Halima Mungereka: Hii pesa inayotumika kuwanunua/kuwatesa wapinzani Haiwezi saidia viwanda vya sukari kukidhi mahitaji na kuzalisha ziada?

Brightg

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
373
660
Hii pesa inayotumika kuwanunua wapinzani na inayotumika kisiasa kuwatesa wapinzani Je, haiwezi kusaidia viwanda vya sukari kuzalisha kukidhi mahitaji ya ndani na kuzalisha ziada?

Nchi kama Uganda ndio ya kuisaidia Tanzania Sukari na hawajawahi kuwa na uhaba wa sukari, je wao ndio wanayo mahitaji ya matumizi ya sukari kidogo zaidi yetu?

badala yake sisi ndio tungesaidia nchi za africa mashariki sukari maana tuna ardhi yenye rotuba na kuzalisha miwa kwa uzingi sana, Hii sukari inaonyesha kuwa ni sehem ya kusaidia kukua kwa uchumi wa nchi, huenda wengine hatujaona hivyo.

Tungekuwa mbali sana kama tungewekeza fedha hiyo kwenye maendeleo ya watu. Nchi hii CDM inaogopwa mno yaani mzee halali usiku kuna mamia wanazunguka mchana kutwa kuua upinzani.
 
Back
Top Bottom