Population yenu ndogo, mkiongezeka kila kampuni itakuja huko, mtandao ni biashara na si huduma kama ulivyodanganywa na wanaasiasa.Mtandao Vodacom una shida huku unasoma emergency shida ni Mimi au?
Mpaka DarMtandao Vodacom una shida huku unasoma emergency shida ni Mimi au?
Mkuu acha kabisaawashatupa loss
Malipo yote kidigitali. Sasa kaka yangu Mshana upo Handeni umeingia Esso au Agip kuweka mafuta, unawasha simu hamna mtandao, itakuwaje?Mpaka Dar
Handeni wanaishi wapare?Malipo yote kidigitali. Sasa kaka yangu Mshana upo Handeni umeingia Esso au Agip kuweka mafuta, unawasha simu hamna mtandao, itakuwaje?
Mzee kama upo 😀😀😀 live umenilenga..😀😀ni aibu kama huna akiba za pembeni..Malipo yote kidigitali. Sasa kaka yangu Mshana upo Handeni umeingia Esso au Agip kuweka mafuta, unawasha simu hamna mtandao, itakuwaje?