vodacom

  1. Board member

    Vodacom acheni wizi wa rejareja

    Habari. Imekua mchezo wenu uliozoeleka siku hizi. Kila nikiweka airtime kabla sijaunga kifurushi lazima mukate kiasi, hali hii inafanya nishindwe kujiunga na package niliyokusudia hadi niongeze airtime nyingine. Nikiwapigia mnasema mara nimejiunga na huduma gani sijui, wakati mimi sijawahi...
  2. monotheist

    Vodacom acheni utapeli rudisheni pesa zangu

    Mimi sio mtumiaji sana wa mtandao wa vodacom mnamo mwaka 2022 nilihamasika kusajili laini ya vodacom kutokana na masuala ya miamala hivyo ilinilazimu kusajili laini ya voda na baada ya kumaliza zoezi langu sikuitumia tena Nikarudi tena kuitumia mwaka 2023 sababu ya visa card huwa natumia...
  3. N

    Msaada kufanya mtandao wa simu upatikane Vodacom

    Habari wakuu Mimi simu yangu natumia mtandao wa vodacom nikipigiwa wanasema namba imefungiwa kwa muda ila mimi kupiga napiga. Msaada wakuu ili niwe hewani.
  4. M

    Postpaid internet connection kwa Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel

    Wakuu Salaam, Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri. Asante.
  5. A

    Vodacom Router Bei Nafuu

    Je unatunia simu yako kama wi-fi hotspot wakati wa kazi ofisini au masoko chuoni? Wakati mwingine internet inakata mtu akikupigiaa sasa acha na hizo habari suluhisho limepatikana kwani ni Vodacom Router na inapatikana kwa bei nafuu sana na vifurushi rafiki kabisa. Kwa maelezo zaidi 0744002351...
  6. BARD AI

    Vodacom yaongoza Tanzania kwa idadi ya Wateja

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayoangazia Takwimu za Mawasiliano Nchini, Mtandao wa Vodacom umeongoza kwa idadi ya Wateja ambapo hadi mwishoni mwa Septemba 2023 wamefikia 20,555,763 Ripoti imeonesha Mitandao yote kwa ujumla ilikuwa na ongezeko la 4.7% kutoka...
  7. Influenza

    Vodacom yaongoza kwa Wateja wanaotumia huduma za kifedha. Akaunti zaidi ya milioni 9.2 zasajiliwa kwa Januari-Septemba 2023

    Ripoti iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (#TCRA) imeonesha Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom inaongoza kwa Wateja waliojisali na huduma ya kutumia fedha kwenye simu Usajili wa Wateja wanaotumia fedha kwenye simu umeongezeka kutoka akaunti Milioni 47.3 zilizokuwepo mwishoni mwa Juni...
  8. Roving Journalist

    Mbeya: Wanaofanya utapeli kwa kutumia jina la Mo Dewji wakamatwa, wakutwa na Line za Vodacom (10), Tigo (2) na Airtel (3)

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na oparesheni, misako na doria zenye tija kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia misako na doria limepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kukamata watuhumiwa wa kughushi na utapeli, kupatikana na silaha bila...
  9. Analogia Malenga

    Mwaka 2019 Kamati ya Malalamiko ya TCRA iliitaka Vodacom imlipe mteja Faini ya Tsh. Milioni 1.2 kwa kufanya SIM swap kiholela

    Bahati Mekene alipeleka malalamiko katika kamati ya malalamiko ya TCRA kuhusu Vodacom kufanya swap ya laini yake ambapo ilimletea shida hata kwenye mahusiano yake kwani aliashindwa kuendelea na mpenzi wake baada ya mwenza wake huyo kupiga simu na kupokelewa na mwanaume. Tukio hili lilitokea...
  10. I

    Vodacom acheni kubambikiwa wateja wetu huduma wasizozihitaji

    Nimegundua janja ya kampuni hii ya Vodacom kuwaungaisha kwenye huduma zenye makato ya fedha bila wateja wenyewe kuwa wamejiunga kwa ridhaa yao. Nimeshangaa sms imeingia kwenye simu yangu kutoka Vodacom kunijulisha nimefanikiwa kujiunga na huduma ya chekecha hesabu na nitakatwa sh200 Kwa siku...
  11. Hyrax

    Vodacom huduma ya MGODI wanazingua sana

    Line yangu ya Vodacom haina deni nimejiwekea akiba yangu ya milioni 1 huko mgodi nataka kutoa toka last week pesa haitoki nimewapigia huduma kwa wateja option ya kuongea na watoa huduma siipati. Mwenye uzoefu kwenye hii changamoto naomba msaada.
  12. R

    Naomba kujua ada za malipo kwa M-Pesa Visa card

    Wakuu kwa anayetumia Vodacom M-Pesa Visa kulipia online naomba kujua ada ni asilimia ngapi. Nimeuliza customer care kupitia Whatsapp yao naambiwa ni 10%. Siamini kama ni ghali hivyo maana naona Safaricom ya Kenya wanachaji 3.5%. Zamani nilikuwa natumia Mastercard yao haikuwa ghali kiasi hicho...
  13. sifi leo

    Waziri Nape, tusemeje ili uelewe kuwa mitandao kama Vodacom wanatuibia?

    Yaani asubuh nmetumiwa ujumbe nadaiwa 6070 ya songesha nimelipa 3000 Kati ya hiyo niliyoombewa Naambiwa nadaiwa 16000 na zaidi aise hawa jamaa ni wezi balaaa. MH Nape nipo tyr kukupa ushirikiano ili kukomesha wizi huu. Staki kuamini yakuwa upo nyuma ya wizi huu tafadhali jumbe zao.
  14. mandawa

    Vodacom mnakera

    Wadau hivi Vodacom wanawezaje kutoa numba tofauti ya kuwasiliana nao mbali na Ile ya 100 ambayo inahudumiwa na robot tu wala huwezi ongea na mhudumu. Na hii walivotoa kama mbadala 0754705000 sio free lazima uwe na salio na kama haitoshi unakaa hewani nusu saa na zaidi hamna mhudumu anapokea...
  15. Andre-Pierre

    Msaada: Nimelipia Vodacom Supakasi lakini ni wiki ya 3 sasa bado sijapewa huduma

    Naombeni msaada nimelipia huduma ili niunganishwe lakini kwasasa inaenda week ya 3 sasa sijapewa vifaa na bado sijapata huduma. Nipo mkoani, mwenye mawasiliano na watu wa makao makuu voda naomba namba zao Cc Chief-Mkwawa
  16. LIKUD

    Vodacom kifurushi vya intaneti vinaisha haraka sana

    Kifurushi cha 2500 Zamani ilikuwa unakitumia masaa 24 but sasa hivi ukikiweka asubuhi kabla ya saa tisa anatumiwa msg kifurushi kinakaribia kuisha, inafika saa kumi na moja kifurushi kimeisha. Please ni mtandao gani wanatoa vifurushi vinavyo dumu kwa muda elekezi
  17. M

    Vodacom wawajibishwe kukosekana huduma zao kuanzia saa 4:30 hadi saa 8:00 usiku, siku ya jana, Kahama

    Kwenu: vodacom: Ninaandika kutokea Kahama mji wa dhahabu baada ya kuwa nimechukua muda kujiridhisha na wateja wengine. Mji huu japo mdogo wenye kupewa hadhi ya ghiliba kama manispaa una miundombinu mibaya kabisa kuliko Chato au labda kuliko wilaya nyingi hapa nchini zisizokuwa na hadhi kama...
  18. Replica

    Vodacom yaendelea kuwa kinara idadi kubwa ya laini zilizosajiliwa, Airtel na Tigo mpambano wa kimya kimya!

    TCRA imetoa takwimu mpaka mwezi Juni 2023 ambapo jumla ya laini za simu zilizosajiliwa zimefikia 64,088,651 huku mtandao wa Vodacom ukiwa kinara. ORODHA 1. Vodacom - 19,116,166 2. Airtel - 17,505,139 3. Tigo - 17,484,387 4. Halotel - 8,410,029 5. TTCL - 1,559,090 6. Smile - 13,840
  19. TUKANA UONE

    Ahsante Vodacom nawaombea kwa Mungu

    Salamu ni utumwa Nitoe pongezi kwa Viongozi wa Vodacom kwa hisani hii ninayoipata kila wiki bure kabisa ikiwa inaelekea mwaka sasa. Mungu awabariki sana😉😉
  20. Maleven

    Wahenga, Kuongea bure baada ya dakika ya 3 :Tigo, My number 1: Vodacom

    Kama ulitumia hizi huduma nadhani sasa uko kwenye ndoa au unawatoto Kwakweli Tigo na Vodacom walisaidia sana mahusiano ya watu mana hata utaratibu wa kujiunga bando haukua sawa. Tigo unasubiri saa sita baada ya dk ya tatu, unakua unaongea bure mpanga asuburi Vodacom: unajiunga shiling 50...
Back
Top Bottom