Mwaka 2009, Sweden ilichagua kuondoa matumizi ya vitabu na badala yake kutumai computer shuleni. Sasa baada ya miaka 15, imeamua kutenga kiasi cha euro milioni 109 ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni.
Wamegundua kuwa matumizi ya computer kama mbadala wa vitabu unawacosha wa toto na kuondoa ubunifu hivyo wameamua kurejesha matumizi ya vitabu vilivyochapishwa darasani.
Wanadai vifaa vya kidijitali kuna wakati vinawafanya wanafunzi wapoteze uwezo wa kuzingatia badala ya kusoma wanachotakiwa wanahamia kwenye michezo na vitu vingine.