Phone4Sale Viwanja Kibaha mjini vinauzwa bei nafuu

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
962
987
Kampuni ya Drone Ads inakutangazia wewe unayependa kujenga maeneo jirani na kitovu cha mji, kwamba inauza viwanja 150 vilivyopimwa vilivyopo nyuma ya stendi kuu ya Kibaha, eneo la Pangani kilomita 1.5 toka stend, karibu kabisa na hospital ya wilaya Kibaha. Hivyo huduma zote muhimu zipo.

Viwanja vinaanzia ukubwa wa mita za mraba 350 ambayo bei ni elf kumi na mbili (12,000) kwa kila mita ya mraba. Kwa wewe ambaye utawahi kulipia malipo ya awali ndani ya mwezi June 2020 utapata punguzo na kulipa elf kumi tu (10,000) kwa kila mita ya mraba. Malipo ya kiwanja unaweza lipa yote kwa pamoja au kwa awamu tatu ndani ya miezi sita (nusu mwaka) Kwa wikii hii vimebaki viwanja 102

Piga simu 0713039875 kupata taratibu za kuwahi kiwanja (booking) , kuvitembelea na malipo.

Kizuri zaidi, ukilipia ,tutakuunganisha na kampuni ya ujenzi kwa malipo ya awamu.

WhatsApp Image 2020-06-10 at 6.49.11 PM.jpeg

WhatsApp Image 2020-06-10 at 6.49.14 PM.jpeg

WhatsApp Image 2020-06-10 at 6.49.16 PM.jpeg
stend.PNG
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2020-06-10 at 6.49.09 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2020-06-10 at 6.49.09 PM.jpeg
    73.9 KB · Views: 6

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
12,991
18,537
Mbona mnapandisha sana bei kwa maeneo ya ajabu ajabu. Kigamboni hapo bei ya mita ya mraba ni elfu nane halafu Kibaha tena Pangani huko mnataka kutuuzia kwa elfu kumi na mbili.

Subirini labda miaka 10 ijayo ndio patakuwa pameendelea labda kuuza hata elfu 8 sio kipindi hiki. Nimepita juzi tu kule kwenye ile njia ya kutokea Baobab hamna kitu kule. Samahani lakini
 
Mkuu punguza hasira!!! Yaani hospitali ya wilaya ijengwe porini ?? Stend ya mkoa iwe kilomita 1.5 toka porini? Karibu upate kiwanja
 
Wala sina hasira nimeeleza tu kwa kuwa nayajua sana hayo maeneo nadhani kuliko wewe. Mzee wangu alikuwa na shamba huko jirani na shamba la mzee Matiko.

Anyway sijaongea ili kuchafua biashara ila nimeangalia hali halisi na hiyo bei kwa eneo hilo. Hospitali sio issue mbona Mloganzila imejengwa maporini huko hata tulikuwa hatupajui wengine
 
black hawk87

JF-Expert Member
Jan 25, 2020
678
1,226
Mbona mnapandisha sana bei kwa maeneo ya ajabu ajabu. Kigamboni hapo bei ya mita ya mraba ni elfu nane halafu Kibaha tena Pangani huko mnataka kutuuzia kwa elfu kumi na mbili.

Subirini labda miaka 10 ijayo ndio patakuwa pameendelea labda kuuza hata elfu 8 sio kipindi hiki. Nimepita juzi tu kule kwenye ile njia ya kutokea Baobab hamna kitu kule. Samahani lakini
Mkuu nimezaliwa huko nimekulia huko pangani ya miaka hyo sio ya Sasa huko kwa kina matiko siko kwa Sasa upajuavyo wewe kwa Sasa kuanzia loliondo uelekeo wa kwenda huko Hadi pangani kuko vizuri Sana sema labda apunguze Bei kidogo ila kwa watu wanao htaji makaz weng wanatoka dar wanahamia huko na huko ndiko mji unakoelekea kwa Sasa kwa kibaha baada ya kuvunja soko na stend nakuhamishia huko na central polis kuwa huko ndiko Kuna fanya watu kupandisha Bei

Tunapoangalia makaz Bora

Kwanza kuwe na

Ulinz
Barabara
Hospital facilities
Umeme
Maji

Hv ndio vya msingi hata Kama kukiwa polini
 
Uko sahihi, huduma zote zipo. Pia kwa wana JF, ntawashushia Mia tano kwa kila mita ya mraba
 
funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
12,991
18,537
Mkuu nimezaliwa huko nimekulia huko pangani ya miaka hyo sio ya Sasa huko kwa kina matiko siko kwa Sasa upajuavyo wewe kwa Sasa kuanzia loliondo uelekeo wa kwenda huko Hadi pangani kuko vizuri Sana sema labda apunguze Bei kidogo ila kwa watu wanao htaji makaz weng wanatoka dar wanahamia huko na huko ndiko mji unakoelekea kwa Sasa kwa kibaha baada ya kuvunja soko na stend nakuhamishia huko na central polis kuwa huko ndiko Kuna fanya watu kupandisha Bei

Tunapoangalia makaz Bora

Kwanza kuwe na

Ulinz
Barabara
Hospital facilities
Umeme
Maji

Hv ndio vya msingi hata Kama kukiwa polini
Sijabisha kuhusu kukua kwa hiyo sehemu ila sio kwa hiyo bei kwa mita ya mraba. Maeneo mengi yameendelea maana hata Mwanalugali leo ni kuzuri wakati Enzi zile kulikuwa kjijini. Pale kwa jinsi nilivyopaona bei inatakiwa kuwa 5500 mpk 8000 kwa mita ya mraba
 
IQup

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
746
973
Mikumi centre mita moja wanauza buku jero (1500)....., kwa elfu kumi nitakuwa nimepata mita za mraba kama 6 na nusu hivi. Mimi hata sina hela ya kununulia udongo msimu huu, usiwaze mto mada
 
sindesunde

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
358
343
Kampuni ya Drone Ads inakutangazia wewe unayependa kujenga maeneo jirani na kitovu cha mji, kwamba inauza viwanja 150 vilivyopimwa vilivyopo nyuma ya stendi kuu ya Kibaha, eneo la Pangani kilomita 1.5 toka stend, karibu kabisa na hospital ya wilaya Kibaha. Hivyo huduma zote muhimu zipo.

Viwanja vinaanzia ukubwa wa mita za mraba 350 ambayo bei ni elf kumi na mbili (12,000) kwa kila mita ya mraba. Kwa wewe ambaye utawahi kulipia malipo ya awali ndani ya mwezi June 2020 utapata punguzo na kulipa elf kumi tu (10,000) kwa kila mita ya mraba. Malipo ya kiwanja unaweza lipa yote kwa pamoja au kwa awamu tatu ndani ya miezi sita (nusu mwaka) Kwa wikii hii vimebaki viwanja 102

Piga simu 0713039875 kupata taratibu za kuwahi kiwanja (booking) , kuvitembelea na malipo.

Kizuri zaidi, ukilipia ,tutakuunganisha na kampuni ya ujenzi kwa malipo ya awamu.

View attachment 1474706

View attachment 1474712

View attachment 1474713 View attachment 1474715
samahani mita za mlaba ndio ukubwa gani huo wengine hatukuwahi kwenda shule
 
Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
962
987
samahani mita za mlaba ndio ukubwa gani huo wengine hatukuwahi kwenda shule
sindesunde : sawa, mfano kiwanja Cha mita 20 urefu( wengine huita miguu 20) kwa mita 20 upana, hapo tunaita kiwanja kina ukubwa wa mita za mraba 400. Kwa hiyo kila mita moa ya mraba ni elf kumi, hapo zidish elf kumi Mara 400, gharama ya kiwanja utakuja milioni 4. Karibu
 
G.Jacob

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
3,622
3,450
Mikumi centre mita moja wanauza buku jero (1500)....., kwa elfu kumi nitakuwa nimepata mita za mraba kama 6 na nusu hivi. Mimi hata sina hela ya kununulia udongo msimu huu, usiwaze mto mada
Mikumi Morogoro ama unamaanisha kwengineko?
 
sindesunde

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
358
343
sindesunde : sawa, mfano kiwanja Cha mita 20 urefu( wengine huita miguu 20) kwa mita 20 upana, hapo tunaita kiwanja kina ukubwa wa mita za mraba 400. Kwa hiyo kila mita moa ya mraba ni elf kumi, hapo zidish elf kumi Mara 400, gharama ya kiwanja utakuja milioni 4. Karibu
nimekusoma mkuu kwa hiyo naomba hii fursa itunufaishe wote sasa kama naitaji kiwanja labda cha ml6 natakiwa nainze na shilingi ngapi na iliyo baki nalipaje ndani ya miezi 6 na muda nalipa deni hakutokua na riba yoyote naomba unijuze kwa sasa niko mlandizi naweza angalia hiyo fursa!
 
sindesunde

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
358
343
kule kuna shida ya maji hatari
Mie sio mwenyeji sana na mkoa wa pwani ila kibaha ilichelewa kuendelea kwa hiyo suala la maji sio tatizo maana hapo ndio yanapopita maji ya kwenda ktk ya jiji nashukuru toka nimekuja ukanda wa pwani baadhi ya vitu naona rahisi tofauti na kwetu kaskazini.tena nikikumbuka viwanja vya pale bulka kisongo sina hamu ila pwani morogoro tanga nikipata chance na vuta eneo tu
 
Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
962
987
nimekusoma mkuu kwa hiyo naomba hii fursa itunufaishe wote sasa kama naitaji kiwanja labda cha ml6 natakiwa nainze na shilingi ngapi na iliyo baki nalipaje ndani ya miezi 6 na muda nalipa deni hakutokua na riba yoyote naomba unijuze kwa sasa niko mlandizi naweza angalia hiyo fursa!
Riba hamna hata shilingi. Unaweza lipa kila mwezi milioni moja ,kwa miezi 6, Deni kwisha unaanza mkataba wa kujengewa kwa awamu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom