Vodacom na ahadi ya kurejesha Tsh. 75

Vodacom na ahadi ya kurejesha Tsh. 75

El MENCHO21

New Member
Joined
May 17, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Leo nimenunua kifurushi kwa kutumia M-pesa kupitia menu ya vodacom ambapo walieleza wazi kuwa mteja atarudishiwa sh 75 baada ya ununuzi.Nimefuata maelekezo yote na nimekamilisha muamala,lakini hadi sasa sija pokea marejesho hayo

Naomba kujua kama kuna mda maalum wa kusubiri au kama hii ni changamoto inayowakumba wateja wengine pia. Vodacom mnaweza kutoa ufafanuzi wa ahadi hii ya kurejesha Tsh 75 ambayo haitekelezwi kwa wakati

Screenshot_20260617_100920_Phone.jpg
 
Back
Top Bottom