza..........na October 07 ulikua unashangilia?????
Wewe na Faiza foxy
 
Mayahudi na yenyewe ni majitu makatili na yenye roho mbaya sana kama hao maadui zao Hamas.
Israeli ni ziraili,mlikua hamjui hili?
Hawa watu wana makovu tokea world war 1-2.
Sasa wamechokozwa mnataka watulie tu.
Angalia documentary "Escape from Sobibor".
Ndio utajua kwanini wana roho Mbaya.
 
Back
Top Bottom