Vita na Iran inahitaji akili za mwendawazimu

muqawama

Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
41
Reaction score
183
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wiki hii imezindua mfumo wa Makombora yenye kuhamishika (mobile) ya Ulinzi yaliyopewa jina Bavar-373. Makombora haya yanetengenezwa Tekinolojia ya ndani ya Taifa hilo na kwaa mikono ya raia wazalendo wa Iran bila kushirikisha Taifa lolote la nje.

Uwezo wake:

Makombora yameundwa kuweza kuzuia na kuangamiza kombora/ndege linaloingia kwenye Anga yake. Mfumo huu unatumia makombora yenye uwezo kusafiri masafa ya umbali wa Kilometa 300.

Mfumo huu unauwezo ndani ya wakati mmoja kugundua shabaha 300 na kufuatilia zingine shabaha 60 kwa mara moja na papo hapo kushambulia shabaha Sita kwa muda huo huo.

Kwa mujibu wa Jeshi la Iran. Kwa upana wa masafa hayo mfumo huu wa ulinzi wa Anga, tunaweza kugundua ndege au shabaha umbali wa kilometa zaidi ya 300, kuziweka katika shabaha zikiwa umbali wa Kilometa 250 na kuziangamiza zifikapo kilometa 200.

Ili unielewe vizuri kwa mazingira yetu.

Mfumo huu wa makombora ukifungwa Dar es salaam utaweza kuona ndege au Kombora la Adui likiwa Mkoa wa Dodoma (zaidi ya Km 300) na kuifunga katika shabaha (lock target) itakapofika katikati ya dodoma na Morogoro (Dumila 250km) na hatimaye kuishambulia kuingamiza Ndege/kombora hilo la Adui litakapofika mkoa wa morogoro (200km) mbali na Dar es salam

Wenye ndoto ya kuishambulia Taifa la kiislamu la Iran...waamke kwani alfajiri ishaingia wasijelijaza kojo kitandani[emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23]*

IMG-20190822-WA0031.jpeg
IMG-20190822-WA0030.jpeg
IMG-20190822-WA0029.jpeg

IMG-20190822-WA0027~2.jpeg
 
Sio propaganda ni kweli ikitaka kujua Iran ni nchi ya tofauti na inavyo ongewa ingia yutubu uone jinsi gani ilivyo jijenga kwa upande wa miundo mbinu mpaka utaionea wivu.
Na wwe ndo mwskiloshi wao umu ndani na ndo unaipigia upato au ivi hawa wairani wameshafikish ata robo ya siraha alizokuwa nazo hitiler n Musolin plus mjapan Lakini je unajua kilichowakuta sometimes mkiongea muwe mnabakish Ata maneno kidogo ili kesho myatumie kM backup yenu waulize Naz8 , Musolin n japani kilicho wakuta alafu unaiambie uyo iran je amefikisha ata robo ya siraha ambazo iyo miamba ilikuwa nazo?
 
Sio kila siku ni jumapili dunia imebadrika hii amkaa

Mimi nimeandika kingine na we we unandika kingine sasa unategemea tutaelewana kweli?
 
Sio kila siku ni jumapili dunia imebadrika hii amkaa
Siyo kila siku jumapili kivipi wakati statistic ndo zinazoongea mzee apa sio porojo weka siraha alizo nzo Irani alafu nami niweke mzigo aliokuwa nao mjapani achalia mbali hitler na Musolin alafu uone uyo jamaa jinsi mnamsfia ujinga ndo maana Wenye akilo zO wamenyamaza kimya
 
Usiangalie quantity angalia quality mzee baba.
Iran now ana vitu quality.
Ukisema hvyo hiyo Japan ilikua ina jeshi lenye nguvu kuishinda China now uliza Japan akimchokonoa China atapewa kipigo cha aina gani.
Halafu angalia sababu zilizofanya Mussolin na Hitler washindwe haizendan na sababu za Iran kabbisa.
 
Ukiwa umetumia SI unit gani kusema kwamba China atamchakaza mjapana au kwa sababu China ni mtu wa kujitangaza kila akifanikiwa kuunda kirocket kimoja wakati mjapan anaunda silaha zake kimya kimya na kwa taarifa yako China hamiwezi mjapani ata kwa panga sema wajapani sio watu wa kubonga bonga mzee
.
alafu unazungumzia quality unazijua silaha alizokuwa nazo hitler na mjapan kipindi kile yale ndo amataifa ya kwanza kuwa na Advanced and sophiscated missles dunia nzima ndo mataifa ya kwanza kuwa na mavifaru yenye speed za ajabu ambayo yako mo frexible ajabu ndo wa kwanza kuwa na advanced ant ship missiles ndo wa kwanza kuwa na sophiscated ant jet fighter missles ndo wa kwanza kuwa supersonic jet fighter achilia mbaki marocket na mabomu ya ajabu ajabu yenye mauwezo ya ajabu ushawahi kufahamu historia ya advanced fighert boat and ship za kwanza duniani ambazo zilikuwa na teknolojia ya ajabu basi basi izo mashine mjeruman ndo mtu wa kwanza kutumia fighter boat ambazo zilijulikana kama U boats izi zilikuwa ni hatari mzee pamoja na meli zake pia ziliitwa U ship hizi zilikuwa ni shida

alafu ni kwamba hawa mazee walikuwa na hayo mavitu in billions of number kifupi hawa watu watatu Musolin Hitler na Yamamoto walikuwa na silaha hatari sana ambazo zilikuwa quality mno na pia wakiwa na quantity kubwa mno ya izo silaha boss so acheni kumdanganya na kumsifia ujinga Iran still Iran ni nchi ya kawaida mno kijeshi kiuchumi na kivita hana tofauti na nchi kama Ecudor ama venezuela
 
Nimeamin unaongea kiuhemko au kwa kumezeshwa.
Yote unaoyaongea mm nayafaham.
Kumbuka kuwa technology inakua.
Na kila siku vitu huboreshwa.

Halafu usiseme China hamuwez Japan ilhali mtengenezaji submarines bora za vita ni China.
Na nan kakwambia China anajitangaza???!!!!
China ana secret weapons hazijafahamika ni za aina gani.
Achilia mbali zile nuclear ballistic missiles za Dongfeng.
Embu nenda kamsome yule macho kuvimba asee umfaham vema.
Usilete mambo ya zaman na sasa.
Huyo Yamamoto wako kelele kibaaaao kapewa atomic bomb mbili kaufyata.

Unapoizungumzia nchi kama Iran itizame na history yake kidogo nyuma tu hapo.
Iran miaka ya 1970s aliipindua serikali yao na kuunda serikali ya Kiislam.
Jeshi lao bado halijahimarika mara ghafla suddenly wakaingia ktk iran-iraq war(persian gulf ) war miaka nane yule fala ndio kwanza ana lile jeshi alilofanyia nalo mapinduzi ila iraq ana jeshi kamili lililoshehen silaha mpk za mmarekan uliza hao Iraq walivyochakazwa mpk wakaamua kukaa mezan mzozo uishe, alikua anaingiliwa mpk kwake huyo Iraq.
Wee huyo Japan alikua na allies wake kama Germany,Italy na bado wakachezea mbele ya Great Britain,France na USA.
Ila Iran anawekewa vikwazo km vyote na anavivuka.
Hiyo miaka nane vita alizopigana ni experience tosha ht US yenyewe haikuwahi pigana miaka nane mfururizo.

Embu tumtizame huyu Iran unayembeza kawafanya nn mabeberu white pogs ;
1)kipindi cha Obama zilipelekwa drone 4 za kijeshi Iran, zilishushwa na kuwekwa uwanja wa ndege pasi na kuleta athari.
2)In Obama's regime US-navy wapatao 30 walikamatwa na Iran revolutionary guards ktk manowari 10 kilometers kabla hawajafika Iran marine boarders wakiwa full bullet loaded.
3)2019 spy drone yenye gharama kuliko F-35 fighter jet imepasuliwa na mfumo wa ulinzi wa makombora wa iran khordak .

Basi hayo ni matukio yake yeye binafsi basi tuchukue na yale matukio ya kuhusisha makundi mengine.
1)2006 Israel-Lebanese war Israel walipata sana taabuuu kwa Hizbollah ambayo ilikua ikisaidiwa na Iran.
2)2015 kuna mashambulizi yalifanyika kwa Israel Hizbollah aki claim kuhusika ambayo mpk sasa kina Ayatollah wanaisaidia na Israel kabaki kunung'unika tu.
3)Yemen kikundi cha khouthi nilitizama habari juzi juzi tu wamelipua ndege isiyo na ruban ya US na kushambulia wanajeshi wa saudia wanaoungwa mkono na US.Na hili kundi linasaidiwa na Iran halafu kumbuka ni kakundi tu.
4)Syria kina mossad wanaipata pata kwa msaada wa Iran na Russia akishiriki kwa kiasi.
Ila mtu anayesaidia vilivyo kwa hadi majeshi Syria ni Iran ona mabeberu wanavyotaabika huko Syria.

Embu muangalie huyo jamaa then mfananishe Na VENEZUELA ALOEKEWA VIKWAZO JUZI AKATETEREKA KIUCHUMI MPK KIUSALAMA DAKIKA HYO HYO NA IRAN YENYE MIAKA ZAIDI YA 20 IKIWA INA SURVIVE NDANI YA SANCTIONS.

Hapo wanakwambia that's just a tip of iceberg there are more than those.
Halafu hapo wanakuonesha missiles tu pasi na kukwambia ni za aina gani na uwezo wake.
Huyu jamaa muache.
MFANANISHE NA VENEZUELA.
 
Siyo kila siku jumapili kivipi wakati statistic ndo zinazoongea mzee apa sio porojo weka siraha alizo nzo Irani alafu nami niweke mzigo aliokuwa nao mjapani achalia mbali hitler na Musolin alafu uone uyo jamaa jinsi mnamsfia ujinga ndo maana Wenye akilo zO wamenyamaza kimya
Mjapani ulinzi anamtegemea USA hv juzi walikuwa na mipango ya kuongeza uwezo wa jeshi lao
 
Umesahau kama USA kasema alikua bado anaamin tu kama drone lake halionekani katika rada amemfumbua macho IRAN au hufikirii mara 2
Siyo kila siku jumapili kivipi wakati statistic ndo zinazoongea mzee apa sio porojo weka siraha alizo nzo Irani alafu nami niweke mzigo aliokuwa nao mjapani achalia mbali hitler na Musolin alafu uone uyo jamaa jinsi mnamsfia ujinga ndo maana Wenye akilo zO wamenyamaza kimya
 
aisee [emoji851][emoji851] kumbe iran mtam kiasi hicho
Baada ya kutunguliwa Drone la USA lenye thamini ya 131$milion kwa kombola 1 tu na ikiwa imezima mitambo yake ya kuonekana kwenye rada lakin muiran akaitungua hivyo hivyo USA ikabidi aseme ile dhana tulioweka kuwa droni hii haiwezi kuonekana kwenye rada inabidi tuifute .
 
Back
Top Bottom