asante nitaijaribuUrban VPN
duuu! Mkuu kuwakwepa Google shughuli wanaweza wakakusoma hata ukiwa offline sembuse VPN labda ubadilishe ip addressKuna spradsheets za google nazijaza zinahusiana na wasanii wa Africa. Sasa ninahitaji kuaccess their spotify pages naambiwa not available in your country. Kama kuna VPN extension nzuri naomba mtu anisaidie ili niweze kuaccess hizo pages zao.
nataka tu kupata links za spotify nijaze spreadsheet ya jamaa nimtumie kwisha kazduuu! Mkuu kuwakwepa Google shughuli wanaweza wakakusoma hata ukiwa offline sembuse VPN labda ubadilishe ip address
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us