vipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Suala la muongozo mahusi wa mgawanyo wa vipindi shule za Sekondari ni changamoto, tuliangalie kwa jicho pevu

    Habarini wadau! Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni. Najiuliza ni kipi cha kufuata. Je, ni syllabus ilivyoekekeza au maelekezo na miongozo mingine inayotolewa? Kwa mfano...
  2. willpower

    JamiiForums Tanzania Vipindi hatari katika Uchumba/Mahusiano ya Vijana

    Kwa wadogo zangu: Leo nina muda kidogo wa kuandika, nikakumbuka maisha yangu binafsi na misukosuko ya kimahusiano; nikaona nije na huu uzi; vipindi hatari kwa uchumba/mahusiano ya vijana wengi. Hivi ndio vipindi ambavyo mahusiano mengi hufikia tamati na kuacha aidha uchungu ama fadhaa kwenye...
  3. mngony

    JamiiForums Tanzania Udhaifu katika miundombinu yetu vipindi vya Mvua, aibu kwetu na ugeni huu mkubwa wa Makamu wa Rais Marekani

    Vipindi vya mvua ( Masika) Miaka yote kumekuwa kukionekana udhaifu wa miundominu yetu hasa barabara kuhimili hali hiyo ya hewa Sura za kujaa kwa maji barabara zetu, kupelekea foleni kubwa, vyombo vya moto kuharibika njiani na uharibifu vyombo hivyo na mali Hata miundombinu mipya kama vile...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hongera TBC kwa uboreshaji wa vipindi vyenu

    Ni ukweli usiopingika kuwa tukivizungumzia vyombo vikubwa vya habari nchini, hatutasita kulitaja shirika la habari Tanzania. Hii ni kutokana na ukongwe na jina lililojijengea kutoka radio Tanzania hadi TBC na hata uwezo wa kuwafikia wanachi Tanzania nzima. Ni wazi kuwa mfumo uliokuwepo awali...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kuwasoma Horoya FC naomba 'Formations' hizi Mbili zitumike katika Vipindi vyote Viwili

    Kipindi cha Kwanza Simba SC ianze na Mfumo ( Formation ) ya 3-5-2 kwakuwa Horoya FC wako vyema katika Kiungo na hasa Ushambuliaji hivyo Kujilinda Kwanza ili Kuwasoma ni Muhimu katika First Half. Kipindi cha Pili Simba SC iingie na Mfumo ( Formation ) ya 4-3-3 ambao utatufanya tushambulie...
  6. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Marehemu Ruge "alivyonidanganya"

    Ulikua ni muendelezo wa msimu wa fiesta unayofanyika karibu kila mwaka, utofauti wa msimu huu mwingine ni kuwa msimu uwo wa fiesta ndio kilizaliwa kichanga ambacho sasa kimekua na tayari kinajitegemea kinaitwa FURSA. Timu ya fursa sijui iliongozwa na nani ila Marehemu Ruge Mutahaba nae...
  7. mpambanaji orijino

    JamiiForums Tanzania Media house za Tanzania wanalipaje wauza maudhui (vipindi) ?

    Habari zenu wanajamii? Poleni na majukumu ya kutafuta riziki. Nakuja mbele yenu nkiwa na swali ambalo linnitatiza na nadhani ninaweza pata jibu hapa JF. Vituo vya televisheni au makampuni ya ving'ämuzi yanatumia vigezo gani katika kukubali maudhui ambayo mimi kama muandaa maudhui...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Star tv yasimamisha baadhi ya vipindi

    Uongozi wa kituo cha televisheni cha Star Tv.chenye maskani yake jijini Mwanza,kimetangaza kusitisha uzalishaji wa vipindi vyote vya ndani kuanzia leo Januari 18,isipokuwa taarifa za Habari,BBC Swahili,na vipindi vingine vilivyolipiwa na uandaaji wake hufanyika nje. Taarifa iliyotolewa kwa...
  9. Rogart Ngaillo

    JamiiForums Tanzania TBC FM tafuteni maudhui ya vipindi vyenu, mnakera masikio yetu

    Hapo mwanzo nilikuwa mfuatiliaji sana wa vipindi vya radio...ila niliacha kutokana na kuwa bize na harakati za maisha,nilipenda kufuatilia kutokana na mpangilio mzuri wa vipindi na maudhui yake. Huku kwetu hakuna radio yoyote isikilizwayo zaidi ya TBC Taifa na TBC Fm kwahiyo haina...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ni vipindi gani vizuri vya Radio na TV vya kusikiliza na kuangalia?

    Habari wakuu, Ni vipindi vp vizuri vya kusikiliza mbali na Story Book ya Wasafi?
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Katika vipindi vya mafanikio ndiyo unabidi kuhakikisha hausaidii mtu ili kulinda ukwasi wako

    Hakuna kitu kibaya kama umaskini, unapoona umefanikiwa kupata pesa hakikisha haumsadii mtu, hasa wanawake. Mimi nawashangaa hawa wasiyo na kazi mnapiga mchongo mnagawana labda 800 USD halafu yeye ya kwake anawekeza katika uchi. Siku chache anaanza kutibu UTI mara Syphilis na Gono. Tujifunze...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vipindi vya michezo vya redio "vitanoga" sana wiki hii nzima

    100% vitakuwa ni vya kupongeza mafanikio ya Simba SC na 100% vitakuwa ni vya kuelezea uozo na kufeli kwa Yanga SC huko CAFCL.
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Wanahabari hawakubaliani na tozo japo wanaandaa vipindi vinavyotetea tozo

    Mmoja wa wadau katika warsha ya uandaaji wa maudhui ya ndani iliyoandaliwa na TCRA alionesha masikito yake kuwa analazimika kuandaa vipindi vinavyotetea tozo japo yeye binafsi hakubaliani na tozo za kwenye miamala ya fedha kwenye simu na benki. Mdau huyo amesema " Nazungumza uongo mbele ya...
  14. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi juu za shutuma ya DStv kurusha vipindi vinavyohamasisha ushoga

    Tafadhali tuwekane sawa, DStv haijihusishi na kurusha maudhui yasiyofaa katika jamii. Malalamiko haya yanatakiwa kupelekwa moja kwa moja kwenye channel husika. DStv wanarusha channels tofauti, sio kosa lao pale yanapotokea mambo ambayo yanahusiana na maudhui mabaya. Kinachotakiwa kufanyika...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa TCRA: DStv wanarusha vipindi vya kuhamasisha ushoga kwa watoto?

    TCRA Please take note. Kuna ujumbe wa malalamiko kuwa kuna vipindi wanavyovipenda watoto vya NICKELODEON, vinavyorushwa na DsTV, vimeleta taharuki kwa wazazi. TCRA kama mhusika tafadhali chukua hatua. Ujumbe: Dear Parents/Guardians. This is to bring to your notice that the cartoon channel...
  16. M

    JamiiForums Tanzania ITV wametoa tamthiliya ya uzalo kutoka saa 1:30 wakaweka tamthiliya nyingine muda huo

    Binafsi mimi na watoto wangu hupenda kuangalia vipindi vya ITV kwa sababu vingi ni vizuri hata kwa watoto.Kwa muda mrefu tulizoea kuangalia tamthiliya ya uzalo saa 1:30 jioni,kifupi tamthiliya hii inafaa hata kuangaliana watoto kwa sababu muda huo hata watoto wanakua hawajalala.Cha kushangaza...
  17. sanalii

    JamiiForums Tanzania Miezi 6 baada ya kumaliza chuo ni moja ya vipindi vigumu sana

    Wengi wetu tumepitia, wanapitia na watapitia, Kuna wanaoshtuka mapema na kuanza kutafuta connection kabla ya kumaliza, kuna wale wanashtuka wako nyumbani wakiwa na begi la nguo na laptop kama hajaijza alipomaliza UE, sasa kama unakaa kwa ndugu ndo kabisa, hata mapenzi nayo yanashake, ile title...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Clouds 360 kama hawana vipindi hivi hasa yale majadiliano kunani?

    Nimeona kimya wiki sasa inakatika akina Sam Mlaasali na wengine hakuna.
  19. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa TV wapunguze maneno wanapokuwa katika vipindi mubashara ili wataalam watoe maarifa kwa kina

    Wakuu salaam, moja kwa moja kwenye mada, Kuna watangazaji wa vipindi mubashara ambavyo kuna wataalamu wa afya, elimu, viongozi nk hualikwa kwa ajili ya kudadafua mambo fulani kwa kina. Natambua watangazaji wanajukumu muhimu la kuongoza mijadala kwa kuuliza maswali au kupokea simu za watazamaji...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nividharau Vipindi vyote vya Michezo vya Redio, Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo Tanzania?

    Walichokuwa wakisema Wiki Moja kabla ya Kucheza na Congo DR leo na kupokea Kichapo cha Kishalubela ( Kikatili ) ni..... "Congo DR ya sasa si lolote na chochote kwani Wachezaji wao wengi tunawajua na tunao hapa Tanzania. Congo DR watakufa kwa Mkapa na Kipigo Kwao hakikwepeki kwani kwa sasa...
Back
Top Bottom