Ingekuwaje kama Marekani angeshindwa kwenye vita ya mapinduzi (uhuru) dhidi ya Uingereza?

Kungarochi

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
271
572
Wadau wana kimataifa ningepata kupata mawzo yenu, je kama marekani ya leo ingeshindwa kwenye vita ya ukombozi dhidi ya taifa mama Uingereza, je hili taifa namba moja kwa uchumi na jeshi duniani lingekuwepo?

Na kwa wale wote walioanzisha hili vuguvugu la ukombozi kingewatokea nini?
 
Vingekua ni vinchi vidogo vidogo vingi lisingekua taifa moja tena kungekua na vurugu nyingi sana km unavyoona Mexico
 
Hata sisi tukipigana kuitoa CCM na kupata viongozi waiokula kwa urefu wa kamba zao na wenye vision. Tunaweza kuwa kama Marekani.
Ukoloni ni mbaya sana. Kila wakati ni kujilinganisha na Marekani tuu. Hivi hakuna mifano mingine? Kwani hatuwezi kuwa original? It means hata kama Mbongo akitangulizwa mbele haendi because hajui aende wapi!

This is shameful!
 
Ukoloni ni mbaya sana. Kila wakati ni kujilinganisha na Marekani tuu. Hivi hakuna mifano mingine? Kwani hatuwezi kuwa original? It's means hata kama Mbongo akitangulizwa mbele haendi because hajui aende wapi!

This is shameful!
Original gani unayosema wewe? Ya kutibiwa malaria kwa Kinjekitile na kujisaidia maporini. Ustaarabu aliyoweka Mkoloni wa kupump maji mpaka kufika kila nyumba na kuwa na vyoo vya ndani majiko ya gas na umeme vimemsaidia kupungunza magojwa ya kuambukiza pia ameweza kutunza misitu na kuokoa muda.
 
Kwani Mbowe si binadamu, mbona mnatafuta maridhiano kinafiki kwa machifu wakati aliwashauri mkae kistaarabu mezani.
Akili umezijaza kunako makalio, kwahiyo kisa binadamu ndio awe Rais au Lissu awe Rais?? We unadhani Urais ni Asali kila mtu anaweza kuilamba?????
Haitokaa itokee mnywa mbege atawale nchi hii.
 
Wewe phaler unaongea uharo mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ni mafala, kila uchao mnataka watu watoke madarakani as if mkichaguliwa nyie hamtotaka maslahi. Ujinga mtu, CHADEMA kuna mtu pale wa kuwa na vision na nchi hii?? Wale wavuta bangi akina Lema, Sugu, Heche, Lissu na Mbowe?? Go an' take some dick, sit on it, an' enjoy your day.
 
Akili umezijaza kunako makalio, kwahiyo kisa binadamu ndio awe Rais au Lissu awe Rais?? We unadhani Urais ni Asali kila mtu anaweza kuilamba?????
Haitokaa itokee mnywa mbege atawale nchi hii.
Duh! Unaweza kuta mwandishi huyu kaenda na Shule eti msomi! Yaani wewe ndiye unaye chagua nani aongoze nchi ?? Kwa taarifa yake hata Magufuli hakudhaniwa hata yeye mwenyewe hakudhani ! Tujipe mda huenda wakaja kuwa viongozi wa kuheshimika usio wataka!
 
Back
Top Bottom