Tumieni VPN kama internet iko slow sana

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,791
2,000
Jiwe anazidi kupoteza kura TWITER HAIFUNGUKI.

SELIKALI ILIPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA VPN.

MIMI NIIONA NI SELIKALI YA KISHETANI SASA NATUMIA UFO VPN INADOWNLOAD HADI DAMU.

TUMIENI UFO VPN.
JIWE LIKOME
Usiwadanganye watz wasiojua mawasiliano hakuna huduma ya ufo vpn free Africa labda baadhi ya nchi za ulaya huko. Vikosi vya ulinzi na usalama viko alert kwa lolote na lazima vione viashiria vya kuleta vurugu Bado mapema na baadhi mitandao ya kijamii huwa ndiyo chanzo

Kila mmoja atimize wajibu wake wewe nenda kapige kura na wacha vikosi vya usalama vifanye kazi zake mpaka kuapishwa kwa Rais Mteule hapo November
 
kandamatope

JF-Expert Member
May 19, 2018
569
1,000
Mmetangaza vita wenyewe atutaki mje mnalia lia hapa
Mwisho wa uchaguzi tutahesabu waliokufa kwa kupigwa na mawe wangapi?
Na waliokufa kwa risasi wangapi?
Kisha sisi wapenda amani tusio na vyama
Tunasubiri matamko ya kulaani mauaji
Na yule farasi wa wana siasa ( karai
Atakuwa tumemeshampanda tuta
Mgombea na familia yake watakuwa sebuleni wanakutazama kwenye Tv ukichezea kipondo cha paka mwizi
 
Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
7,491
2,000
Jiwe anazidi kupoteza kura TWITER HAIFUNGUKI.

SELIKALI ILIPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA VPN.

MIMI NIIONA NI SELIKALI YA KISHETANI SASA NATUMIA UFO VPN INADOWNLOAD HADI DAMU.

TUMIENI UFO VPN.
JIWE LIKOME
Hata na yenyewe kimeo tu, tcra wamejipanga
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,464
2,000
Usiwadanganye watz wasiojua mawasiliano hakuna huduma ya ufo vpn free Africa labda baadhi ya nchi za ulaya huko. Vikosi vya ulinzi na usalama viko alert kwa lolote na lazima vione viashiria vya kuleta vurugu Bado mapema na baadhi mitandao ya kijamii huwa ndiyo chanzo

Kila mmoja atimize wajibu wake wewe nenda kapige kura na wacha vikosi vya usalama vifanye kazi zake mpaka kuapishwa kwa Rais Mteule hapo November
We mkuu ndo unaidanganya, kipindiki hiki mtashikana uchawi Yani dunia inaenda kw Kasi mkuu,
Alafu tulipofikia nawambieni Wana wa mungu kibri,mazarau, na jeuri haiwezi tuvusha salama mbele ya wananchi
Chakufanya
Organ muhim za nchi, lazima mkae Sasa muhumize vichwa shirikisha na wazee wastahafu , hamueni Jambo moja na msimuonee haya mtu yoyote, Cha msingi ni kusema haki ifuatwe katika uchaguzi huu au ufutwe tujue moja vinginevyo tutalia wote na tutaumia wote
Mpaka Sasa Zanzibar kura bado mabo ndo Kama haya, je vipi bara mziki ukiwaka mtafanya Nini?
 
muzi

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
978
1,000
UKWELI TWITTER HAIKAMATI KAMA HUNA VPN,
1603777498388.png
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
33,366
2,000
Kuua watu ndo mbinu ya mwisho ya viongozi waliokosa vibali machoni pa wananchi. Meko na CCM pia mmekosa kibali cha watanzania.CCM wana hofu kuu,imagine wanaua watu,wamezima whatsapp call,nasikia leo saa sita mchana bank zinapigwa pini,wamezima whatsapp call,wanazuia SMS,etc.Hii ni hofu ya kukataliwa na wananchi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom