Vocha (Greek: Βόχα) is a former municipality in Corinthia, Peloponnese, Greece. Since the 2011 local government reform it is part of the municipality Velo-Vocha, of which it is a municipal unit. The municipal unit has an area of 87.895 km2. Population 10,966 (2011). The seat of the municipality was in Zevgolateio.
Binafsi huwa natumia zaidi Halopesa ili kuunga vifurushi katika laini yangu.
Leo nikahitaji kunua vocha ya halotel ili nijaze salio la kawaida, nilivyoingia katika duka moja ili kufanya manunuzi, Nikaambiwa
Vocha ya 500 inauzwa 550,
Vocha ya 1000 inauzwa 1100.
Hili lipoje huku mtaani?
Baada ya jambo hili kuliweka hapa jukwani, TCRA limewafikia sasa wabapokea taarifa kutoka maeneo tofauti nchini kuhusu bei za vocha za simu.
Pia soma > Vocha za mitandao tofauti Kagera zauzwa bei ya juu
Kwa Sasa watumiaji wa simu za mkononi mkoani Kagera wamekumbana na tatizo la baadhi ya wafanyabiashara kupandisha bei ya vocha za simu za mikononi.
Vocha ya 500 Sasa inauzwa 600 na vocha ya 1000 Sasa inauzwa 1200 kwenye baadhi ya maduka huku baadhi ya wafanyabiashara wakidai mawakala nao...
Habarini wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Hivi nini kinakujia akilini baada ya kubadilishana namba za simu na mdada ukimcheki anaanza kukuambia nitumie vocha sms zangu zinakata sina meseji ukizingatia bado hamjefahamiana vizuri hii inaashiria nini. Je? Hii ni sawa...
Kuna hii mpya hii ya vocha kupanda bei bila sababu yani vocha ya 500 sasahivi ni 600 na vocha ya 1000 sasahivi ni 1200 na ile ya 2000 sasahivi ni 2400 haya yametukuta huku mbeya wilaya ya chunya na songwe. Na wewe mdau hali ipoje wilayani kwako?🤔
Wafanyabiashara katika Mji wa Mlowo, Mbozi wamedaiwa kupandisha vocha za mitandao ya simu toka bei halisi na kuongeza kiwango kati ya shilingi 100 hadi 200 kutokana na eneo hali ilioibuka malalamiko kwa watumiaji wa mitandao ya simu.
Wakiongea malalamiko yao mbele ya mwandishi wetu wamedai...
Ndugu wanajamvi sasa hivi kunashida ya vocha cha Vodacom hasa za shilingi elfu moja moja haziingii.....zile za kukwangua . Sijui tatizo ni lipi hata watoa huduma wameshindwa kutupa majibu.
Hizi ni chemsha bongo tatu tu ,na atakae patia chemsha bongo zote tatu bila kukosea namba hata moja, atapata zawadi ya Vocha ya mtandao atakao taka papo hapo.
Zinaenda kwa mfumo wa maswali hivo kuwa makini, Fikiria kabla hujajibu.
SWALI LA KWANZA
Je , ukiwa ndani ya mashindano na ukampita mtu...
Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.
Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku...
Habari za Sabato!
Kwa kweli Sisi wengine tulishaweka miiko na mstari kuwa Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli wala asiyeweza kujinunulia vocha huyo hatuwezi ku-date naye.
Kwanza hatuamini kabisa kuwa Mwanamke mrembo na mzuri anaweza kukosa nauli au vocha. Hilo siwezi kuamini.
Hiyo imetusaidia...
Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa hazikidhi mahitaji ya soko la ajira nchini. Hivyo kupelekea wengi wao kuwa wazururaji mitaani.
Serikali...
Wanawake wenye tabia hii, laana ni ya kwenu taka msitake itawatafuna....
Hakuna kitu kinamkera mwanaume akili kama anakununulia vocha na ana hakikisha bundle unalo dk zipo za kutosha tena ana kuuingia mitandao yote mwezi mzima ila wewe huna hata mpango wa kumtamkia umeamkaje au usiku mwema...
Kifupi mtaan vocha zimepanda 10% katika kununua na sio kwenye label. NIjuavyo vocha na pesa taslim ni kitu kile kile tofaut na bidhaa nyingine. Kwamba natumia elfu 2000 taslim kubadilishana na elf 2000 digital.
nilitarajia kama watu wa bei wameridhia bas vocha isomeke ni ya 2200.
Kwani nini...
Wakuu niko huku a town lakini kuna habari zinaendelea kuenea kuwa utapoenda dukani kununua vocha ya buku itakulazimu utoe buku na Mia au vinginevyo ununue kupitia huduma za simu au kama ni vocha ya tsh 2000 itabidi ulipie 2200,imekuwa wiki nzima nikisikia habari hii na kuna jamaa...
Moja kwa Moja.
Nina line tatu kila nikichungulia hakuna uafadhali, nilikuwa najiunga halotel kufushi cha Halotel Royal 5K kwa mwezi napata dakika na Mb ambazo zilikuwa zinanifaa kusongesha maisha lakini cha ajabu leo nimekuta wameondoa na cha bei ya chini sio elfu tano tena bali ni elfu Kumi...
Huu ni mtindo mpya ambao Airtel wamebuni ili kuwaibia wateja, tumezoea kuibiwa MB's zetu zinapunguzwa kiaina na wakati mwingine unapokea meseji kuwa bando limeisha hata kabla halijaisha au haujalitumia vizuri.
Lakini sasa wamekuja na mbinu nyingine ya kuwaibia wateja kupitia kuwauzia "Tozo" ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.