Uzi wa kuunganishana na viwanda nje na ndani ya Tanzania vinayouza bidhaa za jumla kwa bei nafuu

Zillion

JF-Expert Member
May 15, 2017
1,358
1,807
Wandugu nimeona nilete uzi huu ili tupate kujuzana viwanda mbalimbali tunakoweza kununua vifaa/ bidhaa mbalimbali kwa bei za jumla.

Bidhaa mfano:

Vifaa vya ujenzi
Vyombo
Vifaa vya simu
Vifaa vya usafi
Pembejeo za kilimo
Furniture
Nguo
Simu
Spair parts
Nk

Nawakaribisha wenye viwanda na wahitaji watujuze na wale waliowahi kununua bidhaa viwandani watujuze.
 
Vifaa vya ujenzi...mifugo na viungo vya chakula wafike hapa ktupa behi za viwandai kwa jumla.
 
Huu uzi hautembei kabisa, nahitaji kujua kiwanda cha kuuza mifuko ya viroba especially ile inayowekea viazi mviringo.
 
Hyo msahau kama kuna atakae toa connection Hzo halafu mkishaambiwa wote mkajazane huko yy atamuuzia nani.
Kaka biashara in nguvu ya soko, kama wote tukijazana huko na wote sokoni tunafanya vzr ttz liko wapi? Kumbuka kuwa tunapojazana huko tuyapunguzwa naMarket Force.
 
Kaka biashara in nguvu ya soko, kama wote tukijazana huko na wote sokoni tunafanya vzr ttz liko wapi? Kumbuka kuwa tunapojazana huko tuyapunguzwa naMarket Force.
Sasa wewe mteja wangu ukija nnakuuzia kitu kwa elf 5 halafu nikuelekeze kinapouzwa kwa elf 1 ntakupata tena hyo ndio sababu hawawezi kukupa connection
 
Pia na vifaa vya umeme navyo ni muhimu sana. Ikibidi hata kama kuna maduka ya jumla yanayouza kwa bei nafuu bidhaa hizo.
TRONICS, wako mtaa mitaa ya Morogoro Road pale karibu na KISUTU, wazee wa KKOO wanaenda kuchkua mzigo pale, then wanaenda kuuza.
 
Back
Top Bottom