KERO Askari Magereza Feki Anatumia Vitisho na Matukano

KERO Askari Magereza Feki Anatumia Vitisho na Matukano

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
POLISI MNISAIDIE KUNA HII NAMBA 0681317339 TANGU JANA ANAMTISHIA NDUGU YANGU.

KAJITAMBULISHA NI ASKARI MAGEREZA. TANGU JANA ANAMSUMBUA. PAMOJA NA KUMPIGIA NA KUMUONYA KISTAARABU BADO KAENDELEA KUTOA MATUSI NA KUSEMA YEYE HAOGOPI YEYOTE NA MATUSI JUU.

WATU KAMA HAWA NDIO WANAOCHAFUA TASWIRA YA NCHI MATOKEO YAKE LAWAMA ZINAPELEKWA KWA UONGOZI WA JUU.
 
Back
Top Bottom