vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya as vita kutolewa ,mazembe naye keshapigwa goal

    As vita a.k.a utopolo de kinshasa wametolewa na ka team kageni cha south africa kwenye kombe la shirikisho kaitwacho Garrants, mechi ya kwanza kapigwa 2-1 huko south africa ,pale kinshasa katoka 1-1 Kwa sasa Giant jingine la congo liko kikaangoni nyumbani kwao lubumbashi , tayari wako nyuma kwa...
  2. JamiiForums Tanzania UN: Watoto 10,000 wameuawa katika vita ya muda mrefu ya Yemen

    Zaidi ya watoto 10,000 wameuawa au kujeruhiwa nchini Yemen katika vurugu zinazohusiana na vita vya muda mrefu katika taifa hilo masikini. Msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na watoto, UNICEF, James Elder, amewaeleza waandishi wa habari kwamba takwimu zilizothibitishwa na Umoja...
  3. JamiiForums Tanzania TANU ya Nyerere waliwahi kupiga vita mawigi na vimini

    Serikali changa ya mwalimu Julias Kambarage Nyerere ilikabiliwa na changamoto nyingi sana. Mwalimu aliwahi kuainisha mojawapo ya changamoto kuu: Ujinga, Magonjwa, na Umaskini. Hata hivyo mnamo mwaka 1975 serikali ya TANU ilikaa kujadili juu ya kile walichoona kuporomoka kwa maadili. Vitu...
  4. JamiiForums Tanzania Ni vita kati ya Wapigakura na Walipakodi. Mwamuzi anawataka wote, ila mmoja zaidi

    .
  5. T

    JamiiForums Tanzania Vita vya kusaka nafasi ya Naibu Katibu Mkuu UVCCM bara vyapamba moto

    Vita vya kusaka nafasi ya Naibu katibu Mkuu UVCCM Bara vimepambana moto kwelikweli. Nafasi hiyo iko wazi baada ya aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo ndugu Galila Wabanhu kuondolewa katika nafasi hiyo kutokana na tuhuma kadhaa za kimaadili. kUTOKANA na vyanzo vya uhakika wafuatao wako vitani...
  6. JamiiForums Tanzania Macho yangu yanaona kama yako? CCM mnaenda kuanguka na anguko lenu ni kubwa sana

    Serikali ya CCM imepoteza dira na mwelekeo inaelekea shimoni inaenda kuanguka na anguko lake ni kubwa sana imepoteza mvuto inawatia hofu Watanzania masikini. Walianza na hofu ya internet, kwa maana ya Bando watu walichachamaa sana wakabadili gia angani baadaye tena wakaja na suala la Corona na...
  7. JamiiForums Tanzania Yemeni army target arms depots of Saudi mercenaries in Ma’rib

    Yemeni army soldiers, backed by fighters from allied Popular Committees, have launched a missile strike, targeting arms depots belonging to Saudi-sponsored militants loyal to Yemen's former president Abd Rabbuh Mansur Hadi south of the country’s central province of Ma’rib. Local sources...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Vita ya mboga

    Nyanja: Mahusiano (Siyo tukio halisi) Wateja wa mgahawa mmoja wa chakula unaoitwa Kowak 4 Star Motel ulioko Ingri-Juu Wilayani Rorya wamefikishwa kituo cha Polisi baada ya kupigana vibaya sana na kuharibu mali za mfanyabiashara wa mgahawa huo ndugu Mahende Koroso mzaliwa wa Bumera. Kwenye...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Uganda kuulipa mkoa wa Kagera fidia ya vita vya Kagera

    Nyanja: Utawala Bora/Mahusiano. (Hili tukio siyo halisi. Majina yametajwa katika mantiki na muktadha wa urithi wa kihistoria ambao unarithishwa vizazi hata vizazi kwa njia ya uandishi) Advocate Dr. Bishagazi Bishanga Bishaija Bashungwa LLB-Udsm, LLM-Uk, LLD-Usa, ameenda Umoja wa Mataifa...
  10. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha leo: Vita dhidi ya ugaidi

  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Vita ya Jirani na Utalii Tanzania

    VITA YA JIRANI NA UTALII TANZANIA Lazima tuingie gharama ili kuitangaza Tanzania na kuwavutia watalii Tanzania. Pamoja nan chi yetu kuwa na vivutio vingi vya utalii, yani vingi sana na nikivitaja hapa nitaishia kuvitaja tu hadi kuchoka kuandika, lakini ukweli ni kwamba tuna idadi ndogo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Taliban kimenuka, vita yanukia upya

    Afghanistan: Viongozi wa Taliban wazozana Ikulu, vyanzo vimeeleza Saa 3 zilizopita CHANZO CHA PICHA,AFP Mzozo mkubwa ulizuka kati ya viongozi wa Taliban kuhusu muundo wa serikali mpya ya kundi hilo nchini Afghanistan, maafisa wakuu wa Taliban wameiambia BBC. Mabishano kati ya mwanzilishi...
  13. JamiiForums Tanzania Ninachokiona ni vita Baridi baina ya Masikini na Matajiri hapa Tanzania

    NINACHOKIONA NI VITA BARIDI BAINA YA MASIKINI NA MATAJIRI HAPA TANZANIA Na, Robert Heriel Nimejikuta sipendi kuzungumzia siasa za nchi hii. Hii ni baada ya kugundua kuwa siasa za nchi hii ni Vita Baridi Kali inayohusisha makundi makuu mawili; nayo ni masikini na Matajiri. Kwa kweli Mwanzoni...
  14. JamiiForums Tanzania Tambua sababu kuu za vita ya Ethiopia

    Wakati Watu wengi wakiamini sababu kuu ya vita Ethiopia ni ukabila, Jambo hilo siyo kweli. Sababu kuu ya vita ya Ethiopia ni maslahi mapana ya mabeberu. Hii ni baada ya kutishika na msimamo wa Ethiopia haswa katika utekelezwaji wa miradi ya maendeleo. Je, ni vipi Ethiopia inatishia maslahi...
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Tuorodheshe ushirikina kwenye ile vita ya Maadui Watatu...yaani sasa iwe Vita dhidi ya Maadui Ujinga, Umasikini, Maradhi na Ushirikina

    Niliwahi kuja na andiko humu nikionesha huzuni yangu juu ya Kiongozi mmoja wa juu tena mwenye hadhi ya Udaktari aliyekuwa anaithibitishia Jamii kwamba kuna Mama kutoka eneo moja la nchi aliyekuwa na uwezo wa kushambulia Maadui zake akiwatumia Nyuki kwa njia ya nguvu za giza. Kama haitoshi...
  16. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Polisi wetu, rasimu ya Katiba mpya ni vita kuu wanayopigana nayo sasa Hivi.

  17. JamiiForums Tanzania Vita ya beki tatu na mama mwenye nyumba inavyogeuka fursa mtandaoni

    Biashara nyingi zimehamia mitandaoni siku hizi, sasa majuzi nilikumbana na tangazo moja la kampuni ya ma-house girl huko mtandaoni ndiyo nikagundua kumbe ile vita tuliyoianzisha ya madada wa kazi dhidi ya wake zetu bado haijakwisha, mbichi kabisa. Kila nikitazama sioni dalili ya vita hiyo...
  18. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Simanzi: Kumbukumbu za wafu na mapitio ya vita kubwa ya wakati huu

    Siku za hivi karibuni moyo wangu umegubikwa na simanzi nzito. Simanzi inayoletwa na kumbukumbu za zamani zenye kuhuzunisha sana. Kumbukumbu za wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki. Kumbukumbu za mambo yote tuliyofanya pamoja ambayo yalifanya maisha kuwa na maana. Kumbukumbu hizi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yaondoka nchini Afghanistan mikono mitupu baada ya vita ya miaka 20

    Kamanda Mkuu wa jeshi la Marekani Jenerali Kenneth McKenzie tarehe 30 Agosti alitangaza kwamba, Marekani imemaliza kuondoa vikosi vyake kutoka nchini Afghanistan, ikimaanisha kuwa, operesheni ya kijeshi ya Marekani iliyoendelea kwa miaka 20 nchini Afghanistan imemalizika rasmi. Vita hii ambayo...
  20. JamiiForums Tanzania Vita ya Afghanistan

    Kuhusu vita ya US na nchi za Magharibi dhidi ya Waislam wa Afghanistan, Ukweli ni huu. Siri ambayo haiwekwi wazi leo naiweka wazi. Haikuwa vita ya ugaidi au ya kuwa US wanawapenda Sana wa Afghanistan au wanataka demokradia. Ilikua ni vita ya kibiashara. Biashara yenye faida kubwa kuliko mafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…