Sintofahamu vocha kupanda bei

Edson Eagle

Member
Apr 20, 2024
28
11
Kuna hii mpya hii ya vocha kupanda bei bila sababu yani vocha ya 500 sasahivi ni 600 na vocha ya 1000 sasahivi ni 1200 na ile ya 2000 sasahivi ni 2400 haya yametukuta huku mbeya wilaya ya chunya na songwe. Na wewe mdau hali ipoje wilayani kwako?🤔
 
we nawe umetoka dasilamu jana nn,,watu uku vichochoron tushazoea toka miaka io😄,na sabab yao ya msingi ni kuzisafirisha ad kufka mahali husika
 
Weka kwenye pesa simu! Mi siezi kubali kununua vocha ya jero nimetoka buku nirudishiwe mia nne hiyo mia nne ainati mfukoni Bora ninunue ndizi Nile au niitupe mezani
 
we nawe umetoka dasilamu jana nn,,watu uku vichochoron tushazoea toka miaka io😄,na sabab yao ya msingi ni kuzisafirisha ad kufka mahali husika
🤔😆😆 Kumbe nilikuw naishi mbali na dunia sas.
 
Kuna hii mpya hii ya vocha kupanda bei bila sababu yani vocha ya 500 sasahivi ni 600 na vocha ya 1000 sasahivi ni 1200 na ile ya 2000 sasahivi ni 2400 haya yametukuta huku mbeya wilaya ya chunya na songwe. Na wewe mdau hali ipoje wilayani kwako?🤔
wewe unaishi chunya unategemea vitu vya electronic viuzwe bei poa???,,,huko vyakula ndo bei chini!!
 
Kuna hii mpya hii ya vocha kupanda bei bila sababu yani vocha ya 500 sasahivi ni 600 na vocha ya 1000 sasahivi ni 1200 na ile ya 2000 sasahivi ni 2400 haya yametukuta huku mbeya wilaya ya chunya na songwe. Na wewe mdau hali ipoje wilayani kwako?
E_money ndo suluhu. Achana nao hao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom