Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
League hii kwa hapa Tanzania inawalishwa na simba. Tunaitakia Simba mafanikio mema.
Huwezi kuelewesha misukule na ikakuelewa.Ungewaelewesha wale malalamiko aka Utopolo aka Gogo Fc kwa nini Simba queen ndio anashiriki.... hawachelewi kusema TFF inapendelea Simba