Tetesi: CHADEMA, Heche na Red Brigade: Vitisho Katoro

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
315
Reaction score
308
ATTENTION: Kuna mpango wa CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake John Heche kuhusu kuwatumia vijana Redbrigade kutoka Musoma, Tabora na Kigoma kufanya vurugu eneo la Katoro ili kuwatisha wafanyabiashara wa Katoro wafunge maduka yao ili waende wakahudhurie mkutano wao.

Inaelezwa kuwa asubuhi ya leo na wiki nzima tangu Jumatatu, kuna vijana wa CHADEMA wanapita kwenye maduka ya wafanyabiashara wakiwataka wachangie 20K kila mmoja ili kuwezesha mkutano wao na kunogesha ujio wa Makamu Mwenyekiti ili ionekane amepata mapokezi makubwa kama inavyokuaga Simba na Yanga.

maelekezo ya Makamu Mwenyekiti John Heche ni kuwa yeyote ambaye hatachangia na kufunga Duka siku ya mkutano basi watamuweka kwenye kilengeo na watahakikisha anapata hasara kwenye duka lake baada ya mkutano kuisha na hadi sasa wafanyabiashara karibia 50 wamepokea hivyo vitosho vya kuchangia na kufunga maduka yao japo wanaamini
20260516_114439.jpg
.
 
ATTENTION: Kuna mpango wa CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake John Heche kuhusu kuwatumia vijana Redbrigade kutoka Musoma, Tabora na Kigoma kufanya vurugu eneo la Katoro ili kuwatisha wafanyabiashara wa Katoro wafunge maduka yao ili waende wakahudhurie mkutano wao.

Inaelezwa kuwa asubuhi ya leo na wiki nzima tangu Jumatatu, kuna vijana wa CHADEMA wanapita kwenye maduka ya wafanyabiashara wakiwataka wachangie 20K kila mmoja ili kuwezesha mkutano wao na kunogesha ujio wa Makamu Mwenyekiti ili ionekane amepata mapokezi makubwa kama inavyokuaga Simba na Yanga.

maelekezo ya Makamu Mwenyekiti John Heche ni kuwa yeyote ambaye hatachangia na kufunga Duka siku ya mkutano basi watamuweka kwenye kilengeo na watahakikisha anapata hasara kwenye duka lake baada ya mkutano kuisha na hadi sasa wafanyabiashara karibia 50 wamepokea hivyo vitosho vya kuchangia na kufunga maduka yao japo wanaaminiView attachment 3589483.
Screenshot_20260514-220943~2.png
 
maskini,
cheki kwa mfano huyu mdada mfuata mkumbo hapo kwenye picha, eti nae ni redbrigade.

hapo anajiandaa kupelekea huzuni kwa wazazi na familia yake.

Ama kwa hakika,
watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa is real 🐒
 
ATTENTION: Kuna mpango wa CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake John Heche kuhusu kuwatumia vijana Redbrigade kutoka Musoma, Tabora na Kigoma kufanya vurugu eneo la Katoro ili kuwatisha wafanyabiashara wa Katoro wafunge maduka yao ili waende wakahudhurie mkutano wao.

Inaelezwa kuwa asubuhi ya leo na wiki nzima tangu Jumatatu, kuna vijana wa CHADEMA wanapita kwenye maduka ya wafanyabiashara wakiwataka wachangie 20K kila mmoja ili kuwezesha mkutano wao na kunogesha ujio wa Makamu Mwenyekiti ili ionekane amepata mapokezi makubwa kama inavyokuaga Simba na Yanga.

maelekezo ya Makamu Mwenyekiti John Heche ni kuwa yeyote ambaye hatachangia na kufunga Duka siku ya mkutano basi watamuweka kwenye kilengeo na watahakikisha anapata hasara kwenye duka lake baada ya mkutano kuisha na hadi sasa wafanyabiashara karibia 50 wamepokea hivyo vitosho vya kuchangia na kufunga maduka yao japo wanaaminiView attachment 3589483.

Mwendawazi.u pekee ndiye ataamini jili andiko la kiwendawazimu.
Heche awatishe wafanyabiashara! Anatisha kwa kutumia nini?

Jaya mambo huwa yanafanywa na CCM kwa kutumia TRA na polisi.
 
ATTENTION: Kuna mpango wa CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake John Heche kuhusu kuwatumia vijana Redbrigade kutoka Musoma, Tabora na Kigoma kufanya vurugu eneo la Katoro ili kuwatisha wafanyabiashara wa Katoro wafunge maduka yao ili waende wakahudhurie mkutano wao.
Ma CHAWA wa ccm na uongo ni kama uji na mgonjwa
 
ATTENTION: Kuna mpango wa CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake John Heche kuhusu kuwatumia vijana Redbrigade kutoka Musoma, Tabora na Kigoma kufanya vurugu eneo la Katoro ili kuwatisha wafanyabiashara wa Katoro wafunge maduka yao ili waende wakahudhurie mkutano wao.

Inaelezwa kuwa asubuhi ya leo na wiki nzima tangu Jumatatu, kuna vijana wa CHADEMA wanapita kwenye maduka ya wafanyabiashara wakiwataka wachangie 20K kila mmoja ili kuwezesha mkutano wao na kunogesha ujio wa Makamu Mwenyekiti ili ionekane amepata mapokezi makubwa kama inavyokuaga Simba na Yanga.

maelekezo ya Makamu Mwenyekiti John Heche ni kuwa yeyote ambaye hatachangia na kufunga Duka siku ya mkutano basi watamuweka kwenye kilengeo na watahakikisha anapata hasara kwenye duka lake baada ya mkutano kuisha na hadi sasa wafanyabiashara karibia 50 wamepokea hivyo vitosho vya kuchangia na kufunga maduka yao japo wanaaminiView attachment 3589483.
Zack ,umeshindwa Twitter sasa uwongo wako unaleta huku😰
 
Ila Red Brigade si ilishapigwa marufuku?
Kwani UVISISIEM imepigwa marufuku na maovu yao yote.

Bara ni ya wabara sio wahamiaji kutoka asili ya waarabu.
Bara ni ya wabantu sio waarabu.

Tunaipigania Bara yetu.
 
ATTENTION: Kuna mpango wa CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake John Heche kuhusu kuwatumia vijana Redbrigade kutoka Musoma, Tabora na Kigoma kufanya vurugu eneo la Katoro ili kuwatisha wafanyabiashara wa Katoro wafunge maduka yao ili waende wakahudhurie mkutano wao.

Inaelezwa kuwa asubuhi ya leo na wiki nzima tangu Jumatatu, kuna vijana wa CHADEMA wanapita kwenye maduka ya wafanyabiashara wakiwataka wachangie 20K kila mmoja ili kuwezesha mkutano wao na kunogesha ujio wa Makamu Mwenyekiti ili ionekane amepata mapokezi makubwa kama inavyokuaga Simba na Yanga.

maelekezo ya Makamu Mwenyekiti John Heche ni kuwa yeyote ambaye hatachangia na kufunga Duka siku ya mkutano basi watamuweka kwenye kilengeo na watahakikisha anapata hasara kwenye duka lake baada ya mkutano kuisha na hadi sasa wafanyabiashara karibia 50 wamepokea hivyo vitosho vya kuchangia na kufunga maduka yao japo wanaaminiView attachment 3589483.
Utter nonsense!
 
Kwani UVISISIEM imepigwa marufuku na maovu yao yote.

Bara ni ya wabara sio wahamiaji kutoka asili ya waarabu.
Bara ni ya wabantu sio waarabu.

Tunaipigania Bara yetu.
Uvccm si sawa na red brigade labda ungesema Uvccm vs bavicha, vikundi vya uasi na vya kuchochea vita vinaanzaga kama hii red brigade ya chadema!!
 
Back
Top Bottom