Leo sina mengi ,ila imani ya Mungu ikawe juu yenu wanajf kila mmoja kwa imani yake.
Yupo huyu Bwana aliekua CHADEMA Yeriko Nyerere.
1.Akome jiita Nyerere , maana kwanza sio mtoto wa Nyerere ,maana ukoo ulisha tamka, akihusishwa na yule mwingingine ambae watu wanamlalamikia ( ajifunze kwa ndugu...
🍞 JE, UNATAKA KUTENGENEZA VITAFUNWA VYA BIASHARA?
Kitabu hiki kinakuonesha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza vitafunwa vitamu vinavyouzwa sana kama:
✅ Maandazi
✅ Chapati
✅ Vitumbua
✅ Halfcake
✅ Kababu za mayai
na vingine vingi!
📘 Softcopy PDF – Toleo la 1
💰 Bei: TZS 15,000
📱 WhatsApp: 0612...
Kumbe SSH na Kijani ndio wanahusika na "mene, mene, tekeli, na peresi" na Mnala wa BABELI....Maanake nashangaa sasa Kijani wameanza kuchanganyikiwa.
Asante Rev. Hon Dr. Gwajima, Asante Basila Mwanakuzi, Asante Msanii uliyemshauri Mama...Asante Pia na Mwenezi wa Kinondoni maana ulifikiri...
Atomic Habits ni kitabu kinachoeleza jinsi tabia ndogo sana ambazo hufanywa kila siku zinavyoweza kuleta mabadiliko makubwa katika maisha ya mtu. Badala ya kulenga mafanikio makubwa mara moja, mwandishi anashauri kuanza na hatua ndogo lakini thabiti. Anasisitiza kuwa mafanikio ya kweli...
Aisee nyiee!!
Huu mwaka nimejikuta nasoma vitabu viwili vya zamani ambavyo naamini kila mtu amewahi kuvisoma, lakini hivi vitabu ukisoma neno kwa neno, mstari kwa mstari, ukisoma kwa kutafakari na kuhusianisha na maisha halisi ya mtaani hskika utagundua mambo mengi yakushangaza sana
Cha pili...
Kama unatafuta vitabu vya kujifunza siri za utajiri, kujenga mali, na mafanikio ya kifedha, hapa kuna baadhi ya vitabu maarufu na vya thamani vinavyoshughulikia mada hii:
### 1. Vitabu vya Klasiki kuhusu Utafiti na Uwekezaji
- "The Richest Man in Babylon" – George S. Clason
(Mtu Mjakazi...
Ukihitaji kununua softcopy ya vitabu hivi tafadhali wasiliana nasi kwa WhatsApp 0737317870 au jambojambo633@gmail.com
Personal Finance Books.
The Total Money Makeover – Dave Ramsey
→ Kinaeleza mfumo wa hatua kwa hatua wa kudhibiti madeni, kuokoa pesa, na kujenga utajiri kwa nidhamu kali ya...
Shalom, Salam alaikum.
Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu).
Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito).
Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa...
Endapo unahitaji vitabu (Softcopies) tafadhali wasiliana nasi kwa WhatsApp 0737317870 au barua pepe jambojambo633@gmail.com
Unaweza kujiunga na group la WhatsApp kwa kugusa link.
https://chat.whatsapp.com/GeMQxtUquSY6VEEejW7FwO
HABARI 👋JIPATIE VITABU VYA AVIATION NA VYA PHYSICS KWA NJIA HII 👇
I have compiled an essential list of Physics and Aviation books that you need to explore. You can easily search for these topics using this chat bot 👉Karabo | Vitabu Dhahabu. Don’t hesitate to reach out about any of these genres...
Hello 👋
I have compiled an essential list of Physics and Aviation books that you need to explore. You can easily search for these topics using this chat bot 👉Karabo | Vitabu Dhahabu. Don’t hesitate to reach out about any of these genres available in our inventory.
Mdau ahoji imekuwaje watu wamefanikiwa kutafsiri vitabu vya dini kuja kwenye lugha mbalimbali hili kila mtu allowe, lakini vitabu vya maarifa ya dunia kama Vya kijeshi, kiuchumi, kimatibabu, kisayansi na viinginevyo vyenye kumsaidia mwanadamu kuishi na mazingira havijatafsiriwa, yani vimebaki...
Niongee machache kuhusu vitabu vya dini.
Tuna dini kubwa tatu maarufu duniani ambazo ni Ukristo (Christianity), Uislamu (Islamic) na Uyahudi (Judaism)
Dini hizo zote zina vitabu vyake vitakatifu.
Biblia Takatifu kwa Wakristo, Quran Tukufu kwa Waislamu na Tanakh kwa Wayahudi.
Tanakh ni Biblia...
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyoandikwa na waandishi mbalimbali kwa muda wa takriban miaka 1,500, lakini vyote vina ujumbe mmoja unaotuelekeza kwa Mungu na jinsi ya kupata wokovu kwa njia ya Yesu Kristo.
Biblia imegawanyika katika sehemu kuu mbili:
Agano la Kale – Linaeleza uumbaji wa...
Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu?
Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc...
Wakubwa wenye vitabu vya Biashara na maisha tukutane hapa ili kupata ujuzi wa kuendesha biashara kama unakitabu chako Upload watu wakipate
Naomba kusilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.