vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polepole una uhakika ulijipanga na Karata zako nazo ulizipanga vizuri dhidi ya 'Muhuni' mwenye Nguvu na Taarifa za kila Kitu?

    Ngoja nijiandae Kusikitika tu kuanzia leo!!!!!
  2. GE2025 Uchaguzi wa CCM unaenda vizuri

    Uchaguzi wa ndani CCM unaenda vizuri. Bado tunasubiri kuona Uchaguzi ndani ya vyama vingine. Lakini tunasikitika kuhusu Chadema kwamba haitakuwa katika Uchaguzi Mkuu. Judges 21:6 Today Israel has lost one tribe.
  3. A

    Wizara ya fedha iangalie Vizuri Bank ya NMB

    Inakata kiasi kikubwa wakati wa kuomba mkopo. Mfan: unakopa Mil 15 hadi kupatiwa huo mkopo unapokea Mil 11. Hiyo Mil 4 yote ni Processing fee ambayo inavipengele vyake. Tunaumia huku ngazi za chini.
  4. Ukiwa huna hela mipango ya biashara ina click vizuri kichwani

    Ukiwa huna maisha umefulia balance haisomi kila idea unayoipenda ukiifikiria unaipangilia vizuri kabisa Kiasi cha mtaji,gharama za uendeshaji,faida,..imagine niliishiwa hela nikaanza kufikiria biashara ya uji,matunda,genge...na tena kisasa ma innovations kama yote.. Kosa waniingizie mkwanja Tu...
  5. MLIOCHAGULIWA KUGOMBANIA UBUNGE YAAN HAPA MCHEZO UNAANZA WAJUMBE HAMJAWAJUA VIZURI SUBIRINI...MSIJISIFU SANA WL..HELA ZENU TUTAKULA VIZURI TU

    NIMEONA JANA KUNA MAENEOO YA BANANA WAJUMBE KADHAA WANAPONGEZANA MGOMBEA WAO JINA LIMERUDI NAOMBA NIWAHAKIKISHIE YAANA ILE ILIOTOKEA N TRELA PICHA HALISI YA WAJUMBE SUBIRI NI KK YAAN PALE.MTAJUA HAMJUI USHAURIII HONGA TOA RUSHWA KWA KILE AMBACHO HAKITAKUUMIZA WAJUMBE WAKIKUTENGENEZA KAMA...
  6. Samson Charles wa EATV kitamkuta kitu. Sidhani kama misimamo yake inapendwa na watawala. Ni vizuri mumshauri.

    Wenzie kimeshawakuta kitu. Uanfishi wa habari wa kiuwanaharakati hauwavutii wenye mamlaka. Ni vizuri achague moja. Uwanaharakati kamili au kuendelea na utangazaji. Ni wazi anaipinga serikali.
  7. Kama huna muonekano mzuri jitahidi uvae na unukie vizuri

    Kuna wengine tunapendeza kwa jitihada ndogo mana muonekano unatubeba, sasa kama wewe huna muonekano, jitahidi uvae vizuri na unukie vizuri. Mtu anaenda jumuia kama anaenda shamba, halafu watu waki “pay attention “ kwetu mnaanza kushangaa. Kama unajua una sura personal na irregular shape, then...
  8. Ni position gani usipoifanya wakati wa tendo unahisi kabisa mchezo haujakamilika vizuri?

    18+
  9. W

    Maliki Marupu amememjibu Dkt Malisa amemwambia akasome Katiba vizuri

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho pia amemvaa Dkt Godfrey Malisa . Marupu ameyasema hayo kufuatia hoja alizoziibua Dkt...
  10. Israel Mwenda pole sana kumbe ulikuwa huwajui Yanga SC vizuri pamoja na Kufurahia Kwako kwenda Kwao kwa Kutuzodoa wana Simba SC?

    Nilipoona tu Siku ile Yanga SC inarejea na Kombe kutoka Zanzibar huku ukijifanya Wewe ni Dj na ukawa Unatuzodoa wana Simba SC hasa pale Msimbazi Street mlikopita nilijua tu baada ya hapo kuna Maumivu utayapata kwani Wazee wa Simba SC nawajua huwa hawana Masihara katika kutuma Makombora ya...
  11. Baba Mdogo wenzie wote wamefariki, badala ya kutusimamia vizuri yeye anatuuza

    Baba yetu alishatangulia mbele za haki. Baba wadogo walishafariki pia. Amebaki mama na baba mdogo. Sasa baba mdogo badala ya kuwa mshauri mkuu kuhakikisha familia inabaki salama yeye anamsaidia mama kutuuza. Baadhi ya kina kaka wamechachamaa lakini baba mdogo kaziba masikio. Ndugu kina mzee...
  12. S

    E FM sio vizuri kumtumia Maestro kumshambulia Mo Dewji

    Ibrahim Masoud Maetsro amewahi kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya Simba, hivyo hakuna shaka anapata habari nyingi za Simba kutoka kwa viongozi wenzake wa zamani, Maestro anapozungumza anaongea vitu ndani ya Simba vinavyoendelea. Viongozi wa zamani wa Simba wanamtumia yeye kutumia redio...
  13. Ili kuku wa mayai watage vizuri wanatakiwa wapewe dawa gani na dawa zipi haziwafai nipo najifunza wakuu

    Wakuu nipo hapa kupokea nondo zenu sijawahi fuga kuku wa mayai. Najua kuna dawa wakipewa huwa zinawazuia kuku kutaga sio dawa tu hata booster pia nyingi huwafanya wanenepeane na kuwa na mafuta na mwisho kuwafanya kuku wasitage Nakaribisha Elimu zenu tujifunze
  14. A

    Msaada: Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania?

    Habari, Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania? Mimi ninashinda ya masikio kupiga kelele kutokana na sikio la ndani kuwa na shida. Nimehangaika sana mahospitalini lakini shida niliyonayo ni haitibiki (Tinnitus) ni ugonjwa wa kawaida na unawakumba watu wengine Duniani. Naomba mwenye...
  15. Tujifunze kuishi na watu vizuri maisha yana siri na fumbo zito

    Hellow guys!! I hope y'all doing well, and all is well, nimetoka kwenye usingizi wa kifo, i mean nilikua nimelazwa kwa wiki ya pili bila kujitambua, ilikua ghafla sana ilikua hivi nimeamka siku moja nahisi kumichwa kuumwa,kizunguzungu kikali, natapika vitu vichungu good enough nilikua nimepita...
  16. Natafuta uwaridi linalonukia vizuri kwa ajili ya kusherehekea wikiendi

    Wikiendi ndio inaanza hivyo wakuu. Na ili ipendeze na kufana vizuri zaidi, ni muhimu kuwepo na maua mbalimbali yanayovutia na kunukia vizuri. Nimeuza debe zangu mbili za mpunga, mfuko umejaa kiasi. Kwa wewe pisi kali unayehitaji mtoko kwa wikiendi hii, njoo tuyajenge; muhimu uwe na 'vibe' tu...
  17. Salimu Kikeke kiukweli maisha hayakumuendea vizuri

    Huyu jamaa anajiita Salum Kikeke. Nafasi aliyokuwa nayo BBC Uzoefu wa Kazi Exposure n.k Nilitegemea akirudi Tanzania awe Kama Diamond au Samatha au Kama Msuva . Yaani aanzishe Project itakayomtofautisha yeye na waswahili . Ila yupo anapambia siasa za Ccm zilizojaa utapeli ,wizi ,majungu na...
  18. Nawakumbusha tu vijana, hizo nafasi mnazozitaka kwenye majimbo na kata wengi wenu zitawatokea puani. CCM nawajua vizuri

    Ikitokea Jimbo au kata mbunge au diwani wa CCM amekufa hapo kijana ingia chap unapata nafasi, ikitokea mbunge au diwani ametangaza kutoendelea na madaraka hapo kijana usizubae chukua nafasi haraka. Ikitokea mbunge au diwani ndugu yako sana msihi akutupie taulo akiridhia chukua nafasi haraka...
  19. Uongozi wote wa Mzee Hassan Dalali Simba SC Kitakwimu Yanga SC ilifungwa mfululizo na zaid ya mara 5 yao, angalieni Takwimu zenu vizuri

    Siku nyingine muwe mnawaambia hao Waandishi wenu walio katika Payroll zenu wajikite zaidi katika Data and Research Journalism ili wenye Akili kubwa tusiwafharau na tusiwaone Wapumbavu. Imeisha hiyo.....!!!!!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…