Senegal imemzawadia kila mchezaji wa timu ya taifa ya kandanda zawadi ya pesa taslimu na mashamba kufuatia ushindi wao katika Kombe la Mataifa ya Afrika.
Kila mchezaji wa timu alipokea zaidi ya $87,000 (zaid ya TSH milioni 200) na kiwanja katika mji mkuu, Dakar, na katika mji jirani wa...