Wizi kimtandao mchana kweupe VODACOM

Wizi kimtandao mchana kweupe VODACOM

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,135
Reaction score
29,792
VODACOM wakiishiwa kwa tulio na simu na line zao wanaiba mchana kweupee..!
Hebu ona ujumbe nimetumiwa..

"Umetozwa Sh 100.0 TSH kwa ajili ya hadithi BABA NISAMEHE. Piga 0901767676 kuweza kusikiliza simulizi nzuri. Kujitoa tuma neno ONDOA kwenda 15460"

Hapo nipende nisipende nimekatwa shs 100 toka akaunti yangu ya m-pesa.
Halafu ukituma neno ONDOA kwenye namba waliyokupa, ujumbe hauendi maana wsmeublock, na wanaendelea kukukata pesa.

VODACOM wana wateja zaidi ya milioni 10. Hivyo kwa click moja wamekwapua bilioni moja toka kwa wateja wao.

Hata tukilalamika TCRA huwa hakuna action yoyote ya kurudisha hiyo 1b kwa wateja.

Kuna wana sheria humu, twawezaje kishitaki VODACOM kwa wizi huu?

UPDATE
Wateja wa M-Pesa Vodacom ni Milioni 31.5.
Hivyo kwa kutozwa Tshs 100 kila mmoja , VODACOM wanaiba Tshs Bilioni 3.13 kwa mpigo.
 
Kuna ile pop up inakuja from nowhere ina kwambia una karibia kujiunga huduma fulani ukiwa na haraka unaweza tap ukubali badala ya ku cancel sasa imagine wa ngapi wana jikuta wame accept

Voda weziii
Screenshot_20260722_084827_Messages.jpg
 
True.. Kuna namna namba za wateja wao wana share na third parties ambazo mtu hazijui kabisa.... Inabidi tupitie terms n conditions asee
Airtel Hali ndio mbaya zaidi imagine you just buy a new simcard and right away someone calls you and start to ask you for money,

You end up asking yourself where did he get my number?!

Telecom companies wanatuchukulia poa Sana Watanzania
 
VODACOM wakiishiwa kwa tulio na simu na line zao wanaiba mchana kweupee..!
Hebu ona ujumbe nimetumiwa..

"Umetozwa Sh 100.0 TSH kwa ajili ya hadithi BABA NISAMEHE. Piga 0901767676 kuweza kusikiliza simulizi nzuri. Kujitoa tuma neno ONDOA kwenda 15460"

Hapo nipende nisipende nimekatwa shs 100 toka akaunti yangu ya m-pesa.

VODACOM wana wateja zaidi ya milioni 10. Hivyo kwa click moja wamekwapua bilioni moja toka kwa wateja wao.

Hata tukilalamika TCRA huwa hakuna action yoyote ya kurudisha hiyo 1b kwa wateja.

Kuna wana sheria humu, twawezaje kishitaki VODACOM kwa wizi huu?
Kuna mambo mawili...

1. Aidha kuna mtu alishika simu akajiunga na hiyo huduma, au wao wenyew katika pop ups zao za kitangaza hiyo huduma ulithibitisha kwa bahat mbaya bila kujua...

2. Wao kama Vodacom kwasababu sio mtu mmoja, ni ngumu mfanyakaz mmoja akufanyie hivyo wakati mshahara wake upo pale pale, hivyo ni mfumo umeyumba
 
Mimi baada ya huduma zao nyingi kuzi block saizi wananiletea pop up msgs. Mfano simu ilikuwa idle ukitoa tu lock unakutana na msg yao inaelea juu ya screen so unaweza kuta kimakosa ume accept. Sasa unajiuliza kama sio utapeli kwanini msg itumwe kimtego mtego. Au unapigiwa na hiyo namba ya 090 the moment unapokea tayari umejiunga na hiyo huduma. Kwanini huduma itolewe kimtego mtego sio utumiwe msg ya kawaida uridhie mwenyewe kujiunga! Ni matapeli na I wonder TCRA wako kwa masrahi ya nani kwenye hili.
 
Kuna mambo mawili...

1. Aidha kuna mtu alishika simu akajiunga na hiyo huduma, au wao wenyew katika pop ups zao za kitangaza hiyo huduma ulithibitisha kwa bahat mbaya bila kujua...

2. Wao kama Vodacom kwasababu sio mtu mmoja, ni ngumu mfanyakaz mmoja akufanyie hivyo wakati mshahara wake upo pale pale, hivyo ni mfumo umeyumba
Wewe ni mfanyakazi wa Vodacom?
 
Mfumo unayumba kwa kuibia wateja?

Kama mfumo umeyumba kwanini wasirejeshe pesa za watu mfumo unapokaa sawa?

Hizo ni mbinu za wizi, click moja tayari ana mabillion.

Nakumbuka kuipindi nafanya kazi, kuna kijana wa IT kitengo cha compyuta ya mshahara alitajirika ghafla hadi watu wakaanza kujiuliza biashara gani inamnufaisha huyu?

Kumbe alikuwa akitufyeka sh. 500/- Wafanyakazi wote Wizara nzima na hakuna mtu aliyebaini mapungufu ya kiasi hicho kidogo kwenye mshahara wake, na ni vigumu sana.

Alikuja kubainishwa baada ya upelelezi kutembea!

Kwa hiyo huo ni mchezo, usije ukakataa na kuwatetea hao, hapo ni lazima kuna watu wananufaika pesa kubwa ya bure bila jasho.
 
Airtel Hali ndio mbaya zaidi imagine you just buy a new simcard and right away someone calls you and start to ask you for money,

You end up asking yourself where did he get my number?!

Telecom companies wanatuchukulia poa Sana Watanzania
Nahisi wale wasajili laini ndio huingia deals na matapeli wa mitandaoni..
 
Mfumo unayumba kwa kuibia wateja?

Kama mfumo umeyumba kwanini wasirejeshe pesa za watu mfumo unapokaa sawa?

Hizo ni mbinu za wizi, click moja tayari ana mabillion.

Nakumbuka kuipindi nafanya kazi, kuna kijana wa IT kitengo cha compyuta ya mshahara alitajirika ghafla hadi watu wakaanza kujiuliza biashara gani inamnufaisha huyu?

Kumbe alikuwa akitufyeka sh. 5 Wafanyakazi wote Wizara nzima na hakuna mtu aliyebaini mapungufu ya kiasi hicho kidogo kwenye mshahara wake, na ni vigumu sana.

Alikuja kubainishwa baada ya upelelezi kutembea!

Kwa hiyo huo ni mchezo, usije ukakataa na kuwatetea hao, hapo ni lazima kuna watu wananufaika pesa kubwa ya bure bila jasho.
Umeongea kwa uchungu sana mkuu,

Lakini ukwel ni kwamba hata sis tunaumia sana pale kumbe ukinunua kifurushi ukawasha data counter zunavyotumika na ulizonunua ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom