viwanja

  1. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni

    Habari za wakati huu, Kwa wale wanaohitaji kununua Viwanja,Mashamba na Nyumba Katika wilaya ya Kigamboni kwa Gharama nafuu wakati ndio huu: Viwanja vyenye ukubwa tofauti vipo MBUTU,GEZAULOLE,DEGE,CHEKA,MWONGOZO,KIMBIJI,PEMBA MNAZI etc Bei ni kama ifuatavyo: Mbutu,Kuanzia TZS Mili 3.5 ukubwa...
  2. JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje. Ina vyumba vine vya kulala vinachojitoshereza, subure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula ( Dinning area). Bei 500mil na inaongeleka. Kuiona piga simu au tuma ujumbe kwa whatsapp tupange muda muafaka wa kuiona…0784225000 au email...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

    Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu. Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa...
  4. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu Arusha Kesho: Uzinduzi CHADEMA Kanda ya Kaskazini Viwanja vya NMC Relini

    Wana Arusha kuanzia Babati Karatu Monduli Namanga Mto wa Mbu, Usa River Ngaramtoni Mnakaribishwa kesho kwenye viwanja vya NMC RELINI kuanzia saa nne asubuhi. Rais Mtarajiwa Mwanasheria Nguli Barani Afrika na Mpigania Haki TUNDU LISSU pamoja na kipenzi cha Wana Arusha Mbunge G LEMA (Sauti ya...
  5. JamiiForums Tanzania Watumishi ardhi Jiji Mwanza linawaliza wananchi viwanja

    Watumishi ardhi Jiji Mwanza linawaliza wananchi viwanja JIJI la Mwanza linatuhumiwa kudhurumu viwanja vya familia ya Marehemu Hassan Seif, Mkazi wa Nera wilayani Nyamagana mkoani Mwanza vilivyomilikiwa na familia hiuo tangu mwaka 1984. Viwanja vilivyochukuliwa na Jiji na kuviuza kwa watu...
  6. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020: Ilani ya CCM inasema nini kuhusu kurejesha viwanja serikalini/TFF?

    CCM haiwezi kuinua Michezo nchini Kama itaendelea na sera yake ya kuvishikilia viwanja vya Michezo nchini na bila kuvifanyia matengenezo makubwa. Inasikitisha Sana wadau wa Michezo kuhusu hili kwasababu Michezo haina chama. Viwanja vinachangia timu zetu kuwa kichwa Cha mwendawazimu. Wapenda...
  7. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kiwanja kinauzwa chanika Nguvu kazi kipo mita 900 toka barabara ya ram.kuna umeme .barabara ipo mpaka kwenye kiwanja .Ni eneo Endelevu,Tambarare.ujenzi ni rahis sana mchaka unapata hapo hapo kwenye kiwanja .ukumbwa miguu 38 kwa 20.bei maelewano.cmu 0713 95 92 90 ,0685 65 55 35
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

    Serikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini "Wakimwaga ugali tunamwaga mboga" "Magufuli baba lao"
  9. JamiiForums Tanzania Ndege za Tanzania zapigwa marufuku kutua viwanja vya Kenya kutokana na janga la Corona

    Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya --- Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja Kingamboni Mwasonga

    Kiwanja kilichopimwa kipo Mwasonga, Kigamboni kilometer 30 kutoka ferry, ni kiwanja cha makazi chenye ukubwa wa sqm 712 na sqm 725 kila kimoja nauza kwa million 5 unaruhusiwa kutanguliza Milioni 3 nyingine umalizie ndani ya muda tutakao kubaliana Vimepimwa na vina hati ukilipa cash unapata hati...
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anayependa kuishi Uswahilini. Hata sisi Waswahili tunatafuta nyumba na viwanja mbali na Uswahili

    Uswahilini mnakokukimbia ni wapi? Inawezekekana mnakimbia kushirikiana jiko, choo na bafu kwanye nyumba ya kupanga lakini hata Manzese, Mbagala, Mwananyamala kwa Kopa Kinondoni Shamba kuna nyumba self contained na gate kabisa mlangoni, ukiingia na gari yako hakuna mtu anaejua maisha yako...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Viwanja Pongwe 2 vimehitajika

    Habari Ninatafuta mawasiliano kuhusu viwanja vya Pongwe 2, Bei, Ukubwa.
  13. JamiiForums Tanzania Ni viwanja gani kwa Mbezi ya Kimara vimetulia nitapata Viburudisho (Lounge) Sports bar?

    Nasikia Mbezi kuna sehemu inaitwa Msigani, Kwa God na Mbezi Luxury, Kuna Kiwanja gani kingine maeneo ya Mbezi maana week kesho kutwa napata likizo ya kuwa Tanzania kwa miezi 2. Tupeane information wakuu.
  14. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Viwanja Kibaha mjini vinauzwa bei nafuu

    Kampuni ya Drone Ads inakutangazia wewe unayependa kujenga maeneo jirani na kitovu cha mji, kwamba inauza viwanja 150 vilivyopimwa vilivyopo nyuma ya stendi kuu ya Kibaha, eneo la Pangani kilomita 1.5 toka stend, karibu kabisa na hospital ya wilaya Kibaha. Hivyo huduma zote muhimu zipo...
  15. JamiiForums Tanzania Plot zinauzwa Goba

    GOBA-KULANGWA Plots zinauzwa zipo kwenye good location ndani ya Goba Kulangwa. size of plots A 1.sqm 400- 26m (negotiable) 2.sqm 400 again ikiwa na nyumba ndogo-27m (negotiable) 3.sqm 700_30m (negotiable) -Hati inatolewa kwa jina lako ila vyote vimepimwa -MAJI yapo -UMEME upo size of plots...
  16. JamiiForums Tanzania Baba Mkwe kapanga kunipa zawadi ya nyumba, viwanja na pesa za mtaji kama zawadi nikimuoa binti yake. Tatizo nimepoteza hisia na binti yake

    Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwa mara ya kwanza masomoni UBELGIJI miaka 6 iliyopita, nilimpenda sana na kwa kweli tuliishi nae mda mrefu bila kukwichikwichi kutokana na misimamo yake... Huyu mdada kwetu anajulikana na kila ndugu wa karibu na hata kwao najulikana na wote...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
  18. JamiiForums Tanzania Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

    Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali. Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ilala: Kesi ya viwanja ya wanaCCM Masunga na Abdallah Bulembo yapigwa kalenda

    Kesi ya jinai inayomkabili mfanyabiashara ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UWT-CCM Wilaya ya Kinondoni, Frolence Masunga (45) mkazi wa Kimara Suka jijini Dar es Salaam imeahirishwa tena. Kesi hiyo imetajwa kwa mara ya pili leo Machi 9,2020 ambapo ilishatajwa kwa mara ya kwanza Januari...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli jenga viwanja vya michezo kama vya majiji ya Mwanza, Arusha, Tanga na Mbeya

    Nimewaza na kuona ni vema tumuombe RAIS wetu wa JMT, pesa kwa ajili ya ujenzi wa viwanja vya michezo kwa majiji ya Mwanza, Arusha, Tanga na Mbeya. Najua DODOMA tulipata ofa za wahisani. Naomba na kushauri hivyo maana namna ya kukuza michezo kwa ngazi za kimataifa ni kuwa na miundo mbinu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…